MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,198
Halafu wanataka kugoma kudai mshahara wa laki 8
mkuu kunatofauti kati ya changamoto za kielemu na taaluma, wanachokosa hawa jamaa ni taaluma, na siku wakiligundua hlo changamoto hzo unazozisema zitabadilika na kuwa suluhisho..Changamoto zipo kila siku, hata kwenye maisha binafsi changamoto haziishi. Leo ukitatua hili, kesho utakumbana na lingine. Hayo mabasi, wamiliki wa mradi pamoja na wafanyakazi ni lazima wapitie changamoto hizi ili kupata kitu kizuri.
Wenzetu huko ulaya, marekani na nchi zilizoendelea walipitia changamoto nyingi zaidi ya hizo katika kuleta maisha tofauti kwa watu wao.
Niliangalia documentary moja ya "when we left earth", vitu kama hivi ndio vimeleta dunia ya tofauti na iliyokuwa mwanzo. Wengine walipoteza maisha yao ili tu kubadilisha maisha ya wengine.
Natamani sana DART ingekuwa implemented throughout the city, hakuna usafiri mzuri kama huu. Watu wangeacha usafiri binafsi nyumbani asee.
mkuu uwape muda wa nini wakati mambo yanayo lalamikiwa hayahitaji muda wa fedha. ni mambo ya kuamua tuu.Wabongo bwana kwa kulalamika, naona hii hali itaisha tuwape muda kutatua changamoto, mbona mradi UDART mzuri tena sana ana save time, ila hizo changamoto naamini zitatatuliwa, ila si washangai wa bongo wanazani maendeleo ni SAWA NA KUCHUKUA SUKARI KTK KIJIKO, UWEKE KWENYE CHAI, UKOROGE ALAFU UNYWE kila kitu kinaugum wake tuwape mda.
Je kuna yanayotangaza na yasiyotangaza vituo vya kushuka?Yale mabasi yanataratibu zake, kuna yanayosimama kila kituo na kuna yanayosimama baadhi ya vituo.
Ni vizur zikaongelewa kuliko kukaa kimya, hata management ya DART inakiri kuna changamoto na inafatilia hata operation yenyewe,why watumiaji wasikosoe?Wabongo bwana kwa kulalamika, naona hii hali itaisha tuwape muda kutatua changamoto, mbona mradi UDART mzuri tena sana ana save time, ila hizo changamoto naamini zitatatuliwa, ila si washangai wa bongo wanazani maendeleo ni SAWA NA KUCHUKUA SUKARI KTK KIJIKO, UWEKE KWENYE CHAI, UKOROGE ALAFU UNYWE kila kitu kinaugum wake tuwape mda.
kweli kabisa..... yote yanatangaza vituo yatakayoshusha.Je kuna yanayotangaza na yasiyotangaza vituo vya kushuka?
Yapo yasiyotangaza wakati wa kushusha kituo husika,hili walifanyie kazi,vingine naona vinaenda sawa tuk
kweli kabisa..... yote yanatangaza vituo yatakayoshusha.
ndo maana kuna álarm''horn'kwenye kila nguzo ndani ya gari.. kama wewe umekaribia kufika kituoni kwako unabonyeza, driver atasimama.... muda mwingine wanapitiwa na ww abiria lazima ujiongeze...Yapo yasiyotangaza wakati wa kushusha kituo husika,hili walifanyie kazi,vingine naona vinaenda sawa tu
Nacho sema huyo mkuu kuhusu ratiba ya mabasi yasiyo simama baadhi ya vituo sio matatizo yanayo lalamikiwa.Je kuna yanayotangaza na yasiyotangaza vituo vya kushuka?
Na madereva wengine hawatoi maelekezo hayo kwa abiria.Shida inakuja haya mabasi kila siku watumiaji wapya wanapanda,ile orientation inapaswa kufanyika kwa muda mrefu.ndo maana kuna álarm''horn'kwenye kila nguzo ndani ya gari.. kama wewe umekaribia kufika kituoni kwako unabonyeza, driver atasimama.... muda mwingine wanapitiwa na ww abiria lazima ujiongeze...
Hizi hoja ni za kweli kabisa mdau,me nimeona hizi mambo zinasababishwa na sababu zifuatazoNacho sema huyo mkuu kuhusu ratiba ya mabasi yasiyo simama baadhi ya vituo sio matatizo yanayo lalamikiwa.
matatizo makubwa yanayo lalamikiwa ninkama yafuatayo.
1. abiria kukaa muda mrefu bila kupata mabasi.
2. Abiria kukaa muda mrefu kwenye foleni bila kupata tiketi.
3. Madereva kuto simama kwenye vituo kwa kisisngizomio eti anawahi kuchukua wengine mfano, abiria asubuhi yupo mapipa anaelekea morocco, dereva wa kivukoni morocco anapita mapipa bila kusimama eti anawahi abaria morocco, huo ni uzuzu.
4. Mabasi kuto kuwa na tariba maalumu wala muda maalum, utakuta abiria wamekaa hata saa moja wanasubiri baadae mabasi yanakuja yameongozana.
5. Madereva kudanganya abairia eti gari haligeuzi ili kukwepa abiria ambao baada ya kuona hawapati usafiri wanaamua kupanda basi ili wakageuze nalo kwani yanauo pita yanapita yameshina sana.
1. Kwenye daladala abiria ndio mfalme , hata uwe mbali utasubiriwa, hata kama basi limejaa utaambiwa kuna nafasi etc
Sasa UDART ni kinyume chake kabisa, dereva ndio mfalme, anaamua apakie au asipakie, anaweza pita na gari tupu na asipakie, anaweza hata akadanganya eti gari bovu anaenda kupaki kumbe hataki apakie njiani, usumbufu kibao utadhani abiria wanapanda bure.
tofauti nyingine ongezeni..