Aibu hii imenikumbusha mengi!

Aibu hii imenikumbusha mengi!

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
12,212
Reaction score
17,005
Habari Ndugu na jamaa, nashukuru Mungu, Muumba mbingu na Ardhi kwa Uhai huu.
Tunaishi katika Dunia yenye mambo mengi ya kufurahisha, kuhuzunisha na ndio Maisha!

Umri Kumbe umesonga! Kuna Kasi hana, nilikuwa nakafukuzia huku mtaani, kazuri kameumbika kwa kweli, Mimi ninavyokaona. Nikawa nakapa zaidi huku nikijiandaa Nako kuvunja Amri!Jamaa yangu akamuita dada mmoja ninayemfahamu, kwa heshima yule Dada Huwa Ananiambia, Shikamoo siku zote tukikutana. Kumbe huyu dada ndie mama mzazi wa hako kabinti ninakotaka tuvunje hiyo Amri ya Sita!

Nimeishiwa pozi na sikatafuti tena na naachana na mambo ya kutafuta mademu.
Umri umeenda tuyaache haya mambo yakupita!
Ahsanteni.
 
Uyole moja? au Mboka?
 
Back
Top Bottom