Africa's First Ladies...nani Zaidi?

ama kweli fahari ya macho haifilisi duka

kweli fahari ya jicho haigharimu gharama ya mali wala haitii hasara tuleteeni tusafishe macho na pia tuwajue mafirst lady
 
Tunisia First lady
MmeBenAli.JPG


Gaddafi ana mke aitwaye Safia, ila ni mama ambaye amekuzwa kiislamu na hajotokezi in public. Huyu hapa ni mpenzi wake ambaye ni Top model pia ni daktari
1204014673.jpg


Nyumba ndogo wa rais wa Algeria ambaye ameshika usukani kama first lady.
1204001306.jpg


Mke wa Rais wa Misri anaitwa Suzam Mubarak
1204032505.jpg
 
Nimejaribu kufuatilia mtanange huu wa ma-first ladies na nilitaka kupata habari kutoka kwa Mswati. Inakuwaje, mbona mpaka dakika hii ziiii?

huenda wadau wameshindwa yupi wa kuweka. Hata kama wako mia weka wote nao wapigiwe kura huenda ikamsaidia kuchagua na kupunguza wengine maana jamaa anasoma humu.

King Mswati nasikia mapka sasa hivi ana wake 13...na kila mmoja amenunuliwa BMW top of the range na yeye alinunua Merc Matbach custom made yenye vituz kali .The afore mentioned pimped out ride (pictured below) features a television receiver, dvd player, 21-speaker surround sound system, refrigerator, cordless telephone, heated steering wheel, interior pollen and dust filter, golf bag and sterling silver champagne flutes..hii hapa chini ni mafano wa hilo gari ambayo bei yake ni poa tu kwa mtu wa vijisenti ni ka nusu milion za kijani

maybach-62-s-05.jpg

maybachin.jpg


inaendelea....
 
wake wa King Mswati II....kwanza kabla ya wives tuanzie huko mwanzo wakati wa chakulaga

hopefulsBeckon.jpg

longroadtotheking.jpg


pickofking.jpg


Baada ya ka dansi basi, yeye huchagua na ankuwa mchumba mpaka atakapozaa ndio ankua wife...mhmhmh
1stwife.jpg
mke wa kwanza wa king Mswati
Swazi_wives.jpg
Wake wa King wa Swazi
wifeno10.jpg
Wife namba 10

no12.jpg

Wife namba 12

Je ungependa kuwa king of swazi?
 
Huyu king mswati anawahudumiaje wote hao?jamani mila zingine kwa kweli hazifai
 
Safi saaana Kingi Mswati dumisha utamaduni wetu wa kiafrika! Uingereza wana malikia na mfalme..sijawahi sikia watu wanalalamika..au kwa sababu ni wazungu?

Hapana, hii hoja oohh..unajua anadharirisha utu wa mwanamke nadhani haina mashiko..kama ni mila ambazo wote wanaziheshimu..kwa nini sisi tuanze kuziona mbaya leo kisa wazungu wameona hivyo?

Hapana Kingi keep it up..as long as you do it in an acceptable way in your customs and traditions. As long as hukiuki maadili ya utamaduni wako. endeleza game.
 
Wives on run from Swazi king

Swazi King Mswati III has lost another of his 10 wives.

The first to flee the royal kraal was Delisa Magwaza, 30, better known as Inkhosikati LaMagwaza. She fled to London via Cape Town recently.

Now another royal wife has run away from the young king. Putsoana Hwala, 30, known as Inkhosikati LaHwala, decided to make a dash from the king.

LaHwala is believed to have fled Swaziland on Thursday.

She apparently used her South African passport to avoid detection by security agents, and left her three children behind in Swaziland.

Rumour has it that LaHwala is hiding in Alexandra, north of Johannesburg, where her family lives.

Both runaway wives were on good terms with each other.

Attending parties without approval

It is believed they conspired together to plan their escape from the king's security guards.

