Agano la damu katika mahusiano ya kimapenzi

Agano la damu katika mahusiano ya kimapenzi

Pasco mbona siamin unachosema!! Kuchukua malaya sio dhambi au mimi naota?
 
Last edited by a moderator:
hayo uyaonayo na uyafuatayo endelea nayo
sitakuwa wa mwisho hata kidogo labda wewe
oky kila la kheri katika safari yako hapa duniani

inawezekana!. Mambo haya yanafanywa na wengi tuu ili humu jf wanajidai malaika fulani!, kama hata wewe haukuwa wa kwanza, there is no guarantee kuwa utakuwa ndio wa mwisho!.

Namshukuru sana Mungu, wife wangu ni muelewa,ananielewa na kunikubali hivi hivi nilivyo!.
Mimi ni Mwafrika wa kiasili kabisa!, uongo wa dini za wazungu, niliushtukia zamani, nikaachana nao, nafuata mafundisho ya Biblia kama walivyoishi watu wa Agano la Kale!.
Pasco.
 
Kwa hiyo Pasco unamaanisha uwapo safarini huwa unafanya uzinzi kama kawaida!
Mkuu Soki, sijasema hivyo, na wala huduma hizo usiziite uzinzi!.

Nimeanza kwa kusema kuwa wife alienda masomoni US kwa miaka 4!, jee ndio ulikuwa mpango wa Mungu kuwa nitasubiri miaka hiyo yote minne bila bila?!. Hakuna aliyejibu!.

Nikasema nikisafiri safari ya mbali ya muda mrefu, huduma za kijamii ninazipata kwa kuzilipia with very clear concious that I'm doing nothing wrong only the need!. Nimesome kwenye Biblia mitume walifanya hivyo, manabii walifanya hivyo hata Nanii nae pia alifanya japo haikuandikwa!.

Hii ya kuanza kunyoosheana vidole, hii ni dhambi hii sio, ni kutishana tuu,
Mtu anafanya dhambi hata kwa kutamani tuu achilia kutenda!.
Tunaokolewa kwa neema tuu na sio kwa matendo!.
Pasco.
 
mchepuko upo na unawakolea sana watu wenye ndoa zao hususani akina nyie
NA HASA NYIE WANAUME HAMTOSHEKI KILA MUONAPO MWAONA :A S 465::A S 465::A S 465:
hakuna cha mahitaji muhimu ya mwanadamu fanya kama wanavyofanya wenzako
wanaoa wake 8 ili kujifurahisha miili yao kwanini wewe umtese kimawazo mkeo
na kusema eti hana tatizo unajua anachokiwaza ndani ya ufahamu wake au
unajua anachokiona juu yako unadiliki kumsaliti mkeo kwa fahari na mmbwembwe
nyingi huku ukijiona umewini, halafu unatuita MENTAL SLAVERY haaa!
Hebu niache niende zangu bungeni mm nikaone JK anasema nini kipya

Hakuna cha mchepuko wala nini!, mimi nazungumzia mahitaji muhimu ya kibinaadamu!.
Pasco
 
Pasco mbona siamin unachosema!! Kuchukua malaya sio dhambi au mimi naota?
Acha lugha za machukizo!, hao watoa huduma usiwaite jina baya hilo, wanawake karibu wote hutoa huduma hiyo hiyo, wengine wameuza kwa bei ya jumla ikkitwa "mahari" na wamemuuzia mteja mmoja!, wengine hawakubahatisha kupata mteja mmoja wa kukunua kwa bei ya jumla ya kitu kinachoitwa "ndoa", hivyo wao wanatoa huduma hiyo kwa wateja tofauti kwa bei ya rejareja!. Wanachofanya ndicho walichofanya wanawake wengi tuu kwenye Biblia wengine ni watakatifu kama Maria Magdalena!.
Please waheshimu!, huduma hizo mimi huzitumia pale inapobidi!.
Pasco.
 
we jamaa muongo acha kutudanganya,labda ndoa yako bado changa ngoja ikomae tuone kama hiyo michepuko utaiepuka.
 
Pasco usitumie biblia kupindisha utakavyo; Kuwa masomoni 4 yrs doesnt justify kufanya zinaa. kama perception yako inasema na mkeo hakuweza kuvumilia hell no, wengi tu wanaweza kukaa miaka bila zinaa , usibishe tu kwa kuwa wewe huwezi na vile vile kuna wanaume wanaoweka kukaa miaka bila zinaa. Your perceptions cant be generalized.

