Agano la damu katika mahusiano ya kimapenzi

Pasco,

Nakupata sana mkuu na hoja zako kama tukizipima kwa mapana yake, tutagundua upo sahihi.

Emu tazama huu mfano, life style ya mababu zetu zamani ilikuwaje? Sitaki kuamini kama wao walikuwa wana mke mmoja tu eti kisa amefanya nae maagano. Hadi hivi sasa wamasai wanaishi maisha ya neema na afya tele lakini mwanaume mmoja anakuwa na wanawake hata 7 (provided he's able serve them all).

Hii hali ya watu kuwa inside the box na kufanya tafsiri ya mistari ya biblia kimakosa ndio inafanya baadhi ya wachangiaji humu kupinga hoja yako na kuwa closed minded.

Kama kufanya mapenzi na mwanamke nje ya yule ambae umefanya nae agano ni dhambi. Je. Abrahamu alivyofanya mapenzi na kijakazi wake ilikuwa sio sahihi? Kwanini binadamu tuna complicate mambo madogo? Ngono isiyo na ahadi yoyote zaidi ya pleasure ni sahihi kabisa kufanywa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu everlenk, nakubaliana na wewe, tatizo langu ni kuwe mkweli daima!, niko very frank, wife amepata scholarship ya miaka 4 Marekani!, kweli ndio mpango wa Mungu, nizikose huduma zile kwa kipindi chote cha miaka 4?!, No way!, hata kiafya, kibaiologia, kisaikolojia, ki anatomy ya viungo vile!, haishauriwi!.

Ndio maana hata kwenye Biblia Takatifu inapobidi unafanya nje!. Anzia kwa Lutu, nini kilifanyika kwa wale mabinti wawili wa Lutunwaliokuwa wote ni ma bi... mara baada ya mama yao kugeuka nyuma na kugeuka jiwe la chumvi?!. Tuje kwa Ibrahim, baada ya mkewe Sara kuwa hazai?, tafuta kisa cha kiongozi mmoja aliyezaa na Tamari watoto mapacha Peresi na Zera etc.

Yesu kufanya sex inje ya ndoa ni dhambi, ila hiyo dhambi itakuwa ni dhambi tuu kama unatoka nje bila any justified reasons!. Ukiwa na sababu halali kama mimi, hakuna dhambi yoyote, provided ukifanya na mwanamke mala..kunakuwa hakuna maagano yoyote zaidi ya money exchange!.

Dhambi ni pale kutoka nje ya ndoa bila sababu yoyote ya msingi!, (kubadili mboga sio sababu), then unakwenda kutoka na visichana single kwa ahadi zozote zile, hapo ndipo mnajikuta mnaweka maagano!.

Maagano hayopo kwenye like physical tendo la sex, bali the willpowers behind, the motive behind, the expectations etc!.

Mimi mpaka kesho, nikisafiri safari ya mbali ya muda mrefu, hadi likatokezea hitaji la huduma hizo!, hujinunulia huduma hivyo kihalali kabisa with very clear conscious without a blink of an eye kuwa I'm doing something wrong!.

Lengo la Mungu kutuumba, alituumba ili tufurahi, na ndia maana akaiweka burudani hiyo mahali pale ili viumbe wake wafaidi, waburudike, wastarehe!.
Pasco
Hahahahaha! mkuu Pasco naona unajitahidi sana kujustify uzinzi,dhambi ni dhambi tu narudia tena kwa

msisitizo,kama msomaji mzuri wa Biblia je hukumbuki Lutu alivyowalaani wanawe cause wameona utupu wa

babayao,Vipi Hajiri na mwanawe Ishamael nini kiliwapata japokuwa ni Sara mwenyewe aliliruhusu hilo lakini

ilibidi Ibrahimu atake asitake lazima amfukuze Hajiri na mwanae unafikiri ni kwanini? Sababu ni kwamba Mungu

alishamwambia Ibrahimu atampa uzao na utakuwa kama mchanga wa bahari lakini alishindwa kujitambua na kusimamia

ukweli huo akajikuta akishawishika na maneno ya mkewe,Mungu hakuwa amesema na Sara kabla hivyo hakujua chochote

ila Ibrahimu alijua hivyo hakupaswa kumsikiliza mkewe ilibidi aingoje ahadi mpaka mwisho na mwishowe tunaona

baada ya Isaka kuzaliwa inatokea vita kati ya Hajiri na Sara,Sara anasema kamwe mwanangu hatakuwa na urithi

pamoja na mwana wa kijakazi,Ibrahimu anapata tabu kidogo atatekelezaje hilo unakuwa ni wakati mbaya sana kwa

