Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,610
Ebana eeeh Lucy mbaya jamani duh!
bwa ha ha ha ha sikosoi kazi ya Mwenyezi Mungu lakini tehe tehe Lucy Kibaki tehe tehe tehe eeet sura yake kama roho yake...Ebana eeeh Lucy mbaya jamani duh!
Is Lucy the most Beautiful woman in Kenya? je wabaya wakoje? Duu!!!!!!!!!!!!!
Pole sana Only if you know the story behind her............. Huyu bibie ni Mmorrocco alimtoa mke mkubwa kwenye throne yake na akaolewa na Rais wa Gambia. Akafanywa 1st lady. Mke mkubwa akapewa talaka tena zile za chap chap za kiislamu. Haijapita muda Rais akaanza ku-cheat na yule yule mke mkubwa na inasemekana bibie Zeinab kakimbilia kwao Morrocco na Rais anataka kufunga ndoa tena na mtalaka wake wa mwanzo. Shame it is???
Jeannette Kagame - Rwanda!
Bw. Kiroboto sema basi...picha hio super!!!!!!
Mama Lucy Kibaki sura yake mmmmmmmmmmmmmmmm hata chichemi
Sitaki kuudhi watu sana labda kwa vile nina "kasumba," ila ngoja niseme tu kuwa akina first lady wa kiafrika huku ukanda wa kwetu (East, Central and South) wakishapata kula laini huwa wananenepeana sana kiasi kuwa mme hawezi kumbeba tena. Nilishaona akina first lady wa wenzetu ni portable sana, lakini wa kwetu sisi ni mizinga ya bomba twende mbele, na hasa hawa wa karne hii.
Kwa mfano mama wa Tanzania ninamfahamu sana wakati akiwa mwalimu wa msingi pale Sinza alikuwa kidogo ni portable, lakini leo hii mzinga wa bomba. Huenda umri unachangia ingawa mama Clinton na dada Condoleeza wana umri mkubwa kuliko wengi wa hawa akina first lady wetu. Wa kabila labda ujana bado unadai.