Every act starts with a will , u a saidit correctly if you will not to do it ,the will will guide your brain accordingly. SInce umejiaminisha kuwa ni basic need so will ur brain tell u so

Kama ni suala la ugonjwa je? Mkeoa akiumwa amepooza utasema oh my needs , so where are the sacrifices za upendo ule unaoelezwa ktk biblia?

Dhambi itabaki kuwa dhambi. Having a milion people do it doesnt make it right.
 
Mkuu LifeHacker, umetisha!, hili nililizungumzia kwenye mada zangu kitu kinachoitwa "nuksi", Kiislamu wanaita janaba!.
Niliizumgumzia mahali sikumbuki ni thread gani, ila karibu yote usemayo ni kweli, ila sio sio kweli kuwa ni kwenye kila kufanya mapenzi, mnaweka maagano ya damu!.

Mimi siiti maagano ya damu bali maagano ya life commitment!.

Lengo la Mungu kuumba sex ni watu waungane kwenye physical love, "kufanya sex", watu waungane kwenye emotional love "kutoshelezana, na liwazo la moyo, watu waungane kwenye "spiritual love" ecstatic gratification with multiple orgasms", na katika miungano hii, watu hao wapewe ule uwezo wa Kimungu wa kufanya creation ya viumbe wengine (procreation)!.

Mungu hakuliumba tendo la ndoa ili liwe tuu ni burudani au starehe!, ndio maana tendo hilo ni sacred na wanawake wote!, nasema wote with no exceptions walipaswa kuolewa wakiwa "b"!. Kufuatia mabadiliko ya kimaendeleo, binti anakuwa tayari at 15 years akiwa shule na anakuja kuolewa from 25 years onwards, keeping her seal ni issue, hivyo hujikuta wameanza kufanya kabla ya ndoa!.

Hilo agano la damu kwenye sex, linakuja tuu pale ambapo, threr is love expectations na life long commitments!. Kama sex inafanyika only for the physical part, for the sake of gratificatins only, no emotions, no commitment, then there will be no attachments hivyo hakuna maagano yoyote!.

Mfano wavulana wengi wakati wanawatokea mabinti, huingia kwa gia ya love!, kuwa wanawapenda!, yule binti anapokubali hadi kufanya sex, lengo lake na imani yake ni kukubali kujigive herself for love ili ukipendezewa, unaweza kuchukua jumla!, na ndipo hapa kwenye commitments, attachments na hayo maagano ya love!. Mkiishafanya ni kweli unabaki na maagano ukiachia bila sababu za msingi, utafidia, na sometimes hadi nuksi!.

Lakini ukifanya sex na wale wadada walioko kibiashara zaidi, au wale ambao wanajiachia wenyewe wafanya kwa raha zao, no love, no commitments no maagano!.

Mimi nimeingia UDSM tayari nikiwa committed, ila wife alikuwa US kwa miaka yote minne niliokuwa UD!, nilipewa single room pale Block F, Mabibo hostel!, na kwa bahati nzuri, nilitangulia kwanza kuzishika (pesa), nikaingia chuo na fungu langu!, hivyo you can imagine vile vibinti vitegemea boom, na linavyochelea, na lisivyotosha!, ningewapitiaje?!.

Kiukweli kutokana na dhiki, kuna vibinti vilikuwa vinajigive in vyenyewe ili kupata chochote!. Kwa vile mimi tayari nilikuwa committed, kuvipitia hivi vibinti vinavyotafuta missada, niliona haikuwa right!, nikawa nikiwa na uwezo wa kusaidia nasaidi, malipo no!. Hvyo naweza kukiri wazi kabisa na Mungu ni shahidi yangu, nilipiga miaka zote nne bila kugusa kitoto chochote cha chuo!. Haina maana miaka yote hiyo minne mimi ndio nilikuwa mtakatifu fulani!, wala siamini kuwa kwa hiyo shule ya wife wangu na yeye ni ya miaka minne, ndio mpango wa Mungu eti wote tusifanye sex eti tuu kwa vile tnaviapo!. No way!. My way ilikuwa ni kuwa target wale ambao wako tayari kwa sex with no commitment, no strings attached, unauliza bei, unapangiwa, unafika bei, unahudumiwa, mnamalizana, next time ukiwa mhitaji ndipo unafuata huduma na sio lazima kiwanja kile kile!, kuna siku unafuata huduma, unamkuta aliyekuhudumia last time ila umependezewa pengine zaidi, you just go, you just do, na hakuna agano lolote!.

Ila pia mimi ni miongoni mwa wale ambao tunaendelea kulipia very high price to pay kwa niliyoyafanya nikiwa kijana wakati huo sijajua kuwa kumbe haya mambo yana maagano na price to pay!, nimeisha lipa sana na mpaka sasa ninaendelea kulipia!, ila pia tabia na huduma with no commitments, no strings attached zinaendelea haswa niwapo safarini!. Utaratibu ni no promises, usiahidi chochote!, wewe lipia tuu huduma!, hudumiwa, endelea na maisha yako na yeye maisha yake!, hata ukinogewa vipi, usiahidi kitu sana sana ungeza tuu dau kuliko bei ya makubaliano kuonyesha appreciation!
Pasco

Aisee mependa na nahtaji kulielewa hili jambo vyema kabisa,kama nlishafanya makosa nisirudie tena
 
Acha lugha za machukizo!, hao watoa huduma usiwaite jina baya hilo, wanawake karibu wote hutoa huduma hiyo hiyo, wengine wameuza kwa bei ya jumla ikkitwa "mahari" na wamemuuzia mteja mmoja!, wengine hawakubahatisha kupata mteja mmoja wa kukunua kwa bei ya jumla ya kitu kinachoitwa "ndoa", hivyo wao wanatoa huduma hiyo kwa wateja tofauti kwa bei ya rejareja!. Wanachofanya ndicho walichofanya wanawake wengi tuu kwenye Biblia wengine ni watakatifu kama Maria Magdalena!.
Please waheshimu!, huduma hizo mimi huzitumia pale inapobidi!.
Pasco.
mh Pasco mbona unanipa shida kujua upo katika group gan?
 
Hheee my dia nawe unaamini hayo?
sikujua kuwa kumbe ndani nina mtu wa aina hii
kwani kipi jamani ambacho hapo nimekisema hakiexist? hamna majini ?,hawawaposses watu?? infact wapo na wanasumbua sana huo ndio ukweli
 
Pasco usitumie biblia kupindisha utakavyo; Kuwa masomoni 4 yrs doesnt justify kufanya zinaa. kama perception yako inasema na mkeo hakuweza kuvumilia hell no, wengi tu wanaweza kukaa miaka bila zinaa , usibishe tu kwa kuwa wewe huwezi na vile vile kuna wanaume wanaoweka kukaa miaka bila zinaa. Your perceptions cant be generalized.

Every act starts with a will , u a saidit correctly if you will not to do it ,the will will guide your brain accordingly. SInce umejiaminisha kuwa ni basic need so will ur brain tell u so

Kama ni suala la ugonjwa je? Mkeoa akiumwa amepooza utasema oh my needs , so where are the sacrifices za upendo ule unaoelezwa ktk biblia?

Dhambi itabaki kuwa dhambi. Having a milion people do it doesnt make it right.

Inawezekana ana biblia ya kwake binafsi na sio Biblia takatifu.
 
mh Pasco mbona unanipa shida kujua upo katika group gan?
Niko kwenye kundi la ukweli, lile la ordinary human beings na sio super human!, nina ndoa, ni mwaminifu sana na wife wangu, aliposafiri safari ya kimasomo, nilivumilia kiasi cha kutosha kibinaadamu, nilipofika mwisho, nilinunua huduma kwa wauzaji wa huduma hizo, no love, no commitments no strings attached hivyo hakuna maagano yoyote!.

Mpaka leo, nikisafiri safari ya mbali, kwa muda mrefu, huko huko safarini niliko, nikitokea kuwa ni mhitaji wa huduma hizo za kibinaadamu, huzinunu na kuzilipia!. Wife ananifahamu fika, anazijua streghths zangu na weaknesses zangu, anaponifanyia packing, pia "huniwekea!".

Kwa vile duniani kuna wanaume wengi kuliko wanawake, kila mwanamke akiolewa na mume mmoja, a big number wanabaki wamehang with nothing to do, hivyo kwangu mimi, hiyo biashara ni halali kwao, na kwa wale wahitaji genuine, naamini kupata huduma hizo, sio dhambi kama wengi wanavyoamini!.

Niliwahi kuanzisha uzi humu, hii biashara ihalalishwe!, [h=3]Opinion: Is It Not, Its High Time, Tanzania Tuhalalishe [/h]Thread hiyo ilichangiwa na watu wawili tuu!, ili ukitembelea viwanja siku kama ya leo, na kushuhudia bidhaa zilizo sokoni na wateja wanavyopishana!, huwezi amini hii biashara ni illegal!.
Mfano mimi saa hizi, niko Rombo nashtua, baadae napita viwanja vya dagadagaa kupata 'ile kitu", usiku wa kati naenda Calabash kukumbushia enzi, nikitoka napita Corner Bar kusafisha macho, ndipo naelekea home!.

duh kama your wife wako yote hayo anayajua basi she must be very special.
 
duh kama your wife wako yote hayo anayajua basi she must be very special.
She is very special indeed!, I consider myself very lucy!, ningekuwa Muislamu, she is a type of a woman, as mke mkubwa, angewapokea wake wadogo wote wanne na wangeishi nyumba moja kwa amani!
Wanawake wa aina hii wako very rare ila wapo, na wanaitwa "super woman!", Pasco wa jf, ni mmoja wa wachache waliobahatika kuwapata hawa supper woman na kuwaoa!.

I thank God for her, I thank God for Everything!, najikubali madhaifu yangu!, nakubali maisha ya upotevu yangu,
Bwana Yesu alikuja kwa ajili ya watu kama sisi, wale wapotevu na sio kwa ajili ya wakamilifu!.
after all tunaokolewa kwa neema tuu na sio kwa matendo.
Pasco.
 
Pasco,

Nakupata sana mkuu na hoja zako kama tukizipima kwa mapana yake, tutagundua upo sahihi.

Emu tazama huu mfano, life style ya mababu zetu zamani ilikuwaje? Sitaki kuamini kama wao walikuwa wana mke mmoja tu eti kisa amefanya nae maagano. Hadi hivi sasa wamasai wanaishi maisha ya neema na afya tele lakini mwanaume mmoja anakuwa na wanawake hata 7 (provided he's able serve them all).

Hii hali ya watu kuwa inside the box na kufanya tafsiri ya mistari ya biblia kimakosa ndio inafanya baadhi ya wachangiaji humu kupinga hoja yako na kuwa closed minded.

Kama kufanya mapenzi na mwanamke nje ya yule ambae umefanya nae agano ni dhambi. Je. Abrahamu alivyofanya mapenzi na kijakazi wake ilikuwa sio sahihi? Kwanini binadamu tuna complicate mambo madogo? Ngono isiyo na ahadi yoyote zaidi ya pleasure ni sahihi kabisa kufanywa.

Abrahamu aliambiwa na mke wake Sara ajipatie mtoto kutoka kwa mjakazi wao Hajiri, kinyume na ahadi ya Mungu alivyomuahidi atampa mtoto, wenyewe waliona wanachelewa.Kitendo hiko cha Abrahamu kilileta shida mpaka leo kwa Hajiri (mjakazi) akazaliwa Ishmaeli kwa Sara (mkewe) akazaliwa Isaka mtoto wa agano, yakatokea mataifa mawili yanashindana mpaka leo Israel na Palestina Ugomvi wao ni wa kifamilia hauwezi kutatuliwa kisiasa.
 
NENO HILI LIMFIKIE YULE ASIKIAYE NA AONAYE HAPA

watu wanaoendekeza chini utawaona kwa tabia na matendo yao
huwezi kudiriki kufanya mambo ya kipuuzi ili wewe wajiheshimu

Wewe mdada mbona ume-panic sana!? Kama una amini kwa kuulinda mwili wako dhidi ya kufanya "sex" kutakupeleka mbinguni, kutakuweka huru na maagano au what ever nonsense that u believe, basi ningependa ujue kuwa wenzako hatuamini hivyo.

Nimeona post zako nyingi kuwa unajipambanua wewe kama mtu mtakatifu sana. But to me u sound kama mnafiki tu. Na watu wa aina yako tupo nao huku mitaani. Uwa tunawaona mnatembea na bible mchana halafu usiku mna ndio mnaongoza kufanya manunuzi ya condoms na ku-bend over. Unafiki mbaya sana.

Wanaume kwa sasa tumechoka kuwa waongo. Kama ukweli utatufanya tuonekane wenye dhambi, then we let it be that way. ana chosema Pasco ndio wanaume wengi tulivyo. Period.
 
Back
Top Bottom