Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
akitoa komenti kuhusiana na kauli ya mwigulu kwamba rais, lazima awe lowasa na wala siyo membe wala sita. Bw. Rage kajibu mapigo akisema ni mke wa Lowassa tu ndiye angetamka maneno kama yale. hizo ni ndoto za mchana, Lowassa hawezi kuwa rais. alafu mwigulu akome kumtaja Membe kila kitaka kupitisha ujumbe wake kwa bosi wake