Ibrahimu lakini Mungu anamwambia afanye vile kama Sara atakavyo.

Kama unafanya dhambi kwa nia nzuri si dhambi inakuwaje tunawalaumu wale vigogo wanaokula rushwa si wanalea

familia zao,vipi wale mbwa mwitu wanaoua na kuiba si wanafanya cause hawana ajira wanataka kutoka,vipi

machangudoa wanaojiuza si wanataka kula? dhambi ni dhambi tu hakuna dhambi ndogo wala kubwa.
 
Last edited by a moderator:
Umenifumba macho,masikio Leo:shocked::shocked:...yani nilikuwa sijui kbs hii kitu....Let me make a Covenant with God sitaki maagano ya ajabu ajabu ya kunitia nuksi,
 
Pasco ukweli wako ambao mimi nauita Opinion sio THE TRUTH, usilazimishe. Ngono yoyote ambayo iwe with or without attached string tayari ni convenant. Uwe umefanya na hooker au na mkeo. The more unavyodo na watu wengi ndivyo unavyoondoka ni mibalaa na bahati za hao watu, hiyo ya emotional connection ni logical thinking tu.

Ni bora watu wajue ili wafanye imformed decision sio kuanza kujustify juu ya sababu za msingi. Mapadre wanaofuatq celibacy ya ukwelii, wamepata shida gani ambayo ni life threatening? Na ambao wanado kila 12hrs wamepata furaha au faida gani ya ajabu?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu acha kujustify dhambi, achilia uzinzi kusema uongo,chuki,wivu,kiburi n.k ni dhambi pia, Neno la Mungu

halijipingi kamwe wewe ndiyo unalipinga,ukitoka nje uwe unaingia kwenye agano ama huingii nachojua neno linasema

apandacho mtu ndicho atakachovuna, ukipanda michepuko utavuna michepuko, Dhambi ni dhambi hakuna kubwa wala

ndogo.
 
Pasco ukweli wako ambao mimi nauita Opinion sio THE TRUTH, usilazimishe. Ngono yoyote ambayo iwe with or without attached string tayari ni convenant. Uwe umefanya na hooker au na mkeo. The more unavyodo na watu wengi ndivyo unavyoondoka ni mibalaa na bahati za hao watu, hiyo ya emotional connection ni logical thinking tu.

Ni bora watu wajue ili wafanye imformed decision sio kuanza kujustify juu ya sababu za msingi. Mapadre wanaofuatq celibacy ya ukwelii, wamepata shida gani ambayo ni life threatening? Na ambao wanado kila 12hrs wamepata furaha au faida gani ya ajabu?

Nimekuja kukuambia kuwa nimekumiss sana!
 
Pasco,

Nakupata sana mkuu na hoja zako kama tukizipima kwa mapana yake, tutagundua upo sahihi.

Emu tazama huu mfano, life style ya mababu zetu zamani ilikuwaje? Sitaki kuamini kama wao walikuwa wana mke mmoja tu eti kisa amefanya nae maagano. Hadi hivi sasa wamasai wanaishi maisha ya neema na afya tele lakini mwanaume mmoja anakuwa na wanawake hata 7 (provided he's able serve them all).

Hii hali ya watu kuwa inside the box na kufanya tafsiri ya mistari ya biblia kimakosa ndio inafanya baadhi ya wachangiaji humu kupinga hoja yako na kuwa closed minded.

Kama kufanya mapenzi na mwanamke nje ya yule ambae umefanya nae agano ni dhambi. Je. Abrahamu alivyofanya mapenzi na kijakazi wake ilikuwa sio sahihi? Kwanini binadamu tuna complicate mambo madogo? Ngono isiyo na ahadi yoyote zaidi ya pleasure ni sahihi kabisa kufanywa.

kuu acha kujustify dhambi, achilia uzinzi kusema uongo,chuki,wivu,kiburi n.k ni dhambi pia, Neno la Mungu

halijipingi kamwe wewe ndiyo unalipinga,ukitoka nje uwe unaingia kwenye agano ama huingii nachojua neno linasema

apandacho mtu ndicho atakachovuna, ukipanda michepuko utavuna michepuko, Dhambi ni dhambi hakuna kubwa wala

ndogo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Lifehacker kwa wale wanaume wanaochukua machangudoa wanakuwa wameshaweka nao agano baada ya kupatiwa huduma? Na je, mbona nasikiaga agano linawekwa kwa wanawake bikra wanapotoa huduma kwa wanaume wao wa kwanza?
 
Hakuna cha agano wala nn! Sijaona point, manake mababu walikuwaga na wake hadi 10 na ss hatuna shida! Tabia ya mtu iko hivo akiwa na tabia nzuri ndio hivo hata kama anachepuka sio maana ana tabia mbaya ila kuna factors hazizuiliki zinajitokezaga.

Kuna mtu akikuambia nilichepuka ukimuuuliza na nani ukamuonyesha, anasema ni sawa tu! Manake hata yy angechepuka!
 
kaka yangu acha kujitetea kupita kiasi hivyo dhambi ni dhambi
iwe ya kufanya kiwa makusudi au kwa any reason, au kwa agano
ni dhambi tu usiipalilie hiyo dhambi ya uzinzi kiasi hicho na kuipa
majina matakatifu kiasi hicho
kama umemcheat au uliamua
kumcheat mkeo
ulifanya maamuzi hayo na ukacheat hivyo
usiseme kuwa mkeo yuko mbali kimosomo na wewe basi unaendekeza
mwili kuupa uutakao ujue unapalilia dhambi na
jua kuwa mshahara wa dhambi ni mauti
Lady N., nakubaliana na wewe hivyo ndivyo wazungu walivyotufanya, mmekuwa braiwashed mentally mpaka mmepata mental slavery!, nikikuambia nionyeshe hata mstari mmoja wa Biblia uliosema mke mmoja mume mmoja ni upi?!.
Ndambi ya kuzini, ni kile tuu kitendo cha kufanya mapenzi na mtu ambaye sio mke wako!, yale makubaliano ya kufanya malipo na mwanamke nje ya mkeo, na ukalipia, ukahudumiwa, huko ni kuoa tosha, na asubuhi mnapoagana ndio talaka yenyewe!.

Kuna mengi wanamsingizia Mungu ameharimisha kumbe walaa!. Ukifanya jambo ambalo dhamira yako inaamini ni dhambi, dhamira itakusuta!, lakini ikifanya jambo with clear conscious kuwa natimiza mahitaji ya kimwili with justified reasons, na huyo ninayetimiza nae sio binti mdogo, sio mke wa mtu, anafanya kwa ridhaa yake na kwa malipo stahiki kwa huduma itolewayo!, haufanyi dhambi yoyote according to "karma" tena unaweza kujikuta badala ya kulaaniwa ndio kwanza unazidi kubarikiwa kwa sababu huwezi jua yale malipo unayomlipa huyo mdada multiplication effects yake ikoje?!.

Mimi nikisafiri safari ya mbali ya muda mrefu, huduma ninalipia na bila dhambi yoyote kufanyika!. After all ili dhambi ifanyike, shurti kutokee contact ya flesh to flesh!, any contact ambayo sio flesh to flesh, hakuna dhambi wala maagano ya damu!.

Watu kwa kupenda kujifanya malaika!, usikute nyie ndio...!
Pasco.
 
