Aden Rage: Mwigulu Siyo msemaji Wa Lowassa

Aden Rage: Mwigulu Siyo msemaji Wa Lowassa

Chama kikikosa umoja na mshikamano na kila mtu akawa ni msemaji wa chama ujue siku za kukaa madarakani zinahesabika.Acha wajigawe vipandevipande na baadhi waanze kutoa matamko ya kuhama chama ili wapate nafasi ya kuueleza umma yaliyojificha moyoni mwao ili kutengeneza mazingira ya kukubalika wakati huo wanajikaanga kwa mafuta.
 
well said mkuu, huwezi daily unamsifia dume mwenzio kama ww c mzima ni k2 gan cha ziada? atakuwa anapigwa kabaang .
Pamoja mkuu!! Huyu Mzinzi dawa yake ni hiyo tu halafu tuone yule malaya wake alietoroka Cdm kumfuata huko Ccm atafanyeje!!

Kama Rage kaongea hivyo basi itakuwa Mwigulu ni mke wa EL ndio maana anamsemea Mume wake. Yetu macho.
 
akitoa komenti kuhusiana na kauli ya mwigulu kwamba rais, lazima awe lowasa na wala siyo membe wala sita. Bw. Rage kajibu mapigo akisema ni mke wa Lowassa tu ndiye angetamka maneno kama yale. hizo ni ndoto za mchana, Lowassa hawezi kuwa rais. alafu mwigulu akome kumtaja Membe kila kitaka kupitisha ujumbe wake kwa bosi wake
Mwigulu aliyasema wapi hayo? Na Mh Rage pia kasema hivyo lini na wapi?
 
akitoa komenti kuhusiana na kauli ya mwigulu kwamba rais, lazima awe lowasa na wala siyo membe wala sita. Bw. Rage kajibu mapigo akisema ni mke wa Lowassa tu ndiye angetamka maneno kama yale. hizo ni ndoto za mchana, Lowassa hawezi kuwa rais. alafu mwigulu akome kumtaja Membe kila kitaka kupitisha ujumbe wake kwa bosi wake

Yawezekana EL na Chemba ni Waliberali!! hatuwezi kujua!
 
Hizi siasa zitawapeleka wengi jehanamu. Hivi ni nani aliye safi katika wanasiasa ambaye kwa hakika anaweza kusimama na kuapa mbele ya kile anachokiamini kwamba yeye ni safi na anaweza kumhukumu mwenzake? Hivi haya makelele tunayoyasikia na vitimbi tunavyoviona sio mazingaombwe ya majukwaani tu? Ni kweli wanasiasa tunavyowaona na kuwasikia majukwaani ndivyo walivyo katika mioyo yao? Tuache unafiki kwa sababu kama kuna dhambi inayowamaliza wanadamu katika kizazi hiki ni UNAFIKI. Mambo mengi yanayofanywa na wanasiasakwa wakati huu ni strategic plans kwa ajili ya mwaka 2015. Ni lazima wananchi tujiulize sana kwamba, kwa nini wanasiasa wengi wanafanya mambo mengi kwa ajili ya jamii sasa na sio miaka iliyopita. Kadri tunavyokaribia mwaka 2015 ndio tunaona wanasiasa wengi wakijifanya wako karibu na jamii na mazingaombwe kadha wakadha. We must be curious and sensitive.
 
