AFCON 2027 Special Thread, Karibu utoe maoni yako

AFCON 2027 Special Thread, Karibu utoe maoni yako

Nina Akili Ndogo Sana

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2026
Posts
598
Reaction score
784
NB: Nina Akili Ndogo Sana

Nini kifanywe au kiachwe (kisifanywe) ili mashindano haya yafane?

Karibu sana utoe maoni yako Mtanzania mwenzangu
 
Timu za hamasa zisiwepo,ahadi za pesa zisiwepo,Bali wachezaji wapewe huduma staiki na posho nzuri zisizo na matangazo ya kwenye media,kocha asiingiliwe kwenye kupanga vikosi na kuita wachezaji,Mpira na siasa vikae mbali MFano kusiwe na upuuzi WA Goli la mama,wachezaji na Mashabiki WA kigeni wafanyiwe figisu ikibidi kuwaloga kama itawezekana maana Hii NI jadi ya kiafrica,wachezaji walipambanie Taifa Kwa jasho na damu ikibidi kikosi cha Taifa starz kiachane na wachezaji waliowahi kulifelisha Taifa, me yangu hayo tu
 
Back
Top Bottom