Africa's First Ladies...nani Zaidi?

Katika viongozi wote wa Afrika hiri ri Mswatu rinafaidi

umeona ehhh???hivi wandugu hebu tupeni sifa z akuwa de next mswati ili tumuendeee kwa kalumanzila faster!!

mtu unaweza wish ungekua born as mfalme muswaki sijui mswati

looh ukiwaona tu hao binti wa kuchaguliwa tu ni balaaa!waweza tamani woote! we angalia ile picha ya juu
 
Go Girl Go

This message was meant for the lady who wants to be the first Tanzanian female president.
 
Last edited:
Uganda's
janetmuseveni.jpg


DRC'S
kabila.jpg


KENYA's
lucy100906.jpg

I mean it can't that Kenya's first lady is so ..... You can not believe when lights go off and you kind of fall asleep and after 15 minutes lights come on and the first face you see is Kenya's I think the best option you can take leave alone running is to cry is not my day to die, please spare me!!!
 
Mama wa kwanza inaelekea anapenda kubugia sana afanye mazoezi.

Huyo bibi ana roho mbaya kama sura yake.

Nakumbuka siku za miaka ya nyuma wakati watanzani wakijaribu kurejesha mambo ya miss Tz wakaenda ZANZIBAR wakati uli aliyekuwa RAIS wa kule ni SALMIN AMOUR BIN JUMAA alipoelezwa hilo kufanyika ZANZIBAR aliwajibu kuwa ZANZIBAR wanawake wetu wote wazuri kila moja wao na humwabie mwenziwe sogea huko kwa uzuri sasa tuwashindanishie nini ?? kwahiyo basi mwachine Bi salma na majukumu yake kama mke wa Rais ondoweni husda zenu kwani tayari hilo ni chaguo la Mmungu awe mke wa rais hata kama baadhi yenu hamridhiki nae mkubali hilo mtajipatisha presha zapure msiwe kama vile shubiri mwanafunzi kwa kumuhubiria mabaya kiumbe chake Mmungu (
 
Huyo wa Kibaki kweli anafanana na former first lady wa tz hivi ni mapacha nini?
 
Tunaanza kuwamiss MMKJJ na FMES na huu ndio mwanzo tuu, tunaacha kudiscuss ideas na events tunakuja kudscuss people!. Tunashusha hadhi ya JF.
Hapa sio ukumbi wa siasa, huu ukumbi ni wa kimataifa na mada ni mafesti ledi... Sasa ya MKJJ na FMES yameuhusu nini hapa?
 
Du,
Ila kweli sura ya 1st lady Kenya inatisha- pamoja na umri- hivi kweli wandugu Kibaki hakuweza kuona huko mtoto mkali? Maana Kenya kuna wanawake bomba kweli- haswa Waluo!
Basi angekuja hata Tz akapatiwa mtoto moto wa Kitanga au wa Kizenj!
Haha haha Ha!
 
Our first lady hapendi kujipamba ndio maana haonekani bomba au mnasemaje????? yeye matenge, malemba..............
 
_42972549_first_ladies_ap416.jpg

Rwanda's, Kenya's and Swaziland's first ladies

Chantal1.jpg


First Lady Chantal Biya of Cameroon

mrs+bongo.JPG


First Lady Edith Lucie Bongo Ondimba - Gabon

n1246250343_30148123_9127.jpg


First Lady Suzanne Mubarak - Egypt
 
Back
Top Bottom