Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 12,212
- 17,005
- Thread starter
- #21
Kaimani Kaa Dini Nako kipengere,Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo!Mkuu duniani tunaishi mara moja shauri yako
Kaimani Kaa Dini Nako kipengere,Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo!Mkuu duniani tunaishi mara moja shauri yako
Si anapimwa Mkuu ilivkuthibitishwa Kama kavunja hiyo Amri!Binti yangu huyoo nilikuwa nakutafutia 30 jella maana tulishampanga mtoto
Acha kuogopa kudharaulika mkuu, cha msingi usifunge bao moja na kuanguka kama bata.Mimi naogopa kudharaulika!
Hapo kwenye bao!Acha kuogopa kudharaulika mkuu, cha msingi usifunge bao moja na kuanguka kama bata.
Hapa ndo penye taabuHapo kwenye bao!
Wewe tena 😁😁😁Mimi hula kuku pamoja na kifaranga wake kisha husubiri matokeo.
Duniani tunaishi mara moja na tupo ili tufe.
Mbona umekata tamaa mapema mno mkuuHabari Ndugu na jamaa, nashukuru Mungu, Muumba mbingu na Ardhi kwa Uhai huu.
Tunaishi katika Dunia yenye mambo mengi ya kufurahisha, kuhuzunisha na ndio Maisha!
Umri Kumbe umesonga! Kuna Kasi hana, nilikuwa nakafukuzia huku mtaani, kazuri kameumbika kwa kweli, Mimi ninavyokaona. Nikawa nakapa zaidi huku nikijiandaa Nako kuvunja Amri!Jamaa yangu akamuita dada mmoja ninayemfahamu, kwa heshima yule Dada Huwa Ananiambia, Shikamoo siku zote tukikutana. Kumbe huyu dada ndie mama mzazi wa hako kabinti ninakotaka tuvunje hiyo Amri ya Sita!
Nimeishiwa pozi na sikatafuti tena na naachana na mambo ya kutafuta mademu.
Umri umeenda tuyaache haya mambo yakupita!
Ahsanteni.
taMbona umekata tamaa mapema mno mkuu
It's meWewe tena 😁😁😁
Hongera yako mkuuIt's me
Kwani huyo bint ni under 18,Unamuogopa bimdashi wake?
Ahsante sana bibie.Hongera yako mkuu
Sijajua mkuu atatujibuKwani huyo bint ni under 18,
Yuko over18!Sijajua mkuu atatujibu
Mimi 48Yuko over18!
Sasa hofu yako n ipiYuko over18!
Huu umri umeoa tayari mkuu, unataka uchepuke?Mimi 48
Kiufupi ulitaka kula mjukuu wako siyo. Utakufa vibaya weweHabari Ndugu na jamaa, nashukuru Mungu, Muumba mbingu na Ardhi kwa Uhai huu.