FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,897
- 46,987
Mi naamini nyinyi mliopeleka watoto huko mmefanya kufuru dhidi ya binadamu wenzenu wanaokosa 1,000/- ya mchango Wa karatasi. Lipeni sasa. Hakuna cha magufuli wala nini.
Kwanza wazazi/walezi tuliambiwa tusubiri tusilipe ada za shule za private mpaka tarehe 16 Dec 2015 serikali itakapotoa muongozo.
Baadaye serikali ikatoa agizo kwa shule za private zisipandishe ada kabla ya kujadiliana na wazazi na wizara kuhusu mabadiliko hayo.
FEZA SCHOOLS wamekiuka agizo hilo kwa kupandisha ada za sekondari bila kukaa na wazazi kutoka 7,250,000 hadi 8,300,000.
Na mbaya zaidi 1st instalment wanataka 4,050,000 (ada huwa inalipwa kwa instalment 3).
Sasa kama binti/kijana yuko form four utamuhamishaje? Shule nyingi hawapokei wanafunzi wa form four.
Muheshimiwa Rais, hii sio FEZA international.; ni shule inayofuata silabasi ya Taifa. Je hawa waturuki wako juu ya sheria?

Nitalipa lakini serikali ilikuwa inatafuta cheap popularity kwa kutangaza vitu ambavyo hawawezi simamia.
Hiyo ada kila mwaka inapanda, so kwa kuanzia ili amount to 5, ikaja 6, then 7, now 8.
Anayeanza form one analipa 9.05m
Magufuli ni chaguo la Mungu?
au ndo unakubali kiaina kuwa ni mwanasiasa like other
na alikuwa anatafuta cheap popularity...?
By the way nimeona for the first time FEZA wana tangaza kwa mabango shule zao
au nilikuwa si notice?kama wanatangaza for the first time it means hata wao wana upungufu wa wateja sio?
kuna kitu kime change so far they way i see it..
Nifafanulie tafadhali michango ipi na kutokana na bei iliyopanda kwa % ngapi? Haya ndio mlitakiwa kujadiliana na wazazi ili tuone tunafanyaje?
Je ni Tshirts?
Au ni mikate?
Au mishahara ya wapishi wakituruki?
Kwanza wazazi/walezi tuliambiwa tusubiri tusilipe ada za shule za private mpaka tarehe 16 Dec 2015 serikali itakapotoa muongozo.
Baadaye serikali ikatoa agizo kwa shule za private zisipandishe ada kabla ya kujadiliana na wazazi na wizara kuhusu mabadiliko hayo.
FEZA SCHOOLS wamekiuka agizo hilo kwa kupandisha ada za sekondari bila kukaa na wazazi kutoka 7,250,000 hadi 8,300,000.
Na mbaya zaidi 1st instalment wanataka 4,050,000 (ada huwa inalipwa kwa instalment 3).
Sasa kama binti/kijana yuko form four utamuhamishaje? Shule nyingi hawapokei wanafunzi wa form four.
Muheshimiwa Rais, hii sio FEZA international.; ni shule inayofuata silabasi ya Taifa. Je hawa waturuki wako juu ya sheria?
Wateja wamepungua kabisa jana nimepita pale mlimani city wanagawa vipeperushi vyao nikajiuliza kuna nini tena feza?
Daaah!! Form one ada 8m, kwa dizaini hii sidhani kama watu wataacha kuiba.
Elimu imebinafsishwa kiasi kwamba sasa imefanywa ni zao la biashara jumla.
Serikali isipokuwa makini kuna muda utafika shule za private zitakuwa zinaipangia serikali mambo inayoyataka nabserikali itabidi iwasikilize kwa sababu haitakuwa na other alternative.
Kumbuka madereva wa mabasi ubungo Leo wakiamua wanaiamrisha serikali na serikali inafuatwa wanachosema coz reli walishauwa, makampuni ya umma ya usafirishaji walishayau so hawana alternative nyingine.
Mwaka jana walipandisha kutoka 6 to 7m, uliona tulikuja kulalamika? Wenye kuhamisha walihamisha.
Tumeilalamikia serikali kwasababu ilijitanabaisha kuwa ina uwezo wa kuratibu ada za private schools. So we are holding to their words. Nikiwa mdogo nilifundishwa kutoahidi kitu kama siwezi timiza.
Kaunga .let's pray with me.in the name of almighty Jesus Christ or Allah and Prophet Mohamad asw .to cast out you from demons of selfish and pride and idoitig behave from the money you swindle from poor Tanzanians .and anybody around say .Amen so that our ndugu and is followers will be free .Again Amen
Mimi binafsi nimeliona hili
walikuwaga hawafanyi promotions
wanaringa....kupata tu nafasi shida hata kama una pesa
leo kuna kitu kimebadilika
Hata wanafunzi sasa hivi wanachukua wa kawaida sana, nilipeleka watoto 2, canosa na siku ileile tena feza boys walikuwa wanafanya nimekuta idadi ndogo sana tofauti na ule umati niliokuta canosa ilibidi zipigwe interview 3 ili kujaza
Canosa shule nzuri sana
Mimi niko curious na FEZA
why brand yao ipo juu?
wana fanya nini tofauti ambacho shule za waswahili hawawezi?
Aanze na uchunguzi kwa wote wanaosomesha watoto wao huko lazima kuna majipu kibao