"Your honourable" Unaweza kufafanua???[/QUOTE
Kitendo cha kuhuzunika,kuweweseka kwa jamii kwa kuwa eti tangazo la sharobaro limeoneshwa baada ya kifo,si mtazamo wa kisheria,ni mtazamo wa kimaadili zaidi.Hata kama mkataba ulikuwa unameforesee(umetazamia) uwepo wa kifo,tangazo kama tangazo haliwezi kuzuia running of the contract.Performance ya mkataba,kwa muktadha wa tangazo hilo,haliihitaji uhai(uwepo)wa Sharobaro,Sharobaro alishaingia mkataba na mategemeo yake ni performance kwa kulingana na inteded duration.Frustration(uwepo wa tukio lisilotegemewa),inaweza kuwa sababu kwa mambo yale au kazi zile tu Airtel na Sharobalo walitegemea au walikuwa wanaendelea kuzifanya(ambazo kwazo zilikuwa hazijakamilika).Hata hivyo,bado kuna changamoto kwa wasanii wengi wa kibongo kutofahamu haki zao za msingi,inawezekana hata familia yake au meneja wa marehemu hana uelewa kuhusu mkataba wa tangazo hiklo