CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari, mara wakaonesha lile tangazo la AIRTEL MONEY aliloshiriki Marehemu Sharo Milionea na Mzee Majuto.
Je ni haki kuendelea kulionesha lile tangazo??????
Je ni haki kuendelea kulionesha lile tangazo??????