Hahahahaha! mkuu Pasco

Kama unafanya dhambi kwa nia nzuri si dhambi inakuwaje tunawalaumu wale vigogo wanaokula rushwa si wanalea

familia zao,vipi wale mbwa mwitu wanaoua na kuiba si wanafanya cause hawana ajira wanataka kutoka,vipi

machangudoa wanaojiuza si wanataka kula? dhambi ni dhambi tu hakuna dhambi ndogo wala kubwa.

umenena kweli mkuu kila anayefanya dhambi anasababu yake anayoona ni ya msingi,hata makahaba wanaojiuza watakwambia hawana kazi,lakini wapo watu wengine hawana kazi lakini hawafanyi zinaa pamoja na kuwa hawana kazi.......Hebu angalia Mfalme Sauli alipoona amezungukwa na maadui aliamua kutoa dhabihu wasije uawa na maadui kabla ya kuomba rehema, maana aliona Samweli amechelewa zaidi ya siku alizoahidi kuja....na Mungu hakumsamehe uovu huo na ufalme wake ulilaruliwa toka siku hiyo kwa sababu yeye hakuwa Kuhani hata atoe dhabihu.
 
kuna watu ambao wana claim washawahi au huwa wanafanya mapenzi na jini au majini,imani yangu inanielekeza kwamba majini wameharamishiwa kuingia katika miili ya binaadamu na kuwapossess not to mention kufanya nao mapenzi so hawa unawaweka katika fungu gani?? ,na wale ambao wamefanya mapenzi na watu ambao wako na mashetani/majini hali ya kuwa wao hawana inakuwaje mustakabali wao na wenyewe wamechukua hiyo laana ama vipi
cc : Pasco
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha! mkuu Pasco naona unajitahidi sana kujustify uzinzi,dhambi ni dhambi tu narudia tena kwa

msisitizo,kama msomaji mzuri wa Biblia je hukumbuki Lutu alivyowalaani wanawe cause wameona utupu wa

babayao,Vipi Hajiri na mwanawe Ishamael nini kiliwapata japokuwa ni Sara mwenyewe aliliruhusu hilo lakini

ilibidi Ibrahimu atake asitake lazima amfukuze Hajiri na mwanae unafikiri ni kwanini? Sababu ni kwamba Mungu

alishamwambia Ibrahimu atampa uzao na utakuwa kama mchanga wa bahari lakini alishindwa kujitambua na kusimamia

ukweli huo akajikuta akishawishika na maneno ya mkewe,Mungu hakuwa amesema na Sara kabla hivyo hakujua chochote

ila Ibrahimu alijua hivyo hakupaswa kumsikiliza mkewe ilibidi aingoje ahadi mpaka mwisho na mwishowe tunaona

baada ya Isaka kuzaliwa inatokea vita kati ya Hajiri na Sara,Sara anasema kamwe mwanangu hatakuwa na urithi

pamoja na mwana wa kijakazi,Ibrahimu anapata tabu kidogo atatekelezaje hilo unakuwa ni wakati mbaya sana kwa

Ibrahimu lakini Mungu anamwambia afanye vile kama Sara atakavyo.

Kama unafanya dhambi kwa nia nzuri si dhambi inakuwaje tunawalaumu wale vigogo wanaokula rushwa si wanalea

familia zao,vipi wale mbwa mwitu wanaoua na kuiba si wanafanya cause hawana ajira wanataka kutoka,vipi

machangudoa wanaojiuza si wanataka kula? dhambi ni dhambi tu hakuna dhambi ndogo wala kubwa.
Everlenk, naomba tusizidi kulizungumza hili, wenzetu mental slavery imewashika na kuwaingia vizuri!, maadam haya ninayoyafanya, watu wa Mungu wameyafanya, mitume na manabiii wameyafanya hata "Nanii alifanya ila haikuandikwa!", vivyo hivyo nami, nimefanya, ninafanya, na nitaendelea kufanya....ibada kwa roho yangu kufanya yale ya kiroho na kuuacha mwili kufanya yale ya kimwili, kwa kumpa Mungu yaliyo ya Kimungu, na Kaisari yaliyo ya Kaisari, after all "tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo!", nina uhakika siku ya siku, tutakutania kulee, na kuna watu humu mtashangaa kunikuta hata mimi nimeingia huko huku nimekiri wazi, hapa duniani, naupatia mwili kile unachotaka provided there is a genuine reasons behind it na sio dhambi!.
Pasco
 
