Mkuu everlenk, nakubaliana na wewe, tatizo langu ni kuwe mkweli daima!, niko very frank, wife amepata scholarship ya miaka 4 Marekani!, kweli ndio mpango wa Mungu, nizikose huduma zile kwa kipindi chote cha miaka 4?!, No way!, hata kiafya, kibaiologia, kisaikolojia, ki anatomy ya viungo vile!, haishauriwi!.
Ndio maana hata kwenye Biblia Takatifu inapobidi unafanya nje!. Anzia kwa Lutu, nini kilifanyika kwa wale mabinti wawili wa Lutunwaliokuwa wote ni ma bi... mara baada ya mama yao kugeuka nyuma na kugeuka jiwe la chumvi?!. Tuje kwa Ibrahim, baada ya mkewe Sara kuwa hazai?, tafuta kisa cha kiongozi mmoja aliyezaa na Tamari watoto mapacha Peresi na Zera etc.
Yesu kufanya sex inje ya ndoa ni dhambi, ila hiyo dhambi itakuwa ni dhambi tuu kama unatoka nje bila any justified reasons!. Ukiwa na sababu halali kama mimi, hakuna dhambi yoyote, provided ukifanya na mwanamke mala..kunakuwa hakuna maagano yoyote zaidi ya money exchange!.
Dhambi ni pale kutoka nje ya ndoa bila sababu yoyote ya msingi!, (kubadili mboga sio sababu), then unakwenda kutoka na visichana single kwa ahadi zozote zile, hapo ndipo mnajikuta mnaweka maagano!.
Maagano hayopo kwenye like physical tendo la sex, bali the willpowers behind, the motive behind, the expectations etc!.
Mimi mpaka kesho, nikisafiri safari ya mbali ya muda mrefu, hadi likatokezea hitaji la huduma hizo!, hujinunulia huduma hivyo kihalali kabisa with very clear conscious without a blink of an eye kuwa I'm doing something wrong!.
Lengo la Mungu kutuumba, alituumba ili tufurahi, na ndia maana akaiweka burudani hiyo mahali pale ili viumbe wake wafaidi, waburudike, wastarehe!.
Pasco