Afadhali daladala kuliko UDART

Afadhali daladala kuliko UDART

yanasaidia ila kwa Morocco problem.Mimi nakuwa nyerere square kila siku SAA 2 usiku hivi.magari ya morocco machache sana.kila gari kimara kimara .mengine matupo yanaenda kupaki na abiria wsnasubiri
hawa watu hawaeleweki kabisa. kama unatoka morocco kwenda kariakoo majira ya jioni hata asubuhi ni afadhali upande daladala kuliko UDA RT maana hayatabiliki. unaweza kata tiketi na ukapata gari baada ya dk 45.
 
b0ef937cb8bd64686919f299fe174440.jpg

hawa ndio wanadamu
 
Watanzania bado tuko karne ya 17 ambayo Ulaya wakati huo walikuwa wanatumia farasi na matela ya abiria kufanya usafiri,ushauri wangu,serekali ilete punda wa kutosha kutoka Singida na itengeneze matela,hiyo itakuwa njia bora ya usafiri ambao hautaleta ajali na matatizo kama haya yanayotokea,halafu tutaanza taratibu kujongea karne hadi karne mpaka tufike stage ya vyombo vya moto,fuel itakayotumika kwa punda hao itakuwa ni Carrot na mihogo mibichi,hiyo itaongeza soko la ndani kwa wakulima kujipatia kipato na kulipa kodi,mbolea ya punda tutaipeleka mashambani na kuwauzia wakulima ili kurejesha rutuba katika ardhi bila kutumia mbolea zenye kemikali ambazo ni ghali,halafu ili kuongeza mwendo(SPEED) ya punda wetu ili kuwafanya kuwa na accelaration nzuri na pia changing of gears(KIBADILI MWENDO),itabidi kilimo cha pilipili kiongezeke coz tutatumia pilipili ya kijani(mild) kusugua punda kwenye tigo ili wakati anaanza kuondoka iwe kama first gear,akishaanza kuchanganya mwendo tunamsugua punda kwenye tigo na pilipili nyekundu(strong), ili speed iwe overdrive ili kuokoa muda,hapo tutakuwa na soko kubwa la ndani la pilipili kwa wakulima nchini na watalipa kodi nzuri pia,punda wakizeeka au kuugua tutawachinja na kusindika nyama yake kwenye makopo na kuuza, hii itaongeza mapato kwa serekali na siha kwa wananchi sababu nyama ya punda ina protein ya kutosha na kinga dhidi ya maradhi ambukizi,ngozi za punda serekali itafanya export,hakutakuwa na polution ya green gas or lead poisoning itokanayo na fossil fuel ambayo ni janga kwa Taifa sababu inasababisha SARATANI, ugonjwa unaozidi siku hadi siku nchini kwetu.TUUNGANE KUISHINIKIZA SEREKALI JUU YA UMUHIMU WA PUNDA KIMAENDELEO,BILA KUSAHAU PUNDA NI MALI.
Sirikali popote mlipo mmesikia sasa Kazi kwenu .....
 
1. Kwenye daladala abiria ndio mfalme , hata uwe mbali utasubiriwa, hata kama basi limejaa utaambiwa kuna nafasi etc

Sasa UDART ni kinyume chake kabisa, dereva ndio mfalme, anaamua apakie au asipakie, anaweza pita na gari tupu na asipakie, anaweza hata akadanganya eti gari bovu anaenda kupaki kumbe hataki apakie njiani, usumbufu kibao utadhani abiria wanapanda bure.

tofauti nyingine ongezeni..

Duh, aliyeleta uzi huu ni MTANZANIA halisi...kulalamika, kushutumu, kupayuka ovyo, hakuna analysis, asiyeridhika, asiye na shukrani...
 
Miaka ya nyuma ile baada ya kuvunjika Jumuia ya Afrika Mashariki ikasababisha shirika EA Airways kuvunjika. Serikali haikua na budi ila kuanzisha Air Tanzania na ikaagiza ndege 3 Boeng 737 na ukweli yulikua yunaenda London , UAE na nchi zote za jirani kwa ndege zetu..
Hili shirika lilikua siku za mwanzo abiria ni wengi mno na huduma zilikua za kuridhisha.
Zilianza. Hujuma za ufisadi na wizi......Sio mara moja wala mbili kwenda makao makuu ya ATC kutaka ticket na kuambia ndege zimejaa labda 1st class...Mara moja nilikua mkutano muhimu hivyo ilibidi ni kate tu 1st class japo nafasi yangu haiku niruhusu....cha mshangao nilipo ingia ndani ya ndege nikakuta economy class zaidi ya robo 3 iko tupu !!!! Wakati makao makuu na juu ya kuwabembeleza walikataaa na kusema zimejaa...nikajua hii ni hujuma na hupati hizo ticket mpaka kwa rushwa......hatimae ATC likafa
Hivyo hujuma zipo na bado watanzania hawana uzalendo.....uzalendo wao ni wa rangi tu ya kiafrika lakini mapenzi hasa na nchi hakuna....na haya mabasi tusipo angalia yatakufa mbele ya macho yetu tunayaona...na kufa sio lazima mabasi yafe bali ni kama hivi kupita bure matupu bila kupakia..wanakosesha watu huduma na mapato kujiendesha.....Serikali isome makosa ya zamani kwenye kuendesha miradi ya umma...mentality za watu bado ni zile zile
Kazi njema
 
ni kweli unacho kisema, lakini nikicho gundua management ya UDART ndio wa sanii kwa kuto jali makubakiano waliyo fanya na madareva hasa kwenye malipo.

Mfano mdogo ni kuwa walikubaliana ninavyo sikia kulipwa elfu 10 lakini sasa hivi wanalipwa elfu 6 kama posho ta siku.

Vitu kama hivi vinaashiria kuwa mwekezaji hana nia ya dhati ya kutoa huduma nzuri ktk jiji letu pendwa.

Ujanja ujanja mwingi sana.
 
Tajiri angeenda punjab india angepata madereva wazuri tu,tena akawalipa laki 3 tu
Tatizo la wabongo hatuna nidhamu ya kazi, ukifanya kazi na wahindi utagundua ni watu wenye nidhamu ya hali ya juu kazini na ni wavumilivu.
 
Tatizo la wabongo hatuna nidhamu ya kazi, ukifanya kazi na wahindi utagundua ni watu wenye nidhamu ya hali ya juu kazini na ni wavumilivu.
waajiri nao wa kibongo wazushi sana. mnakubaliana mwisho wanakugeuka
 
Back
Top Bottom