kwa taarifa yako mm sio malaika niko ubinadam kama wewe mwenzako ila
naona mwenzangu umevuka mipaka sana wewe unaruhusu mwili ukutawale
na sio wewe kuutawala mwili unadiriki kusema mm ni malaika na kumbe.....
nahisi sasa umeshajiona mwema sana naona unaona fahari sana kuduu hiyo
dhambi i wish ningekuwa mkeo ningekupa taraka kwani hufai kuitwa mmojawa...........

Hebu ukipata muda soma 1wakorintho 7:1-19 ndipo utaelewa nilichokuwa
nimekiandika pale juu utaelewa kuwa hata dhambi uitete au uipambe vipi
itabaki kuwa dhambi kama huyo mkeo hujafunga naye ndoa kanisani,
msikitini, au sehemu za serikali si halali kwakko hata kama ukipalilia kiasi
gani kwa kusema kuwa unalipia huduma hiyo ya kudduuu ni dhambi ndugu]
yangu ni heri ugeuke na kutubia dhambi hiyo Mungu atakusamehe acha
KUMCHEAT mkeo halafu unakuja andika hapa hadharani unajuaje kuwa
unaweza kujua kuwa unaongea na mkeo bila kujua ID yake
hapa kaka yangu nakutaadhalisha tu

Lady N., nakubaliana na wewe hivyo ndivyo wazungu walivyotufanya, mmekuwa braiwashed mentally mpaka mmepata mental slavery!, nikikuambia nionyeshe hata mstari mmoja wa Biblia uliosema mke mmoja mume mmoja ni upi?!.
Ndambi ya kuzini, ni kile tuu kitendo cha kufanya mapenzi na mtu ambaye sio mke wako!, yale makubaliano ya kufanya malipo na mwanamke nje ya mkeo, na ukalipia, ukahudumiwa, huko ni kuoa tosha, na asubuhi mnapoagana ndio talaka yenyewe!.

Kuna mengi wanamsingizia Mungu ameharimisha kumbe walaa!. Ukifanya jambo ambalo dhamira yako inaamini ni dhambi, dhamira itakusuta!, lakini ikifanya jambo with clear conscious kuwa natimiza mahitaji ya kimwili with justified reasons, na huyo ninayetimiza nae sio binti mdogo, sio mke wa mtu, anafanya kwa ridhaa yake na kwa malipo stahiki kwa huduma itolewayo!, haufanyi dhambi yoyote according to "karma" tena unaweza kujikuta badala ya kulaaniwa ndio kwanza unazidi kubarikiwa kwa sababu huwezi jua yale malipo unayomlipa huyo mdada multiplication effects yake ikoje?!.

Mimi nikisafiri safari ya mbali ya muda mrefu, huduma ninalipia na bila dhambi yoyote kufanyika!. After all ili dhambi ifanyike, shurti kutokee contact ya flesh to flesh!, any contact ambayo sio flesh to flesh, hakuna dhambi wala maagano ya damu!.

Watu kwa kupenda kujifanya malaika!, usikute nyie ndio...!
Pasco.

Pasco ukweli wako ambao mimi nauita Opinion sio THE TRUTH, usilazimishe. Ngono yoyote ambayo iwe with or without attached string tayari ni convenant. Uwe umefanya na hooker au na mkeo. The more unavyodo na watu wengi ndivyo unavyoondoka ni mibalaa na bahati za hao watu, hiyo ya emotional connection ni logical thinking tu.

