Afadhali ushike jembe ukalime, kuliko kuomba sala hii

Believe and I will be there" John 14:1-3:"Let not your heart be troubled.

Wengine inafikia hatua tunaona kama anatulemaza na wazembe kwa kuingilia mambo yetu na kuraisisha mambo.

Believe, kwa imani ya dini yoyote (mradi kubali kuna spiritual world).
 
No, I don’t fully agree with your statement, Mayor Quimby
Here's why:
“Believing” in just any religion — as long as it acknowledges a spiritual world — is not enough according to the Bible. True faith is not just about accepting that a spiritual world exists, but about putting your trust in the one true God through Jesus Christ.

Hujasoma andiko hili?
“You believe that there is one God. Good! Even the demons believe that—and shudder.” —
James 2:19 (NIV)

That verse shows that simply believing in a spiritual realm or even in one God is not saving faith.

Jesus says:
“I am the way and the truth and the life. No one comes to the Father except through me.” — John 14:6

This clearly excludes the idea that all beliefs are equally valid as long as they're spiritual. Salvation, according to Scripture, is only through Jesus Christ.
UMENIPATA?
 
Watu wanakwenda kwa waganga ambao wanaabudu mizimu ya Babu au bibi zao na wanafanikiwa sasa itashindikana vipi juu ya hao ambao wanaamini kwa Maria?

Ulimwengu wa kiroho ni mpana sana so kila mtu anashikiria anapoona panaleta matokeo.

Kuna watu wanafunga na kuanza kusali novena za kina mtakatifu Rita na wanaona matokeo.
 
Tatizo ni imani yako ndogo.
Haitakiwi imani kubwa. Imani kama ya chembe ya haradali inatosha kutufanya tuone miujiza mikubwa. Soma:
Mt 17:20
"...amin, nawaambia, Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa uende kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu."

Na mimi kwa imani ndogo tu Mungu amenitendea miujiza mikubwa katika maisha yangu.
Soma shuhuda zangu kwenye nyuzi hizi
 
Utapoteza muda wako bure ukisali hivi: "Bikira Maria Mtakatifu Mkingiwa dhambi ya asili, Mlinzi wa Taifa letu. Utuombee." Sala hiyo haina mashiko kwa sababu zifuatazo:

Kibiblia, hakuna sehemu inayoonyesha kuwa Bikira Maria amepewa jukumu la kuwa mlinzi wa taifa lolote. Mungu pekee ndiye anayeweza kuwa Mlinzi wa taifa, iwapo taifa hilo linamwamini na kumkubali.
Zaburi 33:12
"Heri taifa ambalo Mungu wake ni Mwenyezi-Mungu.”

Je, Bikira Maria ana uwezo wa kuwaombea watu huko aliko? Biblia haitufundishi popote kwamba wafu wanaweza kuwaombea walio hai. Badala yake, Biblia inaeleza kwamba Roho Mtakatifu ndiye anayetuombea(Warumi 8:26). Ukisoma pia Ebr 7:25 imeandikwa kuwa Yesu anatuombea.
Naye[Yesu], kwa sababu hii, aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai sikuzote ili awaombee.

Ingawa Maria aliheshimiwa na Mungu kwa kuchaguliwa kumzaa Yesu, hana mamlaka ya kuombea watu baada ya kifo chake.

Bikira Maria hakuwa Mkingiwa dhambi ya asili. Kuna watu wanafundisha kwamba Bikira Maria "alikingiwa" dhambi ya asili(the dogma of the Immaculate Conception); yaani kwamba alizaliwa bila dhambi ya asili.

Mafundisho hayo sio sahihi kwa sababu Maandiko yanasema:
“Kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.” — Warumi 3:23

Andiko hilo halibagui. Watu wote wanahitaji wokovu kwa njia ya Yesu, hata Maria mwenyewe alisema:
“Roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu.” — Luka 1:47

Bikira Maria alimtambua Mungu kuwa ndiye Mwokozi wake, hivyo naye pia alihitaji neema ya Mungu kama wengine.

Bikira Maria anastahili heshima kama mama aliyemzaa Bwana Yesu, lakini kama tulivyoona, hatupaswi kumwita mlinzi wa taifa. Kwahiyo ukifunga na kumsihi Bikira Maria akuombee, utapoteza muda wako bure. Afadhali ushike jembe ukalime!

Kama hukubaliani na hoja hizo, weka hapa Maandiko yanayokuambia kwamba "Bikira Maria ni Mlinzi wa Taifa lako, na kwamba yeye ni Mkingiwa dhambi ya asili."

Na kuhusu Maria kwamba anaweza kukuombea, usijitetee kwa kutaja lile tukio la arusi ya Kana ambapo Maria alimwambia Yesu "hawana divai" kisha Yesu akatenda muujiza divai njema ikapatikana. Hilo tukio lilifanyika Maria alipokuwa hai duniani. Sasa hivi Maria hayupo tena. Waliofariki hawasikii wala hawajui chochote kinachoendelea kwa walio hai duniani. Soma Mhubiri 9:6
"lakini wafu hawajui chochote...upendo wao, chuki yao na wivu wao vimetoweka tangu kitambo, kamwe hawatakuwa tena na sehemu katika lolote linalotendeka chini ya jua."
Walokole mna tabu sana,sasa hivi ni Alfajiri badala umpe mumeo uchi huo unaranda randa tu mitandaoni .
 
Watu wanakwenda kwa waganga ambao wanaabudu mizimu ya Babu au bibi zao na wanafanikiwa sasa itashindikana vipi juu ya hao ambao wanaamini kwa Maria?

Ulimwengu wa kiroho ni mpana sana so kila mtu anashikiria anapoona panaleta matokeo.

Kuna watu wanafunga na kuanza kusali novena za kina mtakatifu Rita na wanaona matokeo.
Chonde chonde Thecoder, usipotoke, mkuu
Sio kila matokeo yanatoka kwa Mungu. Mafanikio bila ufunuo wa kweli ni mtego. Biblia inasema: ‘Shetani mwenyewe hujigeuza awe malaika wa nuru’ (2 Wakorintho 11:14). Tunapaswa kuangalia chanzo, sio matokeo tu — maana njia ionekanayo kuwa sawa kwa mwanadamu, mwisho wake ni mauti (Methali 14:12).”
 
Walokole mna tabu sana,sasa hivi ni Alfajiri badala umpe mumeo uchi huo unaranda randa tu mitandaoni .
Si afadhali nikae macho niwasaidie maelfu ya watu wanaopotea kwa kukosa kuyajua Maandiko.
Mathayo 22:29
“Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea kwa kuwa hamyajui maandiko, wala uweza wa Mungu.”
 
Kila mtu na abaki na analoliamini...Nadhani ingekua namna hiyo haina majibu isingetumika.TUSIJIONE WAKAMILIFU.
 
Si afadhali nikae macho niwasaidie maelfu ya watu wanaopotea kwa kukosa kuyajua Maandiko.
Mathayo 22:29
“Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea kwa kuwa hamyajui maandiko, wala uweza wa Mungu.”
Umeamua kumbania mumeo kipapa manyoya ? Ili utushibishe neno la uzima?
 
Chonde chonde Thecoder, usipotoke, mkuu
Sio kila matokeo yanatoka kwa Mungu. Mafanikio bila ufunuo wa kweli ni mtego. Biblia inasema: ‘Shetani mwenyewe hujigeuza awe malaika wa nuru’ (2 Wakorintho 11:14). Tunapaswa kuangalia chanzo, sio matokeo tu — maana njia ionekanayo kuwa sawa kwa mwanadamu, mwisho wake ni mauti (Methali 14:12).”
Kama huyo shetani anauwezo wa kuponya magonjwa na kutatua shida za watu basi kumbe sio mbaya kiasi hiko kwa maana watu hufanya maombi wanapokua kwenye hali ambayo wanaamini kwa uwezo wao binafsi wao wamefika mwisho sasa kama mtu amefika mwisho na akaomba akapata njia kuna ubaya gani?

Kama unaamini kwenye Mungu it means by default unaamini uwepo wa nguvu nyingine ambayo ndio hiyo huitwa ya shetani na ukiamini kwenye nguvu ya Mungu na shetani basi unaamini uwepo wa makanisa, misikiti pamoja na vilinge.

Ukiwa unaamini uwepo wa makanisa na misikiti basi unaamini juu ya uwepo wa malaika na ikiwa unaamini juu ya uwepo wa vilinge basi unaamini juu ya uwepo wa mizimu.

Ukiamini uwepo wa mizimu basi unaamini juu ya uwepo wa uhuisho kwa maana ya uzima wa milele na ukiamini uwepo wa uzima wa milele basi hauwezi kushangaa juu ya watu kuomba kwa jina la Maria au wengine wanaoaminika kama ni watakatifu.

Ulimwengu wa kiroho umegawanyika kwenye maeneo mawili kwa maana ule wa giza na nuru na kwenye Kila eneo huwa kuna rank ya utawala kwa namna ile ile kama ambavyo unaona serikali zilizopo duniani.

Kwa maana mambo yote yafanyikayo kwenye ulimwengu wa damu na nyama ni kopi kutoka kwenye ulimwengu halisi(wa kiroho).
 
Umeamua kumbania mumeo kipapa manyoya ? Ili utushibishe neno la uzima?
Mathayo 24:35
“Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita.”

Yesu alifundisha kwamba mambo ya dunia hii, hata mbingu na nchi, vitapita — yaani havitadumu milele. Lakini Neno lake, ahadi zake, na ukweli wake ni wa milele. Hivyo ndugu yangu ni muhimu tuwekeze maisha yetu kwa yale yasiyopita: imani, utii, na wokovu wa milele.
 
Unahangaika na kanisa katoliki wewe,sijui lilikufanya nini!? Kwa nini usijikite kwenye kuchapa injili..
punguwani kama huyu
Utapoteza muda wako bure ukisali hivi: "Bikira Maria Mtakatifu Mkingiwa dhambi ya asili, Mlinzi wa Taifa letu. Utuombee." Sala hiyo haina mashiko kwa sababu zifuatazo:

Kibiblia, hakuna sehemu inayoonyesha kuwa Bikira Maria amepewa jukumu la kuwa mlinzi wa taifa lolote. Mungu pekee ndiye anayeweza kuwa Mlinzi wa taifa, iwapo taifa hilo linamwamini na kumkubali.
Zaburi 33:12
"Heri taifa ambalo Mungu wake ni Mwenyezi-Mungu.”

Je, Bikira Maria ana uwezo wa kuwaombea watu huko aliko? Biblia haitufundishi popote kwamba wafu wanaweza kuwaombea walio hai. Badala yake, Biblia inaeleza kwamba Roho Mtakatifu ndiye anayetuombea(Warumi 8:26). Ukisoma pia Ebr 7:25 imeandikwa kuwa Yesu anatuombea.
Naye[Yesu], kwa sababu hii, aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai sikuzote ili awaombee.

Ingawa Maria aliheshimiwa na Mungu kwa kuchaguliwa kumzaa Yesu, hana mamlaka ya kuombea watu baada ya kifo chake.

Bikira Maria hakuwa Mkingiwa dhambi ya asili. Kuna watu wanafundisha kwamba Bikira Maria "alikingiwa" dhambi ya asili(the dogma of the Immaculate Conception); yaani kwamba alizaliwa bila dhambi ya asili.

Mafundisho hayo sio sahihi kwa sababu Maandiko yanasema:
“Kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.” — Warumi 3:23

Andiko hilo halibagui. Watu wote wanahitaji wokovu kwa njia ya Yesu, hata Maria mwenyewe alisema:
“Roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu.” — Luka 1:47

Bikira Maria alimtambua Mungu kuwa ndiye Mwokozi wake, hivyo naye pia alihitaji neema ya Mungu kama wengine.

Bikira Maria anastahili heshima kama mama aliyemzaa Bwana Yesu, lakini kama tulivyoona, hatupaswi kumwita mlinzi wa taifa. Kwahiyo ukifunga na kumsihi Bikira Maria akuombee, utapoteza muda wako bure. Afadhali ushike jembe ukalime!

Kama hukubaliani na hoja hizo, weka hapa Maandiko yanayokuambia kwamba "Bikira Maria ni Mlinzi wa Taifa lako, na kwamba yeye ni Mkingiwa dhambi ya asili."

Na kuhusu Maria kwamba anaweza kukuombea, usijitetee kwa kutaja lile tukio la arusi ya Kana ambapo Maria alimwambia Yesu "hawana divai" kisha Yesu akatenda muujiza divai njema ikapatikana. Hilo tukio lilifanyika Maria alipokuwa hai duniani. Sasa hivi Maria hayupo tena. Waliofariki hawasikii wala hawajui chochote kinachoendelea kwa walio hai duniani. Soma Mhubiri 9:6
"lakini wafu hawajui chochote...upendo wao, chuki yao na wivu wao vimetoweka tangu kitambo, kamwe hawatakuwa tena na sehemu katika lolote linalotendeka chini ya jua."
Yohane 19 : 26
Basi Yesu alipomwona mama yake, na yule mwanafunzi aliyempenda amesimama karibu, alimwambia mama yake, Mama, tazama, mwanao.
Yohane 19 : 27
Kisha akamwambia yule mwanafunzi, Tazama, mama yako. Na tangu saa ile mwanafunzi yule akamchukua nyumbani kwake.
-Kanisa katoliki lina mafundisho mazito ya kiteolojia na limekuwa na weledi wa tafakuri kuu wa mafundisho ya kiimani...
unasafari ndefu sana kiimani...pole sana
 
Sasa si ndiyo utulie!Nini kinakuwasha wengine wakifanya hivyo?
Nawahurumia kwa sababu wanapoteza muda wao wa thamani kumwita Maria asiyewasikia. Lengo ni kuwasaidia. Mtu mwenye upendo haangalii mambo yake mwenyewe. Soma sifa za mtu mwenye upendo katika kitabu cha 1 Wakorintho 13
 
Hawajakuomba huruma yako.Unatumia kiherehere chako vibaya.
 
punguwani kama huyu
Yohane 19 : 26
Basi Yesu alipomwona mama yake, na yule mwanafunzi aliyempenda amesimama karibu, alimwambia mama yake, Mama, tazama, mwanao.
Yohane 19 : 27
Kisha akamwambia yule mwanafunzi, Tazama, mama yako. Na tangu saa ile mwanafunzi yule akamchukua nyumbani kwake.
-Kanisa katoliki lina mafundisho mazito ya kiteolojia na limekuwa na weledi wa tafakuri kuu wa mafundisho ya kiimani...
unasafari ndefu sana kiimani...pole sana
Hivyo vifungu havituambii kuwa tunapaswa kumuomba Maria. Kama Teolojia mnayosoma vyuoni ndiyo hiyo, poleni sana. Bado mna safari ndefu.
 
No, I don’t fully agree with your statement, Mayor Quimby
Here's why:
“Believing” in just any religion — as long as it acknowledges a spiritual world — is not enough according to the Bible. True faith is not just about accepting that a spiritual world exists, but about putting your trust in the one true God through Jesus Christ.

Hujasoma andiko hili?
“You believe that there is one God. Good! Even the demons believe that—and shudder.” — James 2:19 (NIV)

That verse shows that simply believing in a spiritual realm or even in one God is not saving faith.

Jesus says:
“I am the way and the truth and the life. No one comes to the Father except through me.” — John 14:6

This clearly excludes the idea that all beliefs are equally valid as long as they're spiritual. Salvation, according to Scripture, is only through Jesus Christ.
UMENIPATA?
Kwa post yako tu imani yako ndogo.

Wenzako tunaamka tu na e-mail za kuwekewa hela na serikali au taasisi kubwa.

Unabaki kulikoni.

Believe, robo yako iwe safi usijali ya mwengine.

Let the spirit do their thing.

Sasa kama utaki kuamini, I can’t convince you otherwise.

Binafsi naona kama hizi favours too much, zinanifanya nakuwa lazy.

Trust me
 
Back
Top Bottom