.
Uwezo unao mkuu ila hutaki kuutumia kwa makusudi tu! Mtu kama wewe unajiondolea uwezo ina maana unawapa uwezo huo kina Ndenshao wa Kishumundu? Think twice my dude.
.
Ndo maana ameshona sana huko nyuma!Mbona kitambo tu,huyu savimbi alianza siku nyingi tangu enzi za Ilboru.
Ningetamani Mungi na Mzee wa Rula wapite huku wategue kitendawili.
Mnaonyesha ni jins gani mlivyokuwa Mbugila..
Utofauti wake ni upi? Kikwete alikataliwa na Nyerere 1995 lakini na yeye yuko ikulu leo!!!!!!!!!
ningekuwa na uwezo ningewachochea kina Rage, Mwigulu na wenzao wapingane zaidi na kurushiana shutma mbalimbali
Hakuna wa kumzuia lowasa kuwa rais wa tanzania iwe ndan ya ccm au nje me npo radh kutoa mali zangu zote kuhakiksha lowasa anakua rais akna membe na sta maskn watahamishia familia zao ikulu kutapanya mali lowasa mirad yake tu kwa sku anaingza bilion 5..membe milion 5 sta milion 3.5 lowasa anaenda ikulu kutumikia watanzania wengne wote waganga njaa
Mwanakijiji,
Sema kaka.Ndiyo tumemaliza kikao cha kamati kuu mda huu.
Tafadhali hiyo hoja ya kuwapiganisha akina Mwigulu usiiongee tena.Tutawasiliana zaidi kaka zaidi ya hapa.
Stay Blessed.
Nani mbona siku hizi umekua muoga,ule ujasiri wako wa kumtaja moja kwa moja umeenda wapi au na wewe unakadi mbili kama yule mkubwa fulani lakini wewe zako zote ni za ccm,uko wajuyu na uko kwa yule pia!JIWE WALILOLIKATAA WAASHI, LITAFANYWA KUWA JIWE KUU LA PEMBENI!.
na pia kuna mahali maneno haya yametamkwa
"HAKIKA WEWE NI MWAMBA,NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA TAIFA LANGU!".
Kwa wale ambao mnaamini kuna vitu haviwezekani kufanyika au kutokea, nawahakikishia kuwa
"NOTHING IS IMPOSSIBLE UNDER THE SUN!.
kwa sababu
"LISILOWEZEKANA KWA BINADAMU, KWA MUNGU LINAWEZEKANA!".
Tukubali, tukatae, rais wa Tanzania kwa 2015 is the one and only "THE CHOSEN ONE!" na sio mwingine yeyote!.
Pasco
Rage naye katumia haki yake ya kikatiba.Lakini kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake juu ya nani anafaa kuwa raisi?
Nchemba katumia haki yake ya kikatiba.
Nyerere ataendelea kua baba wa taifa, hakua mungu.
Hakuna wa kumzuia lowasa kuwa rais wa tanzania iwe ndan ya ccm au nje me npo radh kutoa mali zangu zote kuhakiksha lowasa anakua rais akna membe na sta maskn watahamishia familia zao ikulu kutapanya mali lowasa mirad yake tu kwa sku anaingza bilion 5..membe milion 5 sta milion 3.5 lowasa anaenda ikulu kutumikia watanzania wengne wote waganga njaa
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amesema hana fedha wala si tajiri bali ushawishi mkubwa alionao na wafuasi wengi wanaomuunga mkono katika shughuli za kimaendeleo ndivyo vinavyomngarisha.
Kauli hiyo aliitoa jana wakati wa uzinduzi wa Jumuiya ya Akiba, Mikopo na Maendeleo Dodoma (Jamimado) katika viwanja vya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.
Lowassa anayetajwa kuwa miongoni mwa wagombea urais mwaka 2015 kupitia CCM, ambaye amekuwa akiandamwa kwa kufanya siasa kwenye makanisa, alisema amekuwa akifanya kazi kubwa ya kuchangia masuala ya maendeleo katika vikundi mbalimbali kwa lengo la kuwakwamua katika umasikini.