LaMagwaza caused an uproar some time ago because of her controversial relationship with a 23-year-old Swazi national living in Soweto.

LaHwala last year exchanged harsh words with top Swazi officials after she offended protocol by attending parties without the approval of the royal family.

The flight of two of his wives has exposed the king's weak security and there are fears that more unhappy royals may try to escape to freedom.

The king has ordered a special security team to search for the two runaway wives.

The search will cover Swaziland, South Africa and England.

Royal sources told Daily Sun that when they were found, certain cleansing rituals would have to be performed on them before they could be released to find a husband of their own choice.

Couldn't stand the rejection

A source close to the royal kraal told Daily Sun: "The wives deserted because they had been denied their conjugal rights for up to six months.

LaMagwaza especially couldn't stand such rejection by the king - who has not been visiting her and their two young princesses.

Her two children have since been given to King Mswati's third wife," the source said.



Haya yalitokea mwaka 2004. Wanaume jihadhari ndoa za wake wengi, kumbuka hakuna mwanamke atakusubiri wewe kama una mke mwingine labda awe mkeo wa kwanza ndio masikini atakusubiri just in case she really loved you
 
DUH! Kitu ni first lady wa Mali,Salma Kikwete nampa namba mbili lakini kwa shingo ameongoza,TATU NAMPA Janet KAGAME maanake kwa lips huyu mama ni noma. sasa hizo nyumba ndogo nimeaamua nisizi-recognize lakini yule model sijui nyumba ndogo ya nani vile nimeiaminia.

Lucy kibaki hata aweke make up nyingi kiasi gani atakua anatwanga tu maji kwenye kinu.By the way nimependa wale ma-first lady walio-maintain nywele za kiafrika.
 
King Mswati lazima atakuwa anasaidiwa na walinzi ama wafanyakazi wa ndani. Mke hawezi kukaa mwezi mzima anasubiri zamu yake ya mzunguko ifike.

Pamoja na hayo Mswati akipata kigoli lazima atulie nae kwa miezi kadhaa kwanza baada ya hapo ndipo huwakumbuka wake wengine. Wale ambao utu uzima ulishawakumba ndo wanaweza kusahaulika kabisa.

Kitendo cha hao wadada kutoroka ni signal kwamba fahari ya kuolewa kwenye royal family huisha mtu anapozalishwa mtoto na akiingia kigoli mpya basi wengine ni kuandika maumivu. Wangekuwa huru labda wengine wangeenda kwa sangoma kupuliza limbwata, lakini as long as wako kwenye gereza na kila anakokwenda lazima ijulikane, hapo hata limbwata ni kazi kwenda kulisaka! Kaazi kweli kweli.
 
Lucy Kibaki-- Kenya
lucy-kibaki-1.jpg

Jamani, Does anyone know Lucy Kibaki's phone number? I recommended her for makeover, and she has been selected but they find a way to get hold of her! Its mandatory, any help will be appreciated, uwiiiiiiiiiiii.
 
Jamani, Does anyone know Lucy Kibaki's phone number? I recommended her for makeover, and she has been selected but they find a way to get hold of her! Its mandatory, any help will be appreciated, uwiiiiiiiiiiii.

Mkewe Kibaki is beyond repair...maana licha ya hio sura ana
mental issues hadi imebidi serikali imfiche especially baada ya kura za
mwaka jana!!!
 
wake wa King Mswati II....kwanza kabla ya wives tuanzie huko mwanzo wakati wa chakulaga

hopefulsBeckon.jpg

longroadtotheking.jpg


pickofking.jpg


Baada ya ka dansi basi, yeye huchagua na ankuwa mchumba mpaka atakapozaa ndio ankua wife...mhmhmh

Swazi_wives.jpg
Wake wa King wa Swazi



Je ungependa kuwa king of swazi?
Katika viongozi wote wa Afrika hiri ri Mswatu rinafaidi
 
Back
Top Bottom