Afadhali ushike jembe ukalime, kuliko kuomba sala hii

Afadhali ushike jembe ukalime, kuliko kuomba sala hii

Roman Catholic ndio wameutunza Ukristo ikiwemo kuipanga hio Biblia baada ya kuvichambua vitabu 300 na kuviacha vitabu 72.
Vingine kwa level zenu sio sahihi.
Hapakuwepo na dhehebu jingine isipokuwa Ukatoliki duniani kwa muda wa miaka 1500.
So kumuomba bikira hakuondoi ukuu wa Yesu Kristo
 
Sanamu ya Bikira Maria Watu wanapotezwa kuhusu hilo
Kutoka 20:4
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
 
Sanamu ya Bikira Maria Watu wanapotezwa kuhusu hilo
Kutoka 20:4
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
 
Walokole kwenye moja na mbili, nani aliwaambia mkiomba mlie ? Na kugaragra ?

Huku mnapiga makelele kama hampo sawa,

Unajua Kuna wenzetu Muslim hawaombi kwa Mary wala Yesu lakini wanaishi vzr na safi,

Kuna wachina wasio na dini, wahindi hawana dini wako safi kabisa,

Sasa wewe kwann usifanye yako ukaachna na Imani za watu ?

We fungu lako mmepelekee mchungaji akuombee upate gari na nyumba,

Ila walokole mnadangayana kwenye shuhuda sijawahi ona plus ministry uchwara
 
Kwani huwezi kuamka asubuhi unaenda kwenye shughuli zako , ukaomba wanafamilia wako wakuombee mambo yako yakae sawa ? Mara ngapi tunaombea ndugu, jamaa na marafiki?
 
secretarybird na @divishenifoo wakatumeni dini yenu imevamiwa na setfree

Nasikia badala atoe kitumbua yupo busy na waroma usiku wa manane
Walokole wanaponikera ni pale wanaponigombania. Kila mtu anataka aniconvert kwenye kanisa lake, mara mwengine ananihamasisha niende TAG mwingine PAG, duh!

Tafrani tupu yaani!
 
Kwani huwezi kuamka asubuhi unaenda kwenye shughuli zako , ukaomba wanafamilia wako wakuombee mambo yako yakae sawa ? Mara ngapi tunaombea ndugu, jamaa na marafiki?
Hao unao waambiya wapo hai au wamekufa chunga sana Zambi ya ushirikina ni chukizo kubwa mbele ya Mungu
 
Hao unao waambiya wapo hai au wamekufa chunga sana Zambi ya ushirikina ni chukizo kubwa mbele ya Mungu
Baada ya siku kama nane tangu Yesu aseme maneno haya, aliwachukua Petro, Yohana na Yakobo, akapanda mlimani kuomba. 29 Yesu alipokuwa akiomba, uso wake ulianza kubadilika. Nguo zake zikawa nyeupe, zikang'aa. 30 Kisha watu wawili walikuwa pale, wakiongea naye. Walikuwa Musa na Eliya; 31 Wao pia walionekana waking'aa na wenye utukufu. Walikuwa wanazungumza na Yesu kuhusu kifo chake kitakachotokea Yerusalemu. LUKA 9:28-31 ….. sasa hawa walishakufa imekuwaje tena
 
Baada ya siku kama nane tangu Yesu aseme maneno haya, aliwachukua Petro, Yohana na Yakobo, akapanda mlimani kuomba. 29 Yesu alipokuwa akiomba, uso wake ulianza kubadilika. Nguo zake zikawa nyeupe, zikang'aa. 30 Kisha watu wawili walikuwa pale, wakiongea naye. Walikuwa Musa na Eliya; 31 Wao pia walionekana waking'aa na wenye utukufu. Walikuwa wanazungumza na Yesu kuhusu kifo chake kitakachotokea Yerusalemu. LUKA 9:28-31 ….. sasa hawa walishakufa imekuwaje tena
Kwani hapo Yesu aliwaomba, yeye hawa ombi wafu,Yesu huwa ana muomba Mungu.
 
Kwani hapo Yesu aliwaomba, yeye hawa ombi wafu,Yesu huwa ana muomba Mungu.
We ulichoshosema ni kwamba bikira Maria amekufa nimekuletea waliokufa wengine… je tukimuomba Elia atuombee tutakua tunakosea?
 
Utapoteza muda wako bure ukisali hivi: "Bikira Maria Mtakatifu Mkingiwa dhambi ya asili, Mlinzi wa Taifa letu. Utuombee." Sala hiyo haina mashiko kwa sababu zifuatazo:
Ngoja tuone
Kibiblia, hakuna sehemu inayoonyesha kuwa Bikira Maria amepewa jukumu la kuwa mlinzi wa taifa lolote. Mungu pekee ndiye anayeweza kuwa Mlinzi wa taifa, iwapo taifa hilo linamwamini na kumkubali.
Kumbuka Tanzania inaweza kuamua Kenya iwe mlinzi wake na ikawa hivyo na sio lazima iandikwe kwenye Biblia. Biblia sio kitabu cha sheria na sio kila kitu kimeandikwa kwenye Biblia na Biblia yenyewe inasema hivyo: John 20:30-31 au hata John 21: 25
Zaburi 33:12
"Heri taifa ambalo Mungu wake ni Mwenyezi-Mungu.”

Je, Bikira Maria ana uwezo wa kuwaombea watu huko aliko? Biblia haitufundishi popote kwamba wafu wanaweza kuwaombea walio hai. Badala yake, Biblia inaeleza kwamba Roho Mtakatifu ndiye anayetuombea(Warumi 8:26). Ukisoma pia Ebr 7:25 imeandikwa kuwa Yesu anatuombea.
Naye[Yesu], kwa sababu hii, aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai sikuzote ili awaombee.

Ingawa Maria aliheshimiwa na Mungu kwa kuchaguliwa kumzaa Yesu, hana mamlaka ya kuombea watu baada ya kifo chake.
Luka 16: 19-31 inaonesha yule tajiri aliyekufa na kwenda jehanam akimwomba Lazaro aliyeko Mbinguni kumwombea angalau tone moja tu la maji.
Bikira Maria hakuwa Mkingiwa dhambi ya asili. Kuna watu wanafundisha kwamba Bikira Maria "alikingiwa" dhambi ya asili(the dogma of the Immaculate Conception); yaani kwamba alizaliwa bila dhambi ya asili.

Mafundisho hayo sio sahihi kwa sababu Maandiko yanasema:
“Kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.” — Warumi 3:23
Hata Yesu? Yesu ambaye hakuwa na dhambi hasingeweza kuzaliwa na mwanamke mwenye dhambi. Sio kila neno limeandikwa waziwazi kwenye Biblia. Maria alikuwa kiumbe safi (immaculate) aliyeandaliwa na Mungu kumzaa Yesu Kristo.
Andiko hilo halibagui. Watu wote wanahitaji wokovu kwa njia ya Yesu, hata Maria mwenyewe alisema:
“Roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu.” — Luka 1:47

Bikira Maria alimtambua Mungu kuwa ndiye Mwokozi wake, hivyo naye pia alihitaji neema ya Mungu kama wengine.
Hata Yesu alisema hakuna aliye mtakatifu isipokuwa mmoja tu, Baba wa Mbinguni, lakini ukweli ni kwamba pia Yesua alikuwa mtakatifu. Yesu pia alipewa upendeleo wa Kimungu kuweza kufanya yote na hata Maria pia.
Bikira Maria anastahili heshima kama mama aliyemzaa Bwana Yesu, lakini kama tulivyoona, hatupaswi kumwita mlinzi wa taifa. Kwahiyo ukifunga na kumsihi Bikira Maria akuombee, utapoteza muda wako bure. Afadhali ushike jembe ukalime!
Kama hata malaika tu ambao wanakulinda wewe na ni viumbe vinavyotumikia wanadamu, kwanini Mama wa Yesu aliye Mbinguni asiweze kuwa mlinzi wa Taifa?
Kama hukubaliani na hoja hizo, weka hapa Maandiko yanayokuambia kwamba "Bikira Maria ni Mlinzi wa Taifa lako, na kwamba yeye ni Mkingiwa dhambi ya asili."

Na kuhusu Maria kwamba anaweza kukuombea, usijitetee kwa kutaja lile tukio la arusi ya Kana ambapo Maria alimwambia Yesu "hawana divai" kisha Yesu akatenda muujiza divai njema ikapatikana. Hilo tukio lilifanyika Maria alipokuwa hai duniani. Sasa hivi Maria hayupo tena. Waliofariki hawasikii wala hawajui chochote kinachoendelea kwa walio hai duniani. Soma Mhubiri 9:6
"lakini wafu hawajui chochote...upendo wao, chuki yao na wivu wao vimetoweka tangu kitambo, kamwe hawatakuwa tena na sehemu katika lolote linalotendeka chini ya jua."
Maria hayupo duniani lakini yupo peponi anaweza kuwaombea watu mbele za Mungu, yeye ni mmojawapo wa wale walio mbele ya taji la Mbinguni pamoja na watakatifu na malaika wakiimba sifa kwa Mungu na hivyo haitakuwa vigumu kwake kuwaombea wanadamu kama lile tukio la Lazaro na tajiri linavyoonesha kuwa kuna watu wapo Mbunguni na wanaweza kuwasiliana sio tu na wale waliopo duniani bali hata walio jehanum.
 
Kama muda sio mali kwenu, sawa, mkuu, salini tu. Lakini ukweli ndio huo: Bikira Maria hasikii sauti za watu waliopo duniani. Kumwambia awaombee ni kupoteza muda.
Hivi ukisali unavyo jua/unavyo taka, na ukawa acha hao unao wananga wakasali hivyo kivyao, wewe inakua punguzia nini? Stop interfering people's business as longer as they don't interfere yours. Simple!!
 
Back
Top Bottom