Airtel na kifo cha Sharo Milionea

Airtel na kifo cha Sharo Milionea

Not to me

Mimi naona wako sahihi,sababu ya mkataba waliosainishana na Marehemu,wao sio wajinga kuendelea kurusha ina maana kuna sheria inawalinda na kwny sheria hakuna mila,wala machungu,ina maana kw kuwa sharo kafa na airtel ife??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Si kwamba Airtel ife bali wasitishe lile tangazo... mbona Zantel walisitisha tangazo la Kanumba???
 
Lazima waliomba ridhaa ya familia ya marehem, halafu ni njia iliyobaki ya kumuenzi sharo, kuonesha uwezo wake wakati wa uhai wake. Mi natamani siku nikifa, kama kuna mambo nimewafanyia watanzania, basi yatangazwe na wengine waige u-machachari wangu. Good job shalo...tutakukumbuka kwa hilo shalo men, ingawa umekufa, lakini mambozi yako yatabaki kuwa kumbukumbu mhimu sana kwa vizazi vijavyo

Tangazo lenyewe ni zuri na linapendeza kuliangalia. Binafsi kama familia imeridhia hakuna ubaya kuendelea kulionyesha. Ni kumbukumbu nzuri.
 
Kisheria,mkataba alioingia marehemu hukoma pale tu mhusika anapofariki. Airtel wamefanya visivyo.Si vyema kurudia jambo hilo kwakuwa naweza kwenda kununua kesi.Mbona Startimes walishaacha kumwonesha Kanumba?
 
Mbona Nyerere mnaendelea kumuonyesha kila siku?? Waambieni wasitishe hotuba zake basi
 
Mbona Nyerere mnaendelea kumuonyesha kila siku?? Waambieni wasitishe hotuba zake basi

Ni kwakuwa Nyerere hakuwa na Mkataba na Tanzania. Sasa kama kuna malipo ya kimkataba yanayolipwa kwa Sharo mwenyewe tu,wakati huu alipwe nani?
 
Mimi naona wako sahihi,sababu ya mkataba waliosainishana na Marehemu,wao sio wajinga kuendelea kurusha ina maana kuna sheria inawalinda na kwny sheria hakuna mila,wala machungu,ina maana kw kuwa sharo kafa na airtel ife??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Naunga mkono hoja yako. Airtel hawakuidai familia ya marehemu mkwanja aliokula Sharo, so kimsingi ni haki yao kurusha matangazo ili ku-compensate gharama husika
 
Kisheria,mkataba alioingia marehemu hukoma pale tu mhusika anapofariki. Airtel wamefanya visivyo.Si vyema kurudia jambo hilo kwakuwa naweza kwenda kununua kesi.Mbona Startimes walishaacha kumwonesha Kanumba?

Kisheria anapofariki ndugu/mtoto/baba/rafiki au yoyote yule bac choma Moto picha zake zote kwenye Jialbum lako au popote pale
 
"Your honourable" Unaweza kufafanua???
charminglady

Labda ikiwa kama mkataba wa sharo na airtel ulikuwa na kipengele kinachosema 'nitakapokufa mtaacha kuonesha matangazo niliyofanya...'..matangazo yataendelea kuruka kama kawaida..biashara ni biashara,,na utu ni kitu kingine.
 
Last edited by a moderator:
Airtel na fikiri si wajinga kiasi hiki, lazima kutakuwa na mazungumzo kwa pande zote mbili i mean kutoka kwa mzee majuto kama mmoja wa wahusika pia kwa familia ya sharo.

Hivyo kunauwezekano mkubwa kuna makubaliano ambayo yatakuwa yalifikiwa ili kuweza kurusha tangazo hilo, natumaini walitoa muda fulani wa kuombeleza kisha tangazo likawa lipo hewani kwa mara nyingine.

Kimsingi mama yake na marehemu hali yake na fikiri mnaitambua hivyo kama airtel watakuwa wanaendelea kurusha tangazo hilo ili bi mkubwa wa sharo apate malipo then sioni kama kuna shida hapo hawezi kufa masikini au na njaa wakati kunauwezekano wa yeye kupata malipo kwa ubunifu wa mtoto wake.

kuhusu swala la kuwa ki maadili si sawa, he he na fikiri hata kuonyesha hutuba za baba wa taifa si sawa kwa kuwa na yeye amesha kufa hakuna udhalilishaji wowote kwa kumuonyesha mtu ambaye alitangulia mbele ya haki kwa mazuri yake kwa kuwa ni mafunzo kwa wengine na kizazi na kizazi.

So airtel kama mwafanya hivi ili kuokoa familia ya marehemu sharo na wapa pongezi za dhati kwani yeye alikuwa ndio muhimili mkuu wa familia yake hivyo mtakuwa mmetoa msaada mkubwa sana
 
Kifo ni jambo la kawaida saana. Hebu tukubali ukweli, na tuendelee na maisha. Mtu akifa tuna huzunika then we move on. Death is every day, evey hour and every minute.
 
Sio sawa hata kidogo..... hata kama kisheria wako sawa ila kimaadili haipendezi......

Wapi my lawyer Ruttashobolwa, sheria inasemaje????
maadili yepi jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..... mbona kuna mambo ya msingi kimaadilili hatuyasemi, ushoga, uchangudoa, ufisadi, vimini kwenye nyumba za ibada n.k . AIRtel wanaweza malizia mkataba, waspofanya hivyo watakuwa wameuvunja na watastahili kulipa
 
they are legally right but morally wrong!
legally and morally there are very wrong. Havent you read contract Act about "termination of contract" that of the factor for contract termination is death of either of the party in the contract.
 
legally and morally there are very wrong. Havent you read contract Act about "termination of contract" that of the factor for contract termination is death of either of the party in the contract.

Kuna obligations of parties to contract pia, we unajuaje kama alishalipwa
 
legally and morally there are very wrong. Havent you read contract Act about "termination of contract" that of the factor for contract termination is death of either of the party in the contract

mkuu ingawa nilisoma Law kwa kubeep lakini nakumbuka kitu kama hiko hapo kwenye red.... wanasheria wanaweza kutusaidia hapa
 
Airtel wako kimkataba zaidi, hata hivyo tangazo bado lina mvuto na ndiyo maana wanasema vigezo na masharti kuzingatiwa. Kwa hiyo mpaka muda wa mkataba uishe.

Ni kweli mvuto linao maana hata waliposema sharo kafariki sikumjua ila mwanangu wa miaka 4 aliniambia yule anasema umebugi men ndio nikaelewa, ila airtel money customer care iko chini mno nimewapigia simu tangu ijumaa mpaka leo hawapokei hawafai hawa watu eti, nadhani M-Pesa ndio wanastahili kukubalika zaidi. Kuhusu Tangazo nilidhani TV pia hazitakiwi kuonesha eti.
 
Back
Top Bottom