Kwa hiyo umeanza kujiweka daraja moja na Yesu? Jitafakari na ujitathmini zaidi.Kwani Yesu alipokuja duniani kutuletea habari njema ni sisi tuliomuomba aje, au ni Yeye aliyeona tunapotea akaja?
1 Timotheo 6:10Wenzako tunaamka tu na e-mail za kuwekewa hela na serikali au taasisi kubwa.
Bado hujajua nini maana ya kuwa mwanafunzi wa Yesu.Kwa hiyo umeanza kujiweka daraja moja na Yesu? Jitafakari na ujitathmini zaidi.
Sasa unalalamakia ni sala aikusaidii wakati hujui hata unataka nini wewe mwenyewe.1 Timotheo 6:10
Kwa maana kupenda fedha ndiyo shina moja la maovu ya kila namna. Baadhi ya watu wakitamani fedha, wameiacha imani na kujichoma wenyewe kwa maumivu mengi.
Kweli hujanielewa Mayor Quimby. Lengo la uzi huu ni kuelezea njia sahihi ya kumuomba Mungu na kupata tunayoyaomba. Watu wengi wanaomba kwa njia isiyo sahihi ndio sababu hawapati majibu ya maombi yao. Mimi nimekupa nyuzi hizo usome uone jinsi Mungu alivyonitendea miujiza mingi ya kifedha na kimaisha kwa ujumla, silalamiki. Zaidi sana nina ahadi ya uzima wa milele. Karibu umpokee Yesu ndugu yangu awe Mwokozi wako maana mwisho wa mambo yote ya dunia hii umekaribia.Sasa unalalamakia ni sala aikusaidii wakati hujui hata unataka nini wewe mwenyewe.
Anyway, wewe ndio unajijua zaidi na msingi wa malalamiko yako; labda sijakuelewa.
Goodluck and may your wishes be granted (only thing I can wish for you).
👋
Thank you so much for your kind words — I truly appreciate them. But more than just ‘good luck,’ what I have found is God’s grace through Jesus Christ. He doesn’t just grant wishes — He gives salvation, the forgiveness of sins, and a hope that never fades. If you haven’t received Him yet, I warmly invite you to believe in Jesus today. He will transform your life forever. You're welcome to the true salvation that doesn’t depend on luck, but on faith.Goodluck and may your wishes be granted (only thing I can wish for you).
Basi huenda huoni hata mantiki ya JF.Siioni mantiki ya kujibizana au kukosoa namna mtu au kikundi fulani cha watu kinapaswa kiombe au sala gani ni sahihi au maandiko gani ndiyo mtu ayafuate kwa imani yake.Imani ni swala binafsi sana na halipaswi kuingiliwa kwa mawazo yangu.Wako baadhi ya watu waliabudu miungu mf. Wanyama,mimea nk lakini bado waliamini/wanaamini wana/liongea na Mungu.Mtu asijione kuwa yeye au sala yake ni bora kuliko ya mwingine.Tuheshimu imani zetu.
Mungu kwa imani ya Abrahamic religions ni omnipotent, sasa wewe hata hikoKweli hujanielewa Mayor Quimby. Lengo la uzi huu ni kuelezea njia sahihi ya kumuomba Mungu na kupata tunayoyaomba. Watu wengi wanaomba kwa njia isiyo sahihi ndio sababu hawapati majibu ya maombi yao. Mimi nimekupa nyuzi hizo usome uone jinsi Mungu alivyonitendea miujiza mingi ya kifedha na kimaisha kwa ujumla, silalamiki. Zaidi sana nina ahadi ya uzima wa milele. Karibu umpokee Yesu ndugu yangu awe Mwokozi wako maana mwisho wa mambo yote ya dunia hii umekaribia.
![]()
Una habari? Mwisho wa mambo yote umekaribia!
Mwisho wa mambo yote umekaribia; basi, iweni na akili, mkeshe katika sala. Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendo husitiri wingi wa dhambi.www.jamiiforums.com
Goodluck to you too,Thank you so much for your kind words — I truly appreciate them. But more than just ‘good luck,’ what I have found is God’s grace through Jesus Christ. He doesn’t just grant wishes — He gives salvation, the forgiveness of sins, and a hope that never fades. If you haven’t received Him yet, I warmly invite you to believe in Jesus today. He will transform your life forever. You're welcome to the true salvation that doesn’t depend on luck, but on faith.
" Nenda kule walikokaa wenzako kina whozu na bonge la nyau*Utapoteza muda wako bure ukisali hivi: "Bikira Maria Mtakatifu Mkingiwa dhambi ya asili, Mlinzi wa Taifa letu. Utuombee." Sala hiyo haina mashiko kwa sababu zifuatazo:
Kibiblia, hakuna sehemu inayoonyesha kuwa Bikira Maria amepewa jukumu la kuwa mlinzi wa taifa lolote. Mungu pekee ndiye anayeweza kuwa Mlinzi wa taifa, iwapo taifa hilo linamwamini na kumkubali.