Sasa Mungi kwanini matusi? Si utoe hoja Kama amekushinda ulale.....hata sisi ni vijana na tunaweza matusi mengi lakini sio ustaarabu kabisa. Jifunze kuwa mstaaarabu kaka, wee ni mtu makini sana

Huo ushauri umempa yeye? hiyo ni sifa kwa taarifa yako, siyo tusi
 
Wewe ujiandae kujinyonga maana hakika huyo fisadi papa hawezi kuwa Rais wa nchi hii na uhakika utaupata 2014. Hayo mauaji anayoyapanga na Nchemba hayatamsaidia na kugawa fedha misikitini na makanisani pia hakutamsaidia. Acha utumwa wa ufuasi kwa mafisadi maana utaangamia nao.
Hakuna wa kumzuia lowasa kuwa rais wa tanzania iwe ndan ya ccm au nje me npo radh kutoa mali zangu zote kuhakiksha lowasa anakua rais akna membe na sta maskn watahamishia familia zao ikulu kutapanya mali lowasa mirad yake tu kwa sku anaingza bilion 5..membe milion 5 sta milion 3.5 lowasa anaenda ikulu kutumikia watanzania wengne wote waganga njaa
 
akitoa komenti kuhusiana na kauli ya mwigulu kwamba rais, lazima awe lowasa na wala siyo membe wala sita. Bw. Rage kajibu mapigo akisema ni mke wa Lowassa tu ndiye angetamka maneno kama yale. hizo ni ndoto za mchana, Lowassa hawezi kuwa rais. alafu mwigulu akome kumtaja Membe kila kitaka kupitisha ujumbe wake kwa bosi wake

Source please!!
 
kwa hiyo Mwigulu na El ndio wapo ktk huu ugaidi unaondelea nchini?mara nyingi majambazi wakishika nchi huwa funga wasio na hatia kwa kuwaita majina waliyostahili wao.Niliwahis huhudia mtaa wa kongo miaka ile mwizi akamwita mwizi mtu aliyeibiwa vitu.Na wahuni wa pale wakaanza mshambulia hadi kukaribia muua.

Mwigulu na wenzie wanafanya ugaidi halafu wanaita walewapingao mamabo yao kuwa magaidi.Sasa nadhani dots zinakwenda kwa EL...km alivyofanya Makuyuni.CDM lazima imuue kwa ugonjwa wa Moyo..Wakipiga moja tuu "...fisadiiii...." El ataua kila kitu kwa desperation.
 
akitoa komenti kuhusiana na kauli ya mwigulu kwamba rais, lazima awe lowasa na wala siyo membe wala sita. Bw. Rage kajibu mapigo akisema ni mke wa Lowassa tu ndiye angetamka maneno kama yale. hizo ni ndoto za mchana, Lowassa hawezi kuwa rais. alafu mwigulu akome kumtaja Membe kila kitaka kupitisha ujumbe wake kwa bosi wake
Mwigilu kaa chini katafakari kauli hii.
 
akitoa komenti kuhusiana na kauli ya mwigulu kwamba rais, lazima awe lowasa na wala siyo membe wala sita. Bw. Rage kajibu mapigo akisema ni mke wa Lowassa tu ndiye angetamka maneno kama yale. hizo ni ndoto za mchana, Lowassa hawezi kuwa rais. alafu mwigulu akome kumtaja Membe kila kitaka kupitisha ujumbe wake kwa bosi wake

Huyu jamaa ndie aliyefumaniwa na mke wa mtu kwenye kampeni? Ingekuwa Uarabuni angenyongwa.
 
Lameck hajielewi, damu za watu zitakuwa zimeshaanza kumuandamana the guy's confused taratibu na baadae wote na CCM kwa ujumla
 
Wakati wanararuana sisi tunajipanga,wakati wa kampeni watakua wanaponesha majeraha ya mgombea wao sisi tunamwaga sera mujarabu.
 
akitoa komenti kuhusiana na kauli ya mwigulu kwamba rais, lazima awe lowasa na wala siyo membe wala sita. Bw. Rage kajibu mapigo akisema ni mke wa lowassa tu ndiye angetamka maneno kama yale. Hizo ni ndoto za mchana, lowassa hawezi kuwa rais. Alafu mwigulu akome kumtaja membe kila kitaka kupitisha ujumbe wake kwa bosi wake

duh,hapo kuna tusi zito sana,ningekua mwigulu sikubali aisee
 
Back
Top Bottom