cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Wanunulieni wanawake zenu vipodozi vya bei ghali wapendezeshe ngozi zao, acheni kuwasimanga




Wanunulieni wanawake zenu vipodozi vya bei ghali wapendezeshe ngozi zao, acheni kuwasimanga




Wadada na wamama & baadhi ya wanaume wa kibongo acheni kujichubua mnakuwa mnatisha sana na hamvutii, unakuta mtu kajichubua Hadi mishipa ya kijani inajitokeza mwilini
Najua Kila mtu ana uhuru wa kufanya jambo analopenda lakini kama tunapinga rushwa,ujambazi ,ushoga basi na kujichubua inabidi ikemewe haraka
Kuna tukio Moja mdada alipendwa na jamaa mmoja kutoka Sweden yule mdada miezi sita waliyoachana na jamaa alitumia kujichubua jamaa anarudi miezi 9 mbeleni anakuta mwanamke kajichubua & alimuacha hapo hapo na matusi juu .
Wee usiwadanganye wenzio, LolInabidi wanawake weusi waelimishwe kua wao ni wazuri, wanavutia na ni watamu sanaa.
Hahaa 😁😁 kiingiacho mjini kharamu dada.Wewe hutumii turmeric wooooolsheeeeer?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣🤣Imemchukua ndugu dronedrake dakika 20 taslimu kusoma kichwa cha habari na kuelewa ni "Kujichubua" na sio "Kujichua".. 😀
kabisa kuna kiharufu fulani cha kiwaki kinomaunakuta binti kawa karatasi unaona michirizi ya kijani
wacha nikumege siri wanawake wanaojichubua wanakua na harufu kama ya chuma kilichopata moto
Ila ni product nzuri hata scrub yake ni 🔥🔥Hahaa 😁😁 kiingiacho mjini kharamu dada.
Wanunulieni wanawake zenu vipodozi vya bei ghali wapendezeshe ngozi zao, acheni kuwasimanga
na ni 60,000Sasa wale weusi tii ndio watamu kuliko asali!Trust me hawaskusikii ongezs ssuti
Na tatizo jingine kuna watu weusi mpaka gizani huwaoni labda skenue meno nje na ndio sababu ya wao kujichubua
imagine imagine watu tuna kula ant aging ngozi inatreatiwa ah weeee afu tukiglow wanasema tunajichubua hahahahNa ushangazi wetu kujichubua vipi?watu tuna ma sunscreen,ant-oxdant,vitamin C,Kwa Nini tusiglow mashangazi?
😁😁 niliona vijana wa mitandaoni wanalalamika oil imewatenda, ila ukimsoma unaona kabisa kachukua body oil kapelekea usoni’ kisa imeandikwa face & body?Ila ni product nzuri hata scrub yake ni 🔥🔥
Noma😁kwahy vipodoz ghari havina madhara? Bas kuanzha leo betasol ya buku nitauza laki na 50 ili isiwe na madhara, au mnasemaje wadada
Kabisa mkuuLishe
Hapa kwenye lishe ndo kila kitu.
Siku hizi wako wanaume wengi sana wanajichubuanilivokuwa chuo nishaona wakaka wawili kwa nyakati tofauti wanatumia mafuta yanayochubua
Wa kongo labda😄Siku hizi wako wanaume wengi sana wanajichubua