Africa's First Ladies...nani Zaidi?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,214
Wakuu,

lets discuss hawa kina mama kama first ladies wa nchi za Africa.Anything goes..from looks of beauty to guiding principles towards their men.Mimi kwanza kabisa namfagilia Mama Salma Kikwete na Jeanette Kagame.Kisha wa tatu ni Lady Lobbo Traore wa Mali.Kamata picha basi...

salma%2B2.jpg

Mama Salma Kikwete of Tanzania!!!​


Toure%2BLobbo%2BTraore%2B1st%2Blady%2Bmali.jpg

First Lady Toure Lobbo Traore Mali​
 
sura tu au?na uzee huu mie mwana msolopa,sijuhi itakuwaje,ebu weka mapicha ili tumwage point
 
Mama kagame mwisho wa matatizo jamani mzuri we acha tuu!Kuna first lady mmoja wa West Africa jina kidogo limenitoka she somehow powerfully the last time I heard about her she was launching somehow a huge project with Mama Mwanawassa I dont know what happened later.
 
Jeannette.jpg

Jeannette Kagame - Rwanda!​

Bw. Kiroboto sema basi...picha hio super!!!!!!
 
BiMkubwa asante sana maana nimekoma ubishi..LOL!!!
Mama safi sana jamani...why lie?
 
Yes, AB-Titchaz, Salma Kikwete is a very beautiful woman. Sad thing about our cultures, spouses are never given the limelight. Compare her to our former first ladies......first she is much younger and I think she has taken good care of herself.
 
Yes, AB-Titchaz, Salma Kikwete is a very beautiful woman. Sad thing about our cultures, spouses are never given the limelight. Compare her to our former first ladies......first she is much younger and I think she has taken good care of herself.


She needs to get on the treadmill or something though.
 
Lucy Kibaki-- Kenya
lucy-kibaki-1.jpg


Lucy Kibaki and Maureen Mwanawasa (Zambia)
20072205002.jpg


Janet Museveni -- Uganda
3firstlady4.jpg


Zanele Mbeki -- South Africa
28-cidmbek.jpg
 
Mama Museveni anachukua points kwa nywele za kiafrika, hao hapo juu Mbeki, Mwanawasa na Kibaki wanaonekana kama wadoli vile.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom