ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 53,203
- 122,098
Sio lazima kwa mafuta na vipodozi vya gharama sana. Ingekuwa hivyo kwa status ya watanzania wengi hata wasingependeza.Ngozi lazima itunzwe, kama mwanaume ni wajibu wako kwa mwanamke wako,
NB: sizungumzii kujichubua bali kutunza ngozi iwe na muonekano mzuri
Wanawake wakubali kuishi kwenye levels za waume zao. Kama mume uwezo wake ni nivea basi kubali kuishi kwa namna hiyo.