Agizo lingine la Serikali ya Magufuli lapuuzwa

Agizo lingine la Serikali ya Magufuli lapuuzwa

Kwani lazma asome fedha ..hili ni soko huria ..uwezi lipa we hama tu..tusimpe raisi mizigo icyokuwa na maana
Naona wengi hata hansomi mada mnakimbilia kusema ahame tuu....! hebu soma kilicho andikwa kwanza!

Serikali ilitoa agizo kwa shule kutopandisha ada sasa Feza wamekiuka! Hoja hapa ni agizo la serikali ku kiukwa na wenye shule...!
 
Afadhali umeona hilo. Hii Nchi ina Watu wenye wivu wa kijinga jinga, akisikia Mtoto analipiwa ada milioni kadhaa anafikiri
Mzazi ana pesa za kuchezea tu.

Exactly my point Dark City, kwanini wanatoa tamko wasiloweza simamia?

Asante, JF imebeba watu wa aina zote.

Hii ni hali ya hatari sana. Watu wanaacha kujadili hoja wanarukia vitu vingine ambavyo vinaonesha chuki zao kwa vitu wasivyomudu.

Hiyo ndiyo sura yetu halisi.
 
Exactly my point Dark City, kwanini wanatoa tamko wasiloweza simamia?

Asante, JF imebeba watu wa aina zote.
Kaunga unajua tatizo ni watumishi wa wizara kutofatilia kama maagizo yanatekelezwa na ni bora wewe umesema na pengine kuna shule nyingi zimekiuka agizo!

Na nimemwambia kamishina ni vyema ili jambo wakalifatilia mapema na wakatoa taarifa kinyume na hapo watakuwa wanamkwamisha Mh JP!

Tatizo watu hawawajibiki wanasubiri kuletewa taarifa badala ya kufatilia...
 
Last edited by a moderator:
Kwanza wazazi/walezi tuliambiwa tusubiri tusilipe ada za shule za private mpaka tarehe 16 Dec 2015 serikali itakapotoa muongozo.

Baadaye serikali ikatoa agizo kwa shule za private zisipandishe ada kabla ya kujadiliana na wazazi na wizara kuhusu mabadiliko hayo.

FEZA SCHOOLS wamekiuka agizo hilo kwa kupandisha ada za sekondari bila kukaa na wazazi kutoka 7,250,000 hadi 8,300,000.

Na mbaya zaidi 1st instalment wanataka 4,050,000 (ada huwa inalipwa kwa instalment 3).
Sasa kama binti/kijana yuko form four utamuhamishaje? Shule nyingi hawapokei wanafunzi wa form four.

Muheshimiwa Rais, hii sio FEZA international.; ni shule inayofuata silabasi ya Taifa. Je hawa waturuki wako juu ya sheria?

Mussolin5 na wengine, tusiwaache. Kuna watu kweli wanahitaji kusaidiwa hata mawazo tu ili wajitambue.

Wenye shule wamegeuza elimu kuwa ni biashara na bahati mbaya kabisa ulimbukeni wetu unatuonyesha eti ni hadhi kumsomesha mtoto kwa mil 7. Je, Hiyo FEZA inatoa elimu kuliko inayotolewa Singapore? Singapore ni nchi inayoongoza duniani kwa kutoa elimu bora kabisa lakini unit cost ya elimu haifiki hata USD 10000. Kumbuka hawa ni the best in the world.

Je, hiyo FEZA yenu iko wapi? Munasema ni waturuki, duniani wako nafasi gani? Hata Europe kwenyewe wako chini kabisa!
You are wasting your cash for useless prestige. This is my Frank note.
 
AISE INASIKITISHA KUNA WATU WANALIPA ADA MIL8 WENGNE ADA YA LAKI MOJA SHDA.majipu yapo meng magufuli fanyakazi tuko nyuma yako
Naomba msome upya mada ...
Hao wanaolalama kuhusu hiyo ada wapige kimya si wamependa wenyewe kulipa hizo mil kwa sifa za kijinga.shule zipo kibao na tena nzuri.halafu utashangaa kipindi cha kwenda chuo kikuu wanataka watoto wao wapate mkopo.
 
Mussolin5 na wengine, tusiwaache. Kuna watu kweli wanahitaji kusaidiwa hata mawazo tu ili wajitambue.

Wenye shule wamegeuza elimu kuwa ni biashara na bahati mbaya kabisa ulimbukeni wetu unatuonyesha eti ni hadhi kumsomesha mtoto kwa mil 7. Je, Hiyo FEZA inatoa elimu kuliko inayotolewa Singapore? Singapore ni nchi inayoongoza duniani kwa kutoa elimu bora kabisa lakini unit cost ya elimu haifiki hata USD 10000. Kumbuka hawa ni the best in the world.

Je, hiyo FEZA yenu iko wapi? Munasema ni waturuki, duniani wako nafasi gani? Hata Europe kwenyewe wako chini kabisa!
You are wasting your cash for useless prestige. This is my Frank note.
Hoja yako imeendana na matakwa ya mada?
 
