Hotuba ya jana ilikua ni kama inataka kufikisha ujumbe kuhusiana na hali halisi ya kinachoendelea pale unyamani
Kwa anayefahamu Kwa mujibu wa katiba ya simba muundo wa kimamlaka uko vipi upande wa mwekezaji na wanachama je budget ikitangazwa ni kila upande unachangia au upande wa mwekezaji tu...
Kuna mtu mmoja nilikuwa nafuatilia mafunzo yake.
Kuna kauli alisema "ANGUKO KUU LA MWANADAMU LIPO KATIKA KUSAHAU ALIPOTOKA"
Kwa uzoefu wako juu ya binadamu,Maisha hata Dunia Kwa ujumla.niambie unavyouelewa.
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030 unahitaji viongozi wenye kuendeleza maono, uadilifu na uwezo wa kuendeleza maendeleo ya Taifa ili kufanikisha malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, hususan katika sekta zifuatazo:
Elimu bora, jumuishi na yenye kuendana na mahitaji ya maendeleo endelevu ya...
Nadhani utakubaliana na mimi kwamba bila fujo, ghasia na uropokaji hakuna kikundi kinachoitwa Chadema humu nchini. Na sote ni mashahidi kwamba matusi, chuki, uropokaji, mihemko nonsense na kufanya drama za kuatract public sympathy ndio utambulisho wa kipekee sana wa kikundi hiki cha kisiasa, na...
Habari wakuu?
Je kwa muktadha huu ni nini maoni au ushauri wako?
Karibuni
Pastor Neema anaeleza kwa uwazi matumizi ya sadaka zinazotolewa kanisani, akisisitiza kuwa sadaka hizo haziendi mbinguni wala hazichukuliwi na malaika, bali zinabaki hapa duniani kwa ajili ya kuendeshea shughuli za...
Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri”
Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
(1)Unazani maandamano yatafanikiwa tena au ni heri kupambana kwa njia nyingine
(3)Inaenda kutawaliwa kwa mkono wa chuma
(2) Amani yetu tuliyojivunia inatoweka na unaenda kutokea uasi ndani ya inchi wa kuipindua serikari baada ya sanduku la kura kuthibitiwa na watawala?
Endelea na wewe
Nini Hatima ya Waliotekwa na Kufungwa na kuuwawa?.
Nini Hatima ya Vyama vya siasa hasa CHADEMA ?
Ni Hatima ya Tundu LISSU ?.
Nini Hatima ya Walio, wanao na watakaoendelea kuikosoa Serikali Kwa namna mbovu inavyoendesha Nchi?.
Nini Hatima ya Wazalendo ambao wanahitaji kuhakikisha...
Naamini washauri au watu wa karibu na wahusika kwa maana ya serikali, na IGP, wanapita hapa, kwahiyo toa ushauri juu ya hiki kinachoendelea nchini ikiwemo utekaji, watu kupigwa, kuenguliwa kinyemela kwenye uchaguzi n.k
Binafsi maoni yangu; ingekuwa jambo la heshima kama Rais ATAJIUZULU🙏🙏
Ni...
Huoni wamekupiga chenga ya mwili?
Kwamba majina yatatumwa Dodoma na si lazima walioshinda kura za maoni ndio wapigiwe kura. They can come with their names ...particularly Menyekiti,katibu...It seems wameona machawa yao wametupwa wanatafuta namna ya kuya salvage1
Tunaomba maoni yako....
Habari za mida huu
Nipo mbele yenu kuomba Msaada wa kupata Gari ya kufanyia tax mtandao (Bolt)
Elimu yangu Chuo kikuu
Nina account ya bolt na uzoefu wa miezi 6
Kwasasa natafuta gari yangu binafsi ili niweze kufanya kazi fulltime
Kwa maelezo zaid 0752837183
Unajua watanzania pamoja na kupenda kwetu hizi timu za kurithi, tuamue nini hasa ni muhimu kwa taifa hili na katika maisha yetu.
Embu msikilize huyu mwamba anachosema kuhusiana na derby ya Kariakoo.
Inakuwaje hadi bungeni eti wanajibizana kuhusu mpira tena katika misingi ya kishabiki, yaani...
Habari za wakati huku wanajamvi wa jamii forum. Natumai mu wazima wa AFYA teletele.
Napenda kutumia fursa hii kuwasilisha dukuduku langu kuhusu masuala ya USAJILI wa huduma mbalimbali katika kizazi hiki. Tunaishukuru serikali imeleta USAJILI kupitia NIDA na kupitia NIDA, watu wafanye USAJILI wa...
Huyu mtoto angekunjwa hapo na mama yake watetezi wangeingilia kati kuwa mama anatesa mtoto
Enzi zetu unapigwa na mwiko unakuvunjikia unataka kukimbia unakoswa koswa na sahani ya udongo na akikushika anapiga hata mbanio wa sufuria ya ugali unashika adabu chapu
Kwema wakuu
Mambo gani ambayo ni muhimu kuyafanya kila siku? kwa ustawi wa maisha bora; kiafya, kiuchumi, kijamii na kifamilia
Waweza kushare maoni yako hapo chini ni bure kabisa haulipii!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.