Ni bora watu wajue ili wafanye imformed decision sio kuanza kujustify juu ya sababu za msingi. Mapadre wanaofuatq celibacy ya ukwelii, wamepata shida gani ambayo ni life threatening? Na ambao wanado kila 12hrs wamepata furaha au faida gani ya ajabu?
Mkuu Kaunga, in the "world of spirits", the will ndio the most powerful thing!, hizo attachments zinatokana na will!, kama lengo ni kustarehe tuu bila attachment, there is no attachment kwa sababu huyo mtu anakuwa haja will!, ila pia naungana na wewe kuhusu haya mabalaa tunayobeba hata kwa hookers endapo utampick just na ikatokea ukaonyesha ufundi, hooker nae pia ni binadamu, zaidi ya kufanya kama kazi, naye pia anazo emmotions, unaweza kumfikisha au hata akakuzimikia tuu, then yeye ndie akaweka attachment ambayo wewe utaondoka nayo na huko ndiko unaweza kutwa na mabalaa!, Ila kama umetumia kinga, na hakuna copulation but just fornication, hayo mabalaa hayapenyi kwenye zana.

Pasco.
 
kwa taarifa yako mm sio malaika niko ubinadam kama wewe mwenzako ila
naona mwenzangu umevuka mipaka sana wewe unaruhusu mwili ukutawale
na sio wewe kuutawala mwili unadiriki kusema mm ni malaika na kumbe.....
nahisi sasa umeshajiona mwema sana naona unaona fahari sana kuduu hiyo
dhambi i wish ningekuwa mkeo ningekupa taraka kwani hufai kuitwa mmojawa...........

Hebu ukipata muda soma 1wakorintho 7:1-19 ndipo utaelewa nilichokuwa
nimekiandika pale juu utaelewa kuwa hata dhambi uitete au uipambe vipi
itabaki kuwa dhambi kama huyo mkeo hujafunga naye ndoa kanisani,
msikitini, au sehemu za serikali si halali kwakko hata kama ukipalilia kiasi
gani kwa kusema kuwa unalipia huduma hiyo ya kudduuu ni dhambi ndugu]
yangu ni heri ugeuke na kutubia dhambi hiyo Mungu atakusamehe acha
KUMCHEAT mkeo halafu unakuja andika hapa hadharani unajuaje kuwa
unaweza kujua kuwa unaongea na mkeo bila kujua ID yake
hapa kaka yangu nakutaadhalisha tu
Hata neno cheat, ni wazungu wamelibuni ili ku create guilt!. Wife alikuwa study US for four years!, did you expect ningesubiria?!, au najiaminisha hata yeye hakuguswa miaka yote minne?!. Wife ni member humu jf, ila hata kabla hatujaoana alinijua fika!, si unajua fani ya utangazaji na umaarufu enzi zile umaarufu tu wa jina, ulitosha kupanga foleni hadi Feri.
Hivyo wife anajijua fika na nikisafiri safari za mbali za muda mrefu, ni yeye ndio huwa ananiwekea zile nanii kwenye ku pack begi yangu ya safari!, japo nilikuja baadae ku note nikirudi, anakagua zimetumika ngapi!, baada ya kulijua hilo, huwa ninawakewa na nikirudi anazikuta vile vile!, ziko intact, hazikutumika!, hivyo kujikuta anajituma sana katika mapokezi, makaribisho na pole za safari, huku ukitoa zile kauli za "I missed you soooo much!.

Wanawake wengi mko too weak, mnapenda kudanganywa!, mfano anaweza kutoka saloon with a new hair style huko kaambiwa kapendeza, mimi nikimuona nakuwa very frank kama hajapendeza namwambia!. Nyinyi ndio wale mnapenda kudanganywa kwa kuambiwa "hata kama hunipendi, bora kunidanya roho itulie!". Uaminifu gani wa wanandoa four years apart.

Mimi ni mkweli daima, I don't cheat, I do it, na nasema I do!, na anajui I do it!, hivyo there is no cheating!. Ili kuwepo cheating, ni lazima kuwa na elements za kucheat, kujificha, kufanya mambo kichini chini kwa siri usigundulike, lakini kufanya mambo hadharani, kama sio uke wenza, hakuna cheating na sio cheating.
Pasco.
 
Back
Top Bottom