Mkuu vipi ada yao ili nijikusanye nimpeleke first born wangu hapo au ni walewale?

kwa kweli nimelipa kama kuingia wako juu kidogo kama M4.5 arround hapo then baadae ni m4.3 lakini ukisha lipa hiyo hakuna cha uniform, hela ya chakula, kalamu, sijui madaftari, hakuna chochote unalipa tena, kama ni form one kuna laki2 za pre form one wanasoma kama week 3 hivi then mtihani

Fika wako Bunju beach pale kuna mwalimu anaitwa Ustadh Salumu atakuelekeza yote au nitakutafutia namba ya simu ila kwa form one umechelewa maana mwaka huu wakipata wanafuzi wengi sana ikabidi wafanye test kuwapunguza wengine maana darasa lao ni wanafuzi 45 tu
 
Acha kelele wewe kwani nani alikutuma umpeleke mtoto wako kwenye shule za gharama wakati syllabus ni zilezile??
 
INSHU YA DR MWAKA ILIPANGWA

Hivi karibuni mdada machachari anayejulikana kwa kutukana watu bila uoga akijivunia kutoishi Tanzania hivyo mkono wa dora hauwez kumkamata na ambaye alikuja ili agombee ubunge akaishia polisi Mange Kimambi aliibuka na kuanza kumsakama dr Mwaka kuwa ni daktari feki na amekuwa akiwafanyia vitu vya ajabu akina mama.
Iliniumiza akili kumuwazia Mwaka kwa sababu nina ndugu yangu aliyepata tiba kwa huyu jamaa na akapona tatizo lake na leo ana mtoto na furaha maishani mwake.
Nikajiuliza hivi kama kuna watu walifanyiwa vitendo visivyofaa mbona hawajawah toka hadharani? Basi hata huyo Mange mbona hakuweka ushahidi juu ya hao watu zaidi ya porojo?
Nikajiuliza tena! Hivi kila sehemu ya tiba mfano Muhimbili kila anayeenda kupata tiba anapona? Iweje kwa Mwaka waseme kuna wasiopona? Inamaana walitaka wote walioenda pale wapone? mpaka wale waliotoa mimba na kuharibu vizazi?
Wakageuka na kusema anajifanya daktari wa kisasa wakati ana kibali cha mitishamba! Nikajiuliza kuna mtu alishapewa dawa za hospital kule kwa ? Mwaka? Mbona wote wanaoenda pale wanapewa mitishamba na matunda pekee?
Wakauliza amesomea wapi udaktari hivi kumbe uganga wa mitishamba unasomewa? Chuo gani hapa Tanzania na mimi niende??
Nilipata walakini lakini baada ya mishemishe za kutwa tangu Mwaka aumbuliwe kule Insta kama wanavyodai kuna mtu mpya kaibuliwa na anapewa promo sana anaitwa Fadhageti! Kwa sasa ukienda kila page ya superstar utakuta kampost huyo jamaa tena kwa advetise nyingi kuwa anatibu matatizo ya uzazi na sio tapeli na kumpamba kibao.
Jana usiku Mange naye akampost kwa sekunde chache ila watu walipomshambulia akatoa!
Baada ya kuunganisha hayo yote nikagundua kuwa kuna mchezo unaendelea chini kwa chini tena watu wakiwa wamelipwa pesa ya kutosha(mange) na mheshimiwa mmoja ili tu wamshushe Mwaka na kumpandisha jamaa mwingine baada ya kuona Mwaka anakuwa tishio kwa matabibu wenzake wa tiba za asili!
Naamin hamtaweza kwa sababu waliowahi kupata tiba kutoka kwa Mwaka na kupona ni wengi na wanashuhuda zao!!
Sinema bado inaendelea subirini tuone mwisho wake

Junior
Insta USHAURI_mahusiano
 
Last edited by a moderator:
Kwanza ufuatiliwe uliwezaje kupata ada hiyo 7 million kihalali kabla ya kuwaulizia feza schools ambao wanafanya biashara halali.Hulazimishwi kwenda pale. Iacheni serekali ifanye mambo mengine. Mbona huuulizie kwanini sehemu nyingine soda ni 2000 na bia 8000.Unaenda kwa hiari unalipa.Huweze acha.
 
Mabadiliko ni wewe. Usisubirie magufuli. Badilikeni kwa kuwapeleka watoto shule za kawaida. La sivyo kalipe.Hongera .Na wanapokuwa wa kwanza kitaifa mbona huongei.
 
Lipa lai moja mtoto anapata elimu na huduma nyingine zenye hadhi ya laki moja. Lipa milioni nane mtoto atapata huduma na elimu ya milioni nane. Kupanga ni kuchagua. Ada ya Feza haijaongezeka ila kuna baadhi ya huduma michango imeongezeka kulingana na kuongezeka kwa bei za bidhaa sokoni.
 
Back
Top Bottom