Aden Rage: Mwigulu Siyo msemaji Wa Lowassa

Aden Rage: Mwigulu Siyo msemaji Wa Lowassa

Kwhyo rage anamfananisha mwigulu na mke wa lowasa? Ha ha ha ha msomali katisha savimbi kumbe boya tu lol
 
Ungeweka source ingeongeza credibility ya habari, ametoa comment hiyo wapi? Nje ya hayo, magamba wakirumbana ni ishara ya ukombozi!

Hiki ni kipande kingine cha mpasuko.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
akitoa komenti kuhusiana na kauli ya mwigulu kwamba rais, lazima awe lowasa na wala siyo membe wala sita. Bw. Rage kajibu mapigo akisema ni mke wa Lowassa tu ndiye angetamka maneno kama yale. hizo ni ndoto za mchana, Lowassa hawezi kuwa rais. alafu mwigulu akome kumtaja Membe kila kitaka kupitisha ujumbe wake kwa bosi wake

Kumbe lowasa na mwigulunni walebelari-Majanga
 
Acheni wafu wazikane wao kwa wao...
 
Damu ya Msafiri Mbwambo, Mbwana Masoud, Daudi Mwangosi, Yohana Mpinga (yule kiongozi wa UVCCM kule Ndago), na wengine wengi, zitakaa kichwani.

Damu za majeruhi wa matukio mbalimbali, zitamwandama. Machozi ya watoto yatima, machozi ya wajane...machozi ya wananchi wasiofurahishwa na mambo haya, zitakuwa kichwani...

Hakika kabisa
 
Mkuu Makene, bila kusahau damu ya yule jamaa anayezurura naye Mussa Tesha.

Hapo kwenye red sijaelewa. "Damu ya jamaa anayezurura naye"; kwani anazurura na kivuli au msukule? Nadhani hili neno KUMWAGA DAMU linatumika ndivyo sivyo. Kumwaga damu maana yake ni kuuwa au kuuwawa (usually na binadamu au katika jukumu au harakati fulani kwa faida ya jamii pana) wala haina maana ya kutokwa na damu huku ukiendelea kuishi.

Kumwaga damu huku kunaweza pia kutokea bila damu yoyote kuonekana/kumwagika la msingi ni kifo kutokea. Kwa mfano, mtu aweza kuuwawa kwa kupigwa kabali, kunyongwa, kulishwa sumu, hewa ya sumu, n.k; huku nako ni kumwaga damu. Lakini, kutokwa na damu iwe kwa ajali, kupigwa, au kwa njia nyingine yoyote huko sio kumwaga damu as long as kifo hakikuwepo.

Nimeona niliweke hili vizuri kwa sababu kuna baadhi, hasa wanasiasa, kwa sababu zao utawasikia wakijitapa "wamemwaga damu" zao kwa maslahi ya vyama vyao, n.k. Hakuna aliyemwaga damu akawa jukwaani; mahali pao ni kaburini na sio vinginevyo.
 
CCM vipande-vipande rasmi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Pazuri hapo, Chinjachinja Vs mwanamabastola. Tuone nani atashinda. History yaonyesha Tanganyika 1, Somalia 0
 
Damu ya Msafiri Mbwambo, Mbwana Masoud, Daudi Mwangosi, Yohana Mpinga (yule kiongozi wa UVCCM kule Ndago), na wengine wengi, zitakaa kichwani.

Damu za majeruhi wa matukio mbalimbali, zitamwandama. Machozi ya watoto yatima, machozi ya wajane...machozi ya wananchi wasiofurahishwa na mambo haya, zitakuwa kichwani...

mateso waliopata kina kileo, lwakatale. Gerezani yatamrudia
 
Tuliitwa wasaliti sasa wasaliti original wanajithihirisha.piga miruziiiiii,Jk watu wako hao.
 
akitoa komenti kuhusiana na kauli ya mwigulu kwamba rais, lazima awe lowasa na wala siyo membe wala sita. Bw. Rage kajibu mapigo akisema ni mke wa Lowassa tu ndiye angetamka maneno kama yale. hizo ni ndoto za mchana, Lowassa hawezi kuwa rais. alafu mwigulu akome kumtaja Membe kila kitaka kupitisha ujumbe wake kwa bosi wake

kumbe ni kweli mwigulu alitoa hiyo kauli. Huyu jamaa ccm wamekosa mtu mwingine anayeweza kushika nafasi yake?
 
Rage mzee wa kutukana/mzee wa bastola fsad alyekula pesa za FAT/TFF Rage mwiz na mlamba viatu vya Samwel Sita na Membe anaongea nini mwz tu Rage hana cha kuongea..

..........khaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!! nani ambaye sio mwizi ndani ya CCM? Safari hii hamtatoka salama, dhambi ya wizi na uuwaji wenu ishaanza kuwatafuna taratiiiiibu. Hiyo ni trela tu inaanza, mtatajana hadi mlipopeleka na aliyebeba Twiga wetu
 
mke wa Lowassa tu ndiye angetamka maneno kama yale. Hii kali kumbe huyu jamaa wa iramba singida mwiguli anafaa pia kuwa mke wa Lowasa

Jk toa mwigulu kama huwezi na uwenyekiti huuwezi.
 
Rais = lowasa
Wazr mkuu = mwigulu

Things fall apart
Is it possible
No longer At...................
 
Damu ya Msafiri Mbwambo, Mbwana Masoud, Daudi Mwangosi, Yohana Mpinga (yule kiongozi wa UVCCM kule Ndago), na wengine wengi, zitakaa kichwani.

Damu za majeruhi wa matukio mbalimbali, zitamwandama. Machozi ya watoto yatima, machozi ya wajane...machozi ya wananchi wasiofurahishwa na mambo haya, zitakuwa kichwani...

Cd ya bomu la Arusha lini?
 
Back
Top Bottom