Afadhali daladala kuliko UDART

Afadhali daladala kuliko UDART

Mmmh si kila mtu ataridhika na huduma zake. Ila kwa ujumla yanasaidia sana jamani duh
Watanzania bado tuko karne ya 17 ambayo Ulaya wakati huo walikuwa wanatumia farasi na matela ya abiria kufanya usafiri,ushauri wangu,serekali ilete punda wa kutosha kutoka Singida na itengeneze matela,hiyo itakuwa njia bora ya usafiri ambao hautaleta ajali na matatizo kama haya yanayotokea,halafu tutaanza taratibu kujongea karne hadi karne mpaka tufike stage ya vyombo vya moto,fuel itakayotumika kwa punda hao itakuwa ni Carrot na mihogo mibichi,hiyo itaongeza soko la ndani kwa wakulima kujipatia kipato na kulipa kodi,mbolea ya punda tutaipeleka mashambani na kuwauzia wakulima ili kurejesha rutuba katika ardhi bila kutumia mbolea zenye kemikali ambazo ni ghali,halafu ili kuongeza mwendo(SPEED) ya punda wetu ili kuwafanya kuwa na accelaration nzuri na pia changing of gears(KIBADILI MWENDO),itabidi kilimo cha pilipili kiongezeke coz tutatumia pilipili ya kijani(mild) kusugua punda kwenye tigo ili wakati anaanza kuondoka iwe kama first gear,akishaanza kuchanganya mwendo tunamsugua punda kwenye tigo na pilipili nyekundu(strong), ili speed iwe overdrive ili kuokoa muda,hapo tutakuwa na soko kubwa la ndani la pilipili kwa wakulima nchini na watalipa kodi nzuri pia,punda wakizeeka au kuugua tutawachinja na kusindika nyama yake kwenye makopo na kuuza, hii itaongeza mapato kwa serekali na siha kwa wananchi sababu nyama ya punda ina protein ya kutosha na kinga dhidi ya maradhi ambukizi,ngozi za punda serekali itafanya export,hakutakuwa na polution ya green gas or lead poisoning itokanayo na fossil fuel ambayo ni janga kwa Taifa sababu inasababisha SARATANI, ugonjwa unaozidi siku hadi siku nchini kwetu.TUUNGANE KUISHINIKIZA SEREKALI JUU YA UMUHIMU WA PUNDA KIMAENDELEO,BILA KUSAHAU PUNDA NI MALI.
 
UDART ni nzuri sema tu kuna mapungufu kidogo:
1. Magari ya kimara morocco ni machache
2. Kuna madereva hawana maadili nilimshuhudia kampitiliza mtoto sijui makusudi sijui bahati mbaya halafu akajibu jeuri
3. Kuna madereva hawaheshimu zebra yeye anakwenda tu sio wote wengine wastaarabu sana narudia wengine wastaarabu sana.
4. Kuna madereva hawajui kutunza muda wanayaendesha kama daladala fulani hivi, kituoni anazubaa bila sababu.
5. Kuna wale wadada wanaosaidia watu kupita kwenye vile vizingiti, wengine wana hulka mbaya, kama mtu akipita pale hajui jinsi ya kuscan risiti wanakuwa wakali badala ya kumuelewesha vizuri. Wanakera sana wanajiona wamefika.
Kumbuka:
Haya si mabasi ya kusubiri abiria, mmoja wawili twende mbele wako abiria. Kama unataka kusubiriwa rudi daladalani.
Siku njema mkuu.
swala la madreva ni la elimu, kitengo cha mawasiliano kiwape elim madreva, hasa wazingatie kuwa wao hawalipwi kwa siku, bali wanamkataba wa ajira, hvyo wajib wao ni kusema na kutoa taarifa kila kituo, wapo madreva ambao wanafanya vzr ukipanda gari lao, utafurahi kama umepanda ndege, ila kunawengine ukipanda asee kama wamevuta bangi,

hvyo kitengo cha mawasiliano kifanya kazi ya kutoa elim, hasa upande wa mawasiliano kwa wateja, wajue kuwa kwa sasa wanaopanda huu usafri ni watu ambao wameacha magri yao na wanaheshima zao, hvyo wawe makin katika kuhudumia
 
UDART ni usafiri mzuri sana kwa kweli,kilichopo ni kuondoa tu changamoto zinazojitokeza.
 
Watanzania bado tuko karne ya 17 ambayo Ulaya wakati huo walikuwa wanatumia farasi na matela ya abiria kufanya usafiri,ushauri wangu,serekali ilete punda wa kutosha kutoka Singida na itengeneze matela,hiyo itakuwa njia bora ya usafiri ambao hautaleta ajali na matatizo kama haya yanayotokea,halafu tutaanza taratibu kujongea karne hadi karne mpaka tufike stage ya vyombo vya moto,fuel itakayotumika kwa punda hao itakuwa ni Carrot na mihogo mibichi,hiyo itaongeza soko la ndani kwa wakulima kujipatia kipato na kulipa kodi,mbolea ya punda tutaipeleka mashambani na kuwauzia wakulima ili kurejesha rutuba katika ardhi bila kutumia mbolea zenye kemikali ambazo ni ghali,halafu ili kuongeza mwendo(SPEED) ya punda wetu ili kuwafanya kuwa na accelaration nzuri na pia changing of gears(KIBADILI MWENDO),itabidi kilimo cha pilipili kiongezeke coz tutatumia pilipili ya kijani(mild) kusugua punda kwenye tigo ili wakati anaanza kuondoka iwe kama first gear,akishaanza kuchanganya mwendo tunamsugua punda kwenye tigo na pilipili nyekundu(strong), ili speed iwe overdrive ili kuokoa muda,hapo tutakuwa na soko kubwa la ndani la pilipili kwa wakulima nchini na watalipa kodi nzuri pia,punda wakizeeka au kuugua tutawachinja na kusindika nyama yake kwenye makopo na kuuza, hii itaongeza mapato kwa serekali na siha kwa wananchi sababu nyama ya punda ina protein ya kutosha na kinga dhidi ya maradhi ambukizi,ngozi za punda serekali itafanya export,hakutakuwa na polution ya green gas or lead poisoning itokanayo na fossil fuel ambayo ni janga kwa Taifa sababu inasababisha SARATANI, ugonjwa unaozidi siku hadi siku nchini kwetu.TUUNGANE KUISHINIKIZA SEREKALI JUU YA UMUHIMU WA PUNDA KIMAENDELEO,BILA KUSAHAU PUNDA NI MALI.
HAICHEKESHIIII
 
UDART ni usafiri mzuri sana kwa kweli,kilichopo ni kuondoa tu changamoto zinazojitokeza.
nani kasema mbaya.. hizo changa moto kila siku zinaongezeka na hakuna anaye elewa. usijaribu kuongea na wale wafanyakazi.wao maana hawajaui hata kazi yao? poor Udart.
 
Huna jipya ndugu mara kulia mara kushoto. Kaa upande unaoona unakufaa usije gongwa bure
 
Tajiri angeenda punjab india angepata madereva wazuri tu,tena akawalipa laki 3 tu
 
nafikiri kuna wasimamizi wa mabasi hayo, hivyo wafuatilie kero hizo kwa karibu.
jambo jingine mabasi hayo yana taratibu zake si kama za daradara, yanaenda kwa muda hivyo abiria tu
 
Mie ata sijayapanda hayo ya kasi so sina cha kuchangia kwa kweli.
 
Na utakuta mtu anaambiwa kabisa hii haisimam popote lakn anapanda halaf anaanza kulaumu baadae
ni kweli unacho kisema lakini utakuta mtu kakaa kituoni saa moja kisha basi express linakuja na unasikia halisimamia vituo vyote. hii ndio inapelekea watu wapande hivyo hivyo kwa kuwa amekaa saa moja na hakuna basi
 
Aka Mie Napita Tu,,,,nakaa Zangu Huuukoo Ambako Hamna Konda Wala Dereva Boda Boda Anapajua
 
Watanzania bado tuko karne ya 17 ambayo Ulaya wakati huo walikuwa wanatumia farasi na matela ya abiria kufanya usafiri,ushauri wangu,serekali ilete punda wa kutosha kutoka Singida na itengeneze matela,hiyo itakuwa njia bora ya usafiri ambao hautaleta ajali na matatizo kama haya yanayotokea,halafu tutaanza taratibu kujongea karne hadi karne mpaka tufike stage ya vyombo vya moto,fuel itakayotumika kwa punda hao itakuwa ni Carrot na mihogo mibichi,hiyo itaongeza soko la ndani kwa wakulima kujipatia kipato na kulipa kodi,mbolea ya punda tutaipeleka mashambani na kuwauzia wakulima ili kurejesha rutuba katika ardhi bila kutumia mbolea zenye kemikali ambazo ni ghali,halafu ili kuongeza mwendo(SPEED) ya punda wetu ili kuwafanya kuwa na accelaration nzuri na pia changing of gears(KIBADILI MWENDO),itabidi kilimo cha pilipili kiongezeke coz tutatumia pilipili ya kijani(mild) kusugua punda kwenye tigo ili wakati anaanza kuondoka iwe kama first gear,akishaanza kuchanganya mwendo tunamsugua punda kwenye tigo na pilipili nyekundu(strong), ili speed iwe overdrive ili kuokoa muda,hapo tutakuwa na soko kubwa la ndani la pilipili kwa wakulima nchini na watalipa kodi nzuri pia,punda wakizeeka au kuugua tutawachinja na kusindika nyama yake kwenye makopo na kuuza, hii itaongeza mapato kwa serekali na siha kwa wananchi sababu nyama ya punda ina protein ya kutosha na kinga dhidi ya maradhi ambukizi,ngozi za punda serekali itafanya export,hakutakuwa na polution ya green gas or lead poisoning itokanayo na fossil fuel ambayo ni janga kwa Taifa sababu inasababisha SARATANI, ugonjwa unaozidi siku hadi siku nchini kwetu.TUUNGANE KUISHINIKIZA SEREKALI JUU YA UMUHIMU WA PUNDA KIMAENDELEO,BILA KUSAHAU PUNDA NI MALI.

Mkuu sijawahi kucheka hivi,umeifanya siku yangu muruuuua kabisa.
BTW...hiyo ndiyo njia inayotumika kwa wanaotumia usafiri wa punda?
Dah,nimecheka sana.
 
nani kasema mbaya.. hizo changa moto kila siku zinaongezeka na hakuna anaye elewa. usijaribu kuongea na wale wafanyakazi.wao maana hawajaui hata kazi yao? poor Udart.
Anyway that is what I felt about UDART,i travelled once from Kimara to Kariakoo and back,it was a nice experience to me,i can not compare to daladala which was just operating without rules.
 
unaonekana ulitumia huu usafiri mchana, wakati ambao hakuna abiria. safiri kutoka kimara majira ya saa 12 hadi saa 2 kasoro
 
1. Kwenye daladala abiria ndio mfalme , hata uwe mbali utasubiriwa, hata kama basi limejaa utaambiwa kuna nafasi etc

Sasa UDART ni kinyume chake kabisa, dereva ndio mfalme, anaamua apakie au asipakie, anaweza pita na gari tupu na asipakie, anaweza hata akadanganya eti gari bovu anaenda kupaki kumbe hataki apakie njiani, usumbufu kibao utadhani abiria wanapanda bure.

tofauti nyingine ongezeni..
Wapinga maendeleo mpo wengi sana....
 
Wapinga maendeleo mpo wengi sana....
tatizo lako unadhani tunapinga maendeleo, tunacho taka ni huduma nzuri. kama huwezi kutoa huduma achia wanao weza.
 
Back
Top Bottom