Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,672
- 18,552
Hadi anachongewa Masanamu yake yanayo sujudiwa usiku na mchana:Nguvu alikuwa nayo na akili zake ni zaidi ya kwako wewe na inatoka kwa Mungu baba.
Msijitoe ufahamu
Imeandikwa:
Kutoka 20:4
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
........
Tumia muda na nguvu za kusujudia sanamu za Maria kulima mchicha ambao una soko kila kona, ujiongezee kipato: