msimamo wa mwenyekiti 2015 ndio utakao kifanya ccm kiendelee kuwa hai,la sivyo ya KANU yaweza jitokeza.
Mkuu siasa za kenya ni tofauti kabisa na bongo, usisahau kua yule waliemkataa 2002 leo ndo yuko ikulu.
msimamo wa mwenyekiti 2015 ndio utakao kifanya ccm kiendelee kuwa hai,la sivyo ya KANU yaweza jitokeza.
Migulu akatwe mapumbu nchi itulie..
Migulu akatwe mapumbu nchi itulie..
Mwigulu ni msemaji wa Chama Cha Manyang'au (Mafisadi na Magaidi)
CCM vipande-vipande rasmi.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hakuna wa kumzuia lowasa kuwa rais wa tanzania iwe ndan ya ccm au nje me npo radh kutoa mali zangu zote kuhakiksha lowasa anakua rais akna membe na sta maskn watahamishia familia zao ikulu kutapanya mali lowasa mirad yake tu kwa sku anaingza bilion 5..membe milion 5 sta milion 3.5 lowasa anaenda ikulu kutumikia watanzania wengne wote waganga njaa
Kama Mwigulu yupo kwa Kowasa, Na Tunajua wazi Nape yupo kwa Membe. Sijuhi hali ikoje huki kwenye Chama.
Haya mambo yanasikitisha sana kwanini tusifikishe jalada lake the Hague?Damu ya Msafiri Mbwambo, Mbwana Masoud, Daudi Mwangosi, Yohana Mpinga (yule kiongozi wa UVCCM kule Ndago), na wengine wengi, zitakaa kichwani.
Damu za majeruhi wa matukio mbalimbali, zitamwandama. Machozi ya watoto yatima, machozi ya wajane...machozi ya wananchi wasiofurahishwa na mambo haya, zitakuwa kichwani...
Mkuu siasa za kenya ni tofauti kabisa na bongo, usisahau kua yule waliemkataa 2002 leo ndo yuko ikulu.
duh mods naona kuna baadhi ya misamiati imewashinda ku-encrypt.Migulu akatwe mapumbu nchi itulie..
akitoa komenti kuhusiana na kauli ya mwigulu kwamba rais, lazima awe lowasa na wala siyo membe wala sita. Bw. Rage kajibu mapigo akisema ni mke wa Lowassa tu ndiye angetamka maneno kama yale. hizo ni ndoto za mchana, Lowassa hawezi kuwa rais. alafu mwigulu akome kumtaja Membe kila kitaka kupitisha ujumbe wake kwa bosi wake
akitoa komenti
kuhusiana na kauli ya mwigulu kwamba rais, lazima awe lowasa na wala
siyo membe wala sita. Bw. Rage kajibu mapigo akisema ni mke wa Lowassa
tu ndiye angetamka maneno kama yale. hizo ni ndoto za mchana, Lowassa
hawezi kuwa rais. alafu mwigulu akome kumtaja Membe kila kitaka
kupitisha ujumbe wake kwa bosi wake
Kumbe lowasa na mwigulunni walebelari-Majanga
mke wa
Lowassa tu ndiye angetamka maneno kama yale. Hii kali kumbe huyu jamaa
wa iramba singida mwiguli anafaa pia kuwa mke wa Lowasa
JIWE WALILOLIKATAA WAASHI, LITAFANYWA KUWA JIWE KUU LA PEMBENI!.
na pia kuna mahali maneno haya yametamkwa
"HAKIKA WEWE NI MWAMBA,NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA TAIFA LANGU!".
Kwa wale ambao mnaamini kuna vitu haviwezekani kufanyika au kutokea, nawahakikishia kuwa
"NOTHING IS IMPOSSIBLE UNDER THE SUN!.
kwa sababu
"LISILOWEZEKANA KWA BINADAMU, KWA MUNGU LINAWEZEKANA!".
Tukubali, tukatae, rais wa Tanzania kwa 2015 is the one and only "THE CHOSEN ONE!" na sio mwingine yeyote!.
Pasco