Acheni kujichubua

Los santos

JF-Expert Member
Jan 14, 2021
964
2,041
Wadada na wamama & baadhi ya wanaume wa kibongo acheni kujichubua mnakuwa mnatisha sana na hamvutii, unakuta mtu kajichubua Hadi mishipa ya kijani inajitokeza mwilini.

Najua Kila mtu ana uhuru wa kufanya jambo analopenda lakini kama tunapinga rushwa,ujambazi ,ushoga basi na kujichubua inabidi ikemewe haraka.

Kuna tukio Moja mdada alipendwa na jamaa mmoja kutoka Sweden yule mdada miezi sita waliyoachana na jamaa alitumia kujichubua jamaa anarudi miezi 9 mbeleni anakuta mwanamke kajichubua & alimuacha hapo hapo na matusi juu.
 
Sio kujichubua siki hiz wanaita kujing'arisha Acha ushamba na wewe
1704699696030.jpg
 
Mademu wa morogoro wanaojiuza dar wao wakifika kwanza kazi ni kujichubua, kuchora tattoo, kuvuta bangi na sigara na shisha, ugoro, unga na umalaya uliozidi. Mwenge, manzese, sinza na mwananyamala mademu wafupi kutoka moro wamejazana kwenye gesti uchwara wanauza ten shaw time.
Na kujiuza imekuwa tatizo sugu la watu kutoka mikoa yte Tanzania hapo bado wale wanