Aibu: Picha za Mameya wa jiji la Dar tokea Uhuru zimebandikwa ukumbi wa Karimjee isipokuwa ya Isaya Mwita

Ukumbi wa KARIMJEE upo jijini Dar es salaam ni Moja ya Ukumbi wa Miaka mingi toka Utawala wa Wakoloni.

Ukumbi huu umekuwa ukitumiwa na Waheshimiwa MADIWANI wa HALMASHAURI ya JIJI la Dar es salaam chini ya MSTAHIKI MEYA wa JIJI hili kwa VIKAO Vyao. KUTA za UKUMBI huu Zimepambwa Kwa PICHA za MAMEYA wote Waliohudumu ktk JIJI la Dar es salaam kama WASTAHIKI MAMEYA toka MEYA wa Kwanza wa JIJI hili ambaye alikuwa MZUNGU MKOLONI mpaka MEYA wa Sasa.

JAMBO la AJABU na KUSHANGAZA ni KUONDOLEWA kwa PICHA ya MSTAHIKI MEYA "Issaya MWITA" aliyehudumu kama MEYA wa JIJI kipindi cha UTAWALA KATILI wa AWAMU ya 5 na Kupelekea Kufanyiwa FIGUSI Meya ISSAYA MWITA na kuifunga OFISI yake ili ASIWE tena Meya na Kumweka MEYA mwingine kutoka Chama cha MAPINDUZI.

Wenye AKILI KUBWA tilijua zile FIGISU zilikuwa ni Chuki binafsi za yuke Bwana kwani Viongozi wengi wa CHADEMA walitakiwa Wahamie CCM ili kulinda NAFASI ZAO na Waliopinga kama MEYA ISAYA MWITA ndio Yaliwakuta ya kufungiwa OFISI na KUONDOLEWA.

Kabla ya Kufungiwa OFISI PICHA ya MSTAHIKI MEYA "ISSAYA MWITA" ilikuwa Imetundikwa kwenye UKUMBI wa KARIMJEE pamoja na Picha za Watangulizi Wake lakini LEO hii ile PICHA ile IMEONDOLEWA.

JE walioondoa PICHA wanataka KUFUTA HISTORIA kuwa "ISAYA MWITA" hakuwa MEYA wa JIJI?

Ni upuuzi kuwa na MAWAZO hayo mbona PICHA za Wazungu Wakoloni zipo Mnaondoaje PICHA ya MTANZANIA mwenzenu kisa tu ni KUTOKA CHADEMA?

Mliotoa hiyo PICHA Acheni CHUKI zisizo na TIJA kwa TAIFA. Ukweli hamtaufuta kwa Kuondoa PICHA ya MEYA "ISAYA MWITA" bado MEYA "ISAYA MWITA?" Historia itamkumbuka tu kuwa Mwaka 2015 mpaka 2019 alikuwa MSTAHIKI MEYA wa JIJI la DAR ES SALAAM akitokea CHADEMA.
Ikibakia ndio nchi itapiga hatua kimaendeleo, punguzuzeni kuwa wajinga na kuja na post za kijinga jinga tupu zisizo kuwa na tija ya aina yoyote ile
 
Hiki Chama nacho ni mzigo mwingine tu.

Wanalilia picha ukiachana na mambo muhimu ya kuyazungumzia yanayogusa maisha ya wananchi.
Akili ndogo hutaelewa maana ya huo uzi ndio maana unawaza ujinga lakini Ungekuwa na Akili kubwa ungejua kuwa huu Uzi Unawaelimisha CCM ujinga wa yule JIWE picha tu ya Meya ilimfanya aumie sana kisa katoka Upinzani anasahau Wananchi ndio waliomchagua Afadhali MUNGU alimaliza Mchezo
 
Hiki Chama nacho ni mzigo mwingine tu.

Wanalilia picha ukiachana na mambo muhimu ya kuyazungumzia yanayogusa maisha ya wananchi.
Vp utahudhuria

Ova
IMG-20230112-WA0017.jpg
 
Huyo ndio yule muhuni alijiita "LORD MAYOR".

Akachezeshwa sebene la uhakika na Jiwe Non Stop ni kukata viuno tu mwanzo mwisho kubandeki zake,ikapigwa nyumaaa geuka"wa kwanza akawa wa Mwisho.

Ila JPM uko ulipo Big up sana,

Jamaa wanaweweseka tu huku kila wakikukumbuka.
Vp utakuwepo ukaona pia mauno ya zchu

Ova
IMG-20230112-WA0017.jpg
 
Ukumbi wa KARIMJEE upo jijini Dar es salaam ni Moja ya Ukumbi wa Miaka mingi toka Utawala wa Wakoloni.

Ukumbi huu umekuwa ukitumiwa na Waheshimiwa MADIWANI wa HALMASHAURI ya JIJI la Dar es salaam chini ya MSTAHIKI MEYA wa JIJI hili kwa VIKAO Vyao. KUTA za UKUMBI huu Zimepambwa Kwa PICHA za MAMEYA wote Waliohudumu ktk JIJI la Dar es salaam kama WASTAHIKI MAMEYA toka MEYA wa Kwanza wa JIJI hili ambaye alikuwa MZUNGU MKOLONI mpaka MEYA wa Sasa.

JAMBO la AJABU na KUSHANGAZA ni KUONDOLEWA kwa PICHA ya MSTAHIKI MEYA "Issaya MWITA" aliyehudumu kama MEYA wa JIJI kipindi cha UTAWALA KATILI wa AWAMU ya 5 na Kupelekea Kufanyiwa FIGUSI Meya ISSAYA MWITA na kuifunga OFISI yake ili ASIWE tena Meya na Kumweka MEYA mwingine kutoka Chama cha MAPINDUZI.

Wenye AKILI KUBWA tilijua zile FIGISU zilikuwa ni Chuki binafsi za yuke Bwana kwani Viongozi wengi wa CHADEMA walitakiwa Wahamie CCM ili kulinda NAFASI ZAO na Waliopinga kama MEYA ISAYA MWITA ndio Yaliwakuta ya kufungiwa OFISI na KUONDOLEWA.

Kabla ya Kufungiwa OFISI PICHA ya MSTAHIKI MEYA "ISSAYA MWITA" ilikuwa Imetundikwa kwenye UKUMBI wa KARIMJEE pamoja na Picha za Watangulizi Wake lakini LEO hii ile PICHA ile IMEONDOLEWA.

JE walioondoa PICHA wanataka KUFUTA HISTORIA kuwa "ISAYA MWITA" hakuwa MEYA wa JIJI?

Ni upuuzi kuwa na MAWAZO hayo mbona PICHA za Wazungu Wakoloni zipo Mnaondoaje PICHA ya MTANZANIA mwenzenu kisa tu ni KUTOKA CHADEMA?

Mliotoa hiyo PICHA Acheni CHUKI zisizo na TIJA kwa TAIFA. Ukweli hamtaufuta kwa Kuondoa PICHA ya MEYA "ISAYA MWITA" bado MEYA "ISAYA MWITA?" Historia itamkumbuka tu kuwa Mwaka 2015 mpaka 2019 alikuwa MSTAHIKI MEYA wa JIJI la DAR ES SALAAM akitokea CHADEMA.
Mbona hii ilipmdolewa toka kipindi kile cha Misri? Farao aliagiza Maliwali waiondoe
 
Hiki Chama nacho ni mzigo mwingine tu.

Wanalilia picha ukiachana na mambo muhimu ya kuyazungumzia yanayogusa maisha ya wananchi.
Hapo juu yupo mdau kauliza,ila mimi na sema wewe ni mwanae.
 
Nashindwa kuamini kabisa kuwa hii ndio chuki iliyopo katika siasa zetu.

Hapa ni Ofisi za Meya wa Jiji Karimujee hall Wamewaka Picha za Mameya wote Kabla ya Tanganyika Kupata Uhuru na baada ya Uhuru, Mpaka Meya huyu wa Sasa. Wanatambua Mameya wa Kizungu na Kihindi ila Wamegoma Kutambua Meya wa Chadema 2016 to 2020 Nchi hii inanuka Chuki na Ubaguzi

Si CHADEMA hamtaki hayo mambo au?
 
Back
Top Bottom