Unajua kauli ya living with one's choices?
I choose to take my child there, ningeweza mtoa. Ningekuwa chizi kama ningelalamika bila kuwa na basis.
Sijasikia kauli mpya ya serikali, ila nimesikia kauli ya shule kuwa ada itakuwa 8.3 Jan 2016 na 1st instalment ni 4.05 ndio nikajiuliza wametoa wapi guts za kupandisha ada mwaka huu ilhali serikali imesema wasipandishe.
Hiyo sio while ya serikali! Huwezi kulipa mtoe. Watanzania tunapenda vitu vizuri hila bra bra nyingi.....! Mpeleke govt school ni bure!