Zaburi 33:12
"Heri taifa ambalo Mungu wake ni Mwenyezi-Mungu.”
Je, Bikira Maria ana uwezo wa kuwaombea watu huko aliko? Biblia haitufundishi popote kwamba wafu wanaweza kuwaombea walio hai. Badala yake, Biblia inaeleza kwamba Roho Mtakatifu ndiye anayetuombea(Warumi 8:26). Ukisoma pia Ebr 7:25 imeandikwa kuwa Yesu anatuombea.
Naye[Yesu], kwa sababu hii, aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai sikuzote ili awaombee.
Ingawa Maria aliheshimiwa na Mungu kwa kuchaguliwa kumzaa Yesu, hana mamlaka ya kuombea watu baada ya kifo chake.
Bikira Maria hakuwa Mkingiwa dhambi ya asili. Kuna watu wanafundisha kwamba Bikira Maria "alikingiwa" dhambi ya asili(the dogma of the Immaculate Conception); yaani kwamba alizaliwa bila dhambi ya asili.
Mafundisho hayo sio sahihi kwa sababu Maandiko yanasema:
“Kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.” — Warumi 3:23
Andiko hilo halibagui. Watu wote wanahitaji wokovu kwa njia ya Yesu, hata Maria mwenyewe alisema:
“Roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu.” — Luka 1:47
Bikira Maria alimtambua Mungu kuwa ndiye Mwokozi wake, hivyo naye pia alihitaji neema ya Mungu kama wengine.
Bikira Maria anastahili heshima kama mama aliyemzaa Bwana Yesu, lakini kama tulivyoona, hatupaswi kumwita mlinzi wa taifa. Kwahiyo ukifunga na kumsihi Bikira Maria akuombee, utapoteza muda wako bure. Afadhali ushike jembe ukalime!
Kama hukubaliani na hoja hizo, weka hapa Maandiko yanayokuambia kwamba "Bikira Maria ni Mlinzi wa Taifa lako, na kwamba yeye ni Mkingiwa dhambi ya asili."
Na kuhusu Maria kwamba anaweza kukuombea, usijitetee kwa kutaja lile tukio la arusi ya Kana ambapo Maria alimwambia Yesu "hawana divai" kisha Yesu akatenda muujiza divai njema ikapatikana. Hilo tukio lilifanyika Maria alipokuwa hai duniani. Sasa hivi Maria hayupo tena. Waliofariki hawasikii wala hawajui chochote kinachoendelea kwa walio hai duniani. Soma Mhubiri 9:6
"lakini wafu hawajui chochote...upendo wao, chuki yao na wivu wao vimetoweka tangu kitambo, kamwe hawatakuwa tena na sehemu katika lolote linalotendeka chini ya jua."
"Kakae kule Kwa wenzio kina whozu na bonge la nyau"Kuna Kanisa moja maarufu kusali bila kumtaja Maria basi sala haijakamilika:
Yaani kila kusanyiko la sala ni lazima Maria atajwe:
Sasa huwa najiuliza huyo Maria ni nani ?
Maana Mama wa Yesu anaitwa Mariamu:
Sijawahi jibiwa hili swali
Mathayo (Mat) 1:18
Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Bikira Maria ni huyo huyo anayejulikana pia kama Mariamu, mama wa Yesu, kama ilivyoandikwa katika Biblia.Kuna Kanisa moja maarufu kusali bila kumtaja Maria basi sala haijakamilika:
Yaani kila kusanyiko la sala ni lazima Maria atajwe:
Sasa huwa najiuliza huyo Maria ni nani ?
Maana Mama wa Yesu anaitwa Mariamu:
Sijawahi jibiwa hili swali
Mathayo (Mat) 1:18
Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Biblia ya Kiswahili haina jina la Maria:Bikira Maria ni huyo huyo anayejulikana pia kama Mariamu, mama wa Yesu, kama ilivyoandikwa katika Biblia.
Tofauti ya majina inatokana na tafsiri za lugha mbalimbali:
Mariamu ni jina lake katika Biblia ya Kiswahili, na linatokana na tafsiri ya Kiebrania/Kiaramu (Miryam).
Maria ni jina hilo hilo katika lugha za Kizungu, kama vile Kilatini, Kihispania, Kiingereza (Mary), n.k.
Bikira Maria linasisitiza kwamba alikuwa bikira wakati alipochukua mimba ya Yesu kwa uwezo wa Roho Mtakatifu (Luka 1:26–35).
Hata hivyo hakuna andiko linalotuambia tumuombe Maria au Mariamu atuombee.
...Juju na njugu za sungusungu hatuwezi pair...What next?
Biblia Habari Njema(BHN) inatumia jina hilo "Maria."Biblia ya Kiswahili haina jina la Maria:
Ni kwanini anaombwa Maria badala ya jina halisi la Mama wa Yesu Mariamu ?