Mkuu LifeHacker, umetisha!, hili nililizungumzia kwenye mada zangu kitu kinachoitwa "nuksi", Kiislamu wanaita janaba!.
Niliizumgumzia mahali sikumbuki ni thread gani, ila karibu yote usemayo ni kweli kabisa kufanya sex na multiple partners, kunasababisha ama nuksi fulani, ama bahati fulani na kutegemeana, ila sio kweli kuwa ni kwenye kila kufanya mapenzi, mnaweka maagano ya damu!.
Mimi siiti maagano ya damu bali maagano ya life commitment!.
Lengo la Mungu kuumba sex ni watu waungane kwenye physical love, "kufanya sex", watu waungane kwenye emotional love "kutoshelezana, na liwazo la moyo, watu waungane kwenye "spiritual love" ecstatic gratification with multiple orgasms", na katika miungano hii, watu hao wapewe ule uwezo wa Kimungu wa kufanya creation ya viumbe wengine (procreation)!.
Mungu hakuliumba tendo la ndoa ili liwe tuu ni tendo la burudani au starehe!, ndio maana tendo hilo ni sacred na wanawake wote!, nasema wote with no exceptions walipaswa kuolewa wakiwa "b"!. Kufuatia mabadiliko ya kimaendeleo, binti anakuwa tayari at 15 years akiwa shule na anakuja kuolewa from 25 years onwards, keeping her seal ni issue, hivyo hujikuta wameanza kufanya kabla ya ndoa!.
Hilo agano la damu kwenye sex, linakuja tuu pale ambapo, there is love expectations na life long commitments!. Kama sex inafanyika only for the physical part, for the sake of gratifications only, no emotions za emotional love, kunakuwa hakuna spiritual love, there is no commitment then there will be no attachments hivyo hakuna maagano yoyote!.
Mfano wavulana wengi wakati wanawatokea mabinti, huingia kwa gia ya love!, kuwa wanawapenda na wanataka kuwaoa!, yule binti anapokubali hadi kufanya sex, lengo lake na imani yake ni kukubali kujigive herself for love ili ukipendezewa, unaweza kuchukua jumla!, na ndipo hapa kwenye commitments, attachments na hayo maagano ya love!. Mkiishafanya ni kweli unabaki na maagano ukiachia bila sababu za msingi, utafidia, na sometimes hadi nuksi!.
Lakini ukifanya sex na wale wadada walioko kibiashara zaidi, au wale ambao wanajiachia wenyewe wafanya kwa raha zao, no love, no commitments no strings attached, kunakuwa hakuna maagano yoyote!.
Mimi nimeingia UDSM tayari nikiwa committed, ila wife alikuwa US kwa miaka yote minne niliokuwa UD!, nilipewa single room pale Block F, Mabibo hostel!, na kwa bahati nzuri, nilitangulia kwanza kuzishika (pesa), nikaingia chuo na fungu langu!, hivyo you can imagine vile vibinti vitegemea boom, na linavyochelewa, na lisivyotosha!, ningewapitiaje?!.
Kiukweli kutokana na dhiki, kuna vibinti vilikuwa vinajigive in vyenyewe ili kupata chochote!. Kwa vile mimi tayari nilikuwa committed, kuvipitia hivi vibinti vinavyotafuta missada, niliona haikuwa right!, nikawa nikiwa na uwezo wa kusaidia nasaidia tuu, malipo no!. Hivyo naweza kukiri wazi kabisa na Mungu ni shahidi yangu, nilipiga miaka yote minne UDSM bila kugusa kitoto chochote cha chuo!. Haina maana miaka yote hiyo minne mimi ndio nilikuwa mtakatifu fulani!, wala siamini kuwa kwa hiyo shule ya wife wangu na yeye ni ya miaka minne, ndio mpango wa Mungu eti wote tusifanye sex eti tuu kwa vile tunaviapo!. No way!. My way ilikuwa ni kuwa target wale ambao wako tayari kwa sex with no commitment, no strings attached, unauliza bei, unapangiwa bei, unafika bei, unalipa, unahudumiwa, mnamalizana, next time ukiwa mhitaji ndipo unafuata huduma na sio lazima kiwanja kile kile!, kuna siku unafuata huduma, unamkuta aliyekuhudumia last time ila umependezewa pengine zaidi, you just go, you just do, na hakuna agano lolote!.
Ila pia mimi ni miongoni mwa wale ambao tunaendelea kulipia very high price to pay kwa niliyoyafanya nikiwa kijana wakati huo sijajua kuwa kumbe haya mambo yana maagano na price to pay!, nimeisha lipa sana na mpaka sasa ninaendelea kulipia!, ila pia tabia na huduma with no commitments, no strings attached zinaendelea haswa niwapo safarini!. Utaratibu ni no promises, usiahidi chochote!, wewe lipia tuu huduma!, hudumiwa, endelea na maisha yako na yeye maisha yake!, hata ukinogewa vipi, usiahidi kitu sana sana ongeza tuu dau kuliko bei ya makubaliano ya awali ili kuonyesha appreciation!.
Kitu muhimu sana cha kuzungatia ni kabla huja...hakikisha umepima compatibility test na kuangazia kama ni nuksi au la, na ukimaliza, hakikisha unaoga maji vizuri kujitakasa na kuondoa mabalaa yote.
Pasco