Utatuzi wa mfumo wa ulipaji nauli kwenye daladala

siderank

Member
Apr 9, 2023
7
4
Habarini wanajamvi niende moja

Kwa moja kwenye mada kutokana na kadhia tunayopata abiria kwenye daladala hususan pale daladala linapokua limejaa kunakuwa na ugumu wa konda kukusanya nauli hali inayopelekea kupoteza kwa mapato kutokana na janjajanja ya baadhi ya abiria kukwepa kulipa nauli

Pia inaleta hadha kwa abiria pale konda anapokuwa anapita kwa kujibanza wakati anakusanya nauli.

Kwa kulitambua hlo nmekuja na suluhisho moja ambayo bado nina ifanyia kazi suluhisho ni hili kila daladala inayosajiliwa iwe na code namba yake ambayo inakuwepo mlangoni na pia inakuwepo ndani imeandikwa na dereva ama konda anaruhusiwa kiitangaza hiyo code namba ilikuepusha wale abiria wanao jisahulisha kusudi

So kazi itakuwa moja tu kuwa na app kwa watu wa smart phone au kutumia msimbo wa namba kwa mfano*15*0# then unapelekwa kwenye menu unafuata maelekezo kwa watu wote wa smart phone na hata mwenye viswaswadu pia ni kuclick then utaingiza code ya namba ya gar watakuletea maelezo yote kuhusu hyo gari na hadi namba za gari na root yake pia na dereva wake na utingo wake pia na utapewa risiti yenye jina lako kwamba fulan bin fulan umelipa kiasi kazaa kwenye kampun fulani kama nauli na risit namba yake ni kadhaa.

So hii itasaidia kuondosha usumbufu wa ulipaji nauli kwenye daladala asanteni hili ni wazo tu kama kuna mtu anaweza akaongeza kitu au kama kuna kitu ungeitaji kibadilishwe ruksa kutoa ushauri
 
Screenshot_20240403-181059.png
 
Wabongo watakuambia cm haina chaj, au nimeusahau, au nimeibiwa cm, yaan acha tu tunyooshane uaminifu kwa mbongo ni 0.1
 
miliki kwanza daladala ndipo ufikiri ulichowaza hapo mbali na hivyo nakusikitikia
 
Aseee ww jamaa? hata hivyo hizi ndo bunifu za kitanzania hambazo hazitoboi, huoni hata mazingira tuliyopo?
 
Wenye magari tuna comment wapi?

Wazo zuri ila sasa balaa ni kuligeuza kuwa uhalisia sababu ya uzito wa mabichwa ya watu aisee.
 
Aseee ww jamaa? hata hivyo hizi ndo bunifu za kitanzania hambazo hazitoboi, huoni hata mazingira tuliyopo?
Mazingira yapi brother unaweza ukaelezea ulitupate ufumbuzi na upembuzi tukijadili kwa pamoj kwa sababu kila kitu kina faida na hasara zake so tunachofanya tunaangalia faida ndio nying Zaid au hasara ndio zmezid so tupo kwenye kupatia ufumbuzi jamii yetu
 
Hawa makonda wa daladala si unaona uelewa wao?
 
Ni jambo dogo tu kutoa elimu ya kutosha kwao then wataenda na mfumo maan hap ni swala la mtandao nazani watakao fanya kazi wengi watakuwa waelewa na huu mfumo utakuwa madhubut inamaan makonda na madereva itakuwa wanamikataba yakazi rasmi ndio maana wanawepo kwenye mfumo wa data pia ikitokea muajili kamuachisha kazi dereva wake au konda anakuja kwenye mfumo anasubmit taarfa zake mpya then zinarekebishwa mara moja so huu mfumo unaon atamakonda watakao kuwa wanafanya kazi ni wale timamu na cyo wale wahuni wanaoharbu kazi ya ukonda
 
Habarini wanajamvi niende moja

Kwa moja kwenye mada kutokana na kadhia tunayopata abiria kwenye daladala hususan pale daladala linapokua limejaa kunakuwa na ugumu wa konda kukusanya nauli hali inayopelekea kupoteza kwa mapato kutokana na janjajanja ya baadhi ya abiria kukwepa kulipa nauli

Pia inaleta hadha kwa abiria pale konda anapokuwa anapita kwa kujibanza wakati anakusanya nauli.

Kwa kulitambua hlo nmekuja na suluhisho moja ambayo bado nina ifanyia kazi suluhisho ni hili kila daladala inayosajiliwa iwe na code namba yake ambayo inakuwepo mlangoni na pia inakuwepo ndani imeandikwa na dereva ama konda anaruhusiwa kiitangaza hiyo code namba ilikuepusha wale abiria wanao jisahulisha kusudi

So kazi itakuwa moja tu kuwa na app kwa watu wa smart phone au kutumia msimbo wa namba kwa mfano*15*0# then unapelekwa kwenye menu unafuata maelekezo kwa watu wote wa smart phone na hata mwenye viswaswadu pia ni kuclick then utaingiza code ya namba ya gar watakuletea maelezo yote kuhusu hyo gari na hadi namba za gari na root yake pia na dereva wake na utingo wake pia na utapewa risiti yenye jina lako kwamba fulan bin fulan umelipa kiasi kazaa kwenye kampun fulani kama nauli na risit namba yake ni kadhaa.

So hii itasaidia kuondosha usumbufu wa ulipaji nauli kwenye daladala asanteni hili ni wazo tu kama kuna mtu anaweza akaongeza kitu au kama kuna kitu ungeitaji kibadilishwe ruksa kutoa ushauri
Uaminifu itakuwa kikwazo cha kwanza, pili monitoring, unajuaje waliomo kwenye basi ndio wamelipa? Hii system inatakiwa iwe closed na inamlazim mtu kulipa lakin kwa konda na dereva iwe rahis ku monitor
 
Ukiwa unashuka ni kumuonyesha ile meseji yeye atajiridhisha kuwa ni wew then anakupa lisit yako kwan kwenye mfumo inakuwa kashakuon muda kuwa umelipa kithibitisho ni meseg yak basi yenye tarehe siku na saa pia
 
Hapana hilo halitoshi, wkt wapurukushani ni changamoto na hapa unatengeeza tatizo lingine. After paymet kuwe alert kwa konda kuwa raia fulan anamelipa na anashukia kituo fulani. Dunia inaenda kasi mno , kumuonyesha mtu sms is primitive
 
Ni wazo zuri lakini sidhani kama makonda na madereva watalikubali Kwa sababu pesa yote itakuwa inaenda kwa tajiri moja kwa moja. Wakati sasa hivi konda ndio anapeleka hesabu kwa tajiri na kinachobaki wanagawana, kwa mfumo huo itabidi tajiri ndio awalipe wafanyakazi wake.

Mimi naona kuwe na mfumo wa card (kama za ferry au mwendokasi) ambapo kila daladala itakuwa na mashine portable kama za wakala wa crdb au nmb. Unascan card hela inakatwa inakuwa hamna usumbufu wa chenji.
 
Ukiona unaishi kwenye nchi ya wasafiri kujazana kwenye nyombo vya usafiri kama sardines,ujue unaishi in a shithole country,why ile sheria ya level sits haitumiki?royal families wapo kwenye V8 na vijukuu vyao,walala hoi wanalalama JF
 
Habarini wanajamvi niende moja

Kwa moja kwenye mada kutokana na kadhia tunayopata abiria kwenye daladala hususan pale daladala linapokua limejaa kunakuwa na ugumu wa konda kukusanya nauli hali inayopelekea kupoteza kwa mapato kutokana na janjajanja ya baadhi ya abiria kukwepa kulipa nauli

Pia inaleta hadha kwa abiria pale konda anapokuwa anapita kwa kujibanza wakati anakusanya nauli.

Kwa kulitambua hlo nmekuja na suluhisho moja ambayo bado nina ifanyia kazi suluhisho ni hili kila daladala inayosajiliwa iwe na code namba yake ambayo inakuwepo mlangoni na pia inakuwepo ndani imeandikwa na dereva ama konda anaruhusiwa kiitangaza hiyo code namba ilikuepusha wale abiria wanao jisahulisha kusudi

So kazi itakuwa moja tu kuwa na app kwa watu wa smart phone au kutumia msimbo wa namba kwa mfano*15*0# then unapelekwa kwenye menu unafuata maelekezo kwa watu wote wa smart phone na hata mwenye viswaswadu pia ni kuclick then utaingiza code ya namba ya gar watakuletea maelezo yote kuhusu hyo gari na hadi namba za gari na root yake pia na dereva wake na utingo wake pia na utapewa risiti yenye jina lako kwamba fulan bin fulan umelipa kiasi kazaa kwenye kampun fulani kama nauli na risit namba yake ni kadhaa.

So hii itasaidia kuondosha usumbufu wa ulipaji nauli kwenye daladala asanteni hili ni wazo tu kama kuna mtu anaweza akaongeza kitu au kama kuna kitu ungeitaji kibadilishwe ruksa kutoa ushauri
Yaani baada ya kuwasikia Latra wakitaka nauli za daladala zilipwe kwa mtandao wewe unakuja eti umefanya utafiti! Acha hizo huu ni utapeli.
 
kwa gari gani hizi za mbagala ? ambazo huwa zinajaza ata nafasi ya kujitingisha haipo.....ila dunga dunga ndo hufaidi hapa tuu.....na kuna wadada wapapenda sana kudungwaa😂🤣😅😆
 
Back
Top Bottom