Najua mmenipa heshima ya kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Jumuiya ya Jumimado kwa kuwa mnajua ninachokifanya kwingine. Sina fedha, lakini nina ushawishi mkubwa kwa watu na wengi wananiunga mkono, alisema.
Aliwataka wanajumuiya hiyo kujipanga ili wafanye harambee waweze kupata fedha zaidi ya sh milioni 500 na kwamba hilo linawezekana.
Nataka tukifanya harambee iwe babu kubwa ili kila mtu ajue tumefanya nini, na nilitamani tufanye harambee hiyo kabla ya mwisho wa mwaka huu. Unajua ukiwawezesha akina mama umeliwezesha taifa na utakuwa umeondoa umasikini, alisema.
Lowassa alisema ameamua kutoa sh milioni 10 kwa ajili ya maandalizi ya harambee itakayokuwa na tija pamoja na kuutunisha mfuko wa jumuiya hiyo.
Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Aksa Lemwayi katika risala yake alimmwagia sifa lukuki Lowassa kuwa wanamtambua ni baba wa kupinga umasikini katika maeno mbalimbali hapa nchini.
Tunatambua jinsi anavyosimamia na kutekeleza maamuzi yake katika shughuli za kimaendeleo, amekuwa ni kiongozi wa aina yake katika kutambua na kuthamini shughuli za maendeleo katika jamii, alisema.
Aliongeza kuwa Lowassa amekuwa ni kiongozi anayepigana kufa au kupona kuhakikisha jamii inaondoka kwenye lindi la umasikini.
Lemwayi alisema wanajisikia furaha na ufahari kumualika Lowassa kwenye uzinduzi wa jumuiya hiyo.
Alisema kuwa jumuiya hiyo kwa sasa inakabiliwa na changamoto za kukosekana kwa usafiri kwa wanachama wanaotoka maeneo mbalimbali nje ya mji.
Alibainisha kukosekana kwa usafiri kunafanya shughuli za jumuiya hiyo ikiwemo vikao vya mara kwa mara kushindwa kutofanyika au kufanyika kwa wakati usiostahili.
Lemwanyi aliziomba taasisi za kifedha zipanue mitandao katika kutoa mikopo yenye riba nafuu ili kuwawezesha Watanzania wengi kujikwamua katika dimbwi la umasikini ambao kwa sasa ni kilio kikubwa kwa wananchi wengi.
Damu ya Msafiri Mbwambo, Mbwana Masoud, Daudi Mwangosi, Yohana Mpinga (yule kiongozi wa UVCCM kule Ndago), na wengine wengi, zitakaa kichwani.
Damu za majeruhi wa matukio mbalimbali, zitamwandama. Machozi ya watoto yatima, machozi ya wajane...machozi ya wananchi wasiofurahishwa na mambo haya, zitakuwa kichwani...
Hakuna wa kumzuia lowasa kuwa rais wa tanzania iwe ndan ya ccm au nje me npo radh kutoa mali zangu zote kuhakiksha lowasa anakua rais akna membe na sta maskn watahamishia familia zao ikulu kutapanya mali lowasa mirad yake tu kwa sku anaingza bilion 5..membe milion 5 sta milion 3.5 lowasa anaenda ikulu kutumikia watanzania wengne wote waganga njaa
Sasa Mungi kwanini matusi? Si utoe hoja Kama amekushinda ulale.....hata sisi ni vijana na tunaweza matusi mengi lakini sio ustaarabu kabisa. Jifunze kuwa mstaaarabu kaka, wee ni mtu makini sanaSawa.... Mimi Mbugila...
Lakini wewe Mbugila, Mama yako Mbugila, Mwalimu wako Mbugila......... So We ni Mbugila mpaka tiGO yako imechezewa na Mambugila Savimbi.....