Aibu: Picha za Mameya wa jiji la Dar tokea Uhuru zimebandikwa ukumbi wa Karimjee isipokuwa ya Isaya Mwita

Chuki isiyo na maana wala msingi wowote !! Hapa ukiwauliza watasema wanamkomoa Mbowe na si kuharibu historia ya Jiji la kihistoria la Dar es salaam.
 
Kama alikuwa Meya wa Chadema (kitu ambacho sio sawa) basi ni sahihi kutokuwa na picha yake, lakini kama alikuwa ni Meya wa jijini aliyetokana na chama cha Chadema basi ni makosa sana
Uhuni tu huu. Kwanini hakuna picha ya meya wa Chadema? Kama walijisahau warekebishe haraka.
 
Nashindwa kuamini kabisa kuwa hii ndio chuki iliyopo katika siasa zetu.

Hapa ni Ofisi za Meya wa Jiji Karimujee hall Wamewaka Picha za Mameya wote Kabla ya Tanganyika Kupata Uhuru na baada ya Uhuru, Mpaka Meya huyu wa Sasa. Wanatambua Mameya wa Kizungu na Kihindi ila Wamegoma Kutambua Meya wa Chadema 2016 to 2020 Nchi hii inanuka Chuki na Ubaguzi

Bado wanaongozwa na sera za kinyama za jizi, katili na kiuaji Magufuli
 
yaani wameweka picha za wahindi na wazungu wakasahau picha ya nyani-ulaya mwenzetu kweli limagufool lilikokuwa likiipeleka nchi linajua lenyewe
Hawa wewe una chuki ya kipuuzi jpm kashajifia sasa kama ni utawala mnaoupenda wa awamu ya 6 mbona huyo meya utawala huu pendwa mbona haujaweka picha yake?
 
Nashindwa kuamini kabisa kuwa hii ndio chuki iliyopo katika siasa zetu.

Hapa ni Ofisi za Meya wa Jiji Karimujee hall Wamewaka Picha za Mameya wote Kabla ya Tanganyika Kupata Uhuru na baada ya Uhuru, Mpaka Meya huyu wa Sasa. Wanatambua Mameya wa Kizungu na Kihindi ila Wamegoma Kutambua Meya wa Chadema 2016 to 2020 Nchi hii inanuka Chuki na Ubaguzi

Kijani ni mashetani weusi..roho mbaya imewajaaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nashindwa kuamini kabisa kuwa hii ndio chuki iliyopo katika siasa zetu.

Hapa ni Ofisi za Meya wa Jiji Karimujee hall Wamewaka Picha za Mameya wote Kabla ya Tanganyika Kupata Uhuru na baada ya Uhuru, Mpaka Meya huyu wa Sasa. Wanatambua Mameya wa Kizungu na Kihindi ila Wamegoma Kutambua Meya wa Chadema 2016 to 2020 Nchi hii inanuka Chuki na Ubaguzi

Wewe ulitegemea chuki iliyopandizwa na magufuri ilikuwa ndogo?

Ilikuwa chiki ya hatari sana
 
Nashindwa kuamini kabisa kuwa hii ndio chuki iliyopo katika siasa zetu.

Hapa ni Ofisi za Meya wa Jiji Karimujee hall Wamewaka Picha za Mameya wote Kabla ya Tanganyika Kupata Uhuru na baada ya Uhuru, Mpaka Meya huyu wa Sasa. Wanatambua Mameya wa Kizungu na Kihindi ila Wamegoma Kutambua Meya wa Chadema 2016 to 2020 Nchi hii inanuka Chuki na Ubaguzi

CCM ina siasa za Kishamba sana !
 
Back
Top Bottom