ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,755
kuna watu ambao wana claim washawahi au huwa wanafanya mapenzi na jini au majini,imani yangu inanielekeza kwamba majini wameharamishiwa kuingia katika miili ya binaadamu na kuwapossess not to mention kufanya nao mapenzi so hawa unawaweka katika fungu gani?? ,na wale ambao wamefanya mapenzi na watu ambao wako na mashetani/majini hali ya kuwa wao hawana inakuwaje mustakabali wao na wenyewe wamechukua hiyo laana ama vipi
cc : Pasco
Hakuna jini aliyeharamisha hao ndo watumishi wa shetani,shetani alipotupwa kutoka mbinguni alishuka pamoja na kundi la malaika walioasi (majini) pamoja naye,hao ndo anawatumia kuwatesa watu.
.....Majini hayatakiwi yakae ndani ya mtu, humwingia mtu anayefanya dhambi ila kwa mtu anayeishi maisha ya kumcha Mungu hayagusi,sisi tunajua vema maana huwa tunayatoa mita kwa jina la Yesu wa Nazarethi na kuwaacha watu.
......Na yakisha mwingia mtu lazima awe anateseka na magonjwa,mikosi,hofu nk.hivyo mtu anapozini na mtu mwenye majini lazima cha moto atakiona maana anakuwa amegusa mke/mme wa jini lazima limharibie.....hebu tazama Emmanuel TV.ya TB Joshu utaona.