Africa's First Ladies...nani Zaidi?

Gabon- First Lady
bongo.jpg




Huyu hapo chini kwenye link ni mamaa Edith Sassou Ngusso a.k.a Edith Omari Bongo,alikua mke wa rais wa omari bongo wa gabon na pia ni binti wa rais dennis sassou nguesso wa congo brazaa,Edith na mzee bongo kwa sasa wote ni marehemu.

Gonga hapa upate mapicha yake,alitokea ikulu ya babake huko kwao congo akaenda kuolewa ikulu ya gabon!
Hommage à Edith-Lucie Bongo par Eric Boumi - YouTube
 
Back
Top Bottom