Kuna vitu viongozi wetu wa dini wanavijua lakini hawawafundishi nyinyi!, miongoni mwa vitu hivyo ni Mungu alipotuumba binadamu wote, na kutupulizia ile pumzi ya uzima, kwa kufanya hivyo, umetugawia 'Umungu" ndani yetu, hivyo Mungu yuko ndani yetu watu wote, wanaomwamini na hata wasio mwamini!. Hivyo hata kabla hao wazungu walipoleta dini zao huku, waliwakuta mababu tayari wanaye Mungu!, hivyo kitendo cha kudismiss everything katika imani zao za asili in totality, its not fair!. Ndio hao wametuletea huu ujinga wa mume mmoja mke mmoja!. Hakuna popote Bibilia Takatifu imetamka mume mmoja mke mmoja!, hii ni just the making ya wazungu na mauongo yao!. Mimi binafsi ningetamani sana kuwa kama Mfalme Suleiman!. Unaijua idadi ya wake zake?!.
Dini, mila na desturi zetu za asili, zilikuwa zina mazuri yake na mabaya yake!, na dini hizi za wazungu, zina mazuri yake na mabaya yake!, mimi nimechukua mazuri from both, na kuyaacha mabaya from both!, hili la mume mmoja na wanawake kadri ya uwezo wao ndilo moja ya mazuri ya mambo yetu ya asili!, na hilo la mume mmoja, mke mmoja ni miongoni mwa mabaya ya dini za wazungu!, nimeachana nayo na marafiki zangu kibao, wana nyumba ndogo!, cha ajabu zaidi wengine ni makasisi wetu!.
Pasco
Soma hapa katika Biblia inasisitiza mke mmoja mume mmoja..1 Corithians 7;1-2(KJV}
1.Now concerning the things whereof ye wrote unto me: It is good for a man not to touch a woman
2.Nevertheless, to avoid fornication, let every man have his own wife, and let every woman have her own husband.
Pia soma Proverbs 5;15-20(KJV
15.Drink waters out of thine own cistern, and running waters out of thine own well.
16.Let thy fountains be dispersed abroad, and rivers of waters in the streets.
17.Let them be only thine own, and not strangers' with thee.
18.Let thy fountain be blessed: and rejoice with the wife of thy youth.
19.Let her be as the loving hind and pleasant roe; let her breasts satisfy thee at all times; and be thou ravished always with her love.
20.And why wilt thou, my son, be ravished with a strange woman, and embrace the bosom of a stranger?
Hiyo ni baadhi ya mistari lakini hebu turudi kwenye uumbaji Mungu alifanya nini?
Mwanzo 1;27 Mungu alimuumba Mwanaume na Mwanamke.
Mwanzo 2;7 inafafanua vizuri Mungu alivyomuumba mwanaume
Mwanzo2;18-19 Mungu anasema siyo vizuri mtu huyu awe pekeyake nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.(hakusema nitamfanyia wasaidizi bali ni Msaidizi yaani mmoja}
Mwanzo 2;21-23 Mungu anatwaa ubavu mmoja katika Adam na tunaona mwanamke anaumbwa kisha Adam anasema huyu ni nyama katika nyama zangu na mfupa katika mifupa yangu pointi ya kushika ni kwamba alitoa ubavu mmoja na akaumba mwanamke mmoja.
Mwanzo 2;24 Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh. Hapa Mungu anasisitiza tena kwa mwanaume kwamba ataachana na wazazi wake ataambatana na MKEWE amdaye ni mmoja na ataungana naye na atakuywa mwili mmoja,mwili mmoja haupatikani kwa kuunganika na wanawake wengi, kwahiyo ni mpango kamili wa Mungu kila mtu awe na mke na mume mmoja na yeye ndiyo mwanzilishi wa ndoa.
Kuhusu Suleiman tunaona hasara ya kwanza aliyopata wale wanawake waliugeuza moyo wake pamoja na kizazi chake kutoka kumwabudu Mungu wa kweli mpaka kuiabudu miungu yao,Mungu alikuwa amemuapia Daudi kwamba Suleimani hata mwaga damu tunaona baada ya yeye vita viliendelea na Israel wakawa wanapigwa na adui zao.
Pia tunaona Suleimani anaona mambo yote aliyofanya ni ubatili mtupu na kujilisha upepo
Ecclesiastes 1:2 Vanity of vanities, saith the Preacher, vanity of vanities; all is vanity.
Ona hapa naye anasisitiza jambo juu ya ndoa tena ya mke mmoja;
Ecclesiastes 11:9 Rejoice, O young man, in thy youth; and let thy heart cheer thee in the days of thy youth, and walk in the ways of thine heart, and in the sight of thine eyes: but know thou, that for all these things God will bring thee into judgment.
Ecclesiastes 9:9 Live joyfully with the wife whom thou lovest all the days of the life of thy vanity, which he hath given thee under the sun, all the days of thy vanity: for that is thy portion in this life, and in thy labour which thou takest under the sun.
Na mwisho Suleiman anamaliza hivi:
Ecclesiastes 12:13 Let us hear the conclusion of the whole matter: Fear God, and keep his commandments: for this is the whole duty of man.
Ecclesiastes 12:14 For God shall bring every work into judgment, with every secret thing, whether it be good, or whether it be evil.
Suleiman naye alikosea tu kama wanadamu wengine wanavyokosea na mwisho alikiri ukweli kama unavyoona hapo juu.
Pia mfano mwingine mzuri kwamba Mungu anapendelea ndoa ya mke mmoja na mume mmoja ni wakati wa Nuhu Mungu alimwambia Nuhu aingie kwenye safina na kila kiumbe chenye jinsi ya kike na kiume kimojakimoja.Na kupitia hao tu ulimwengu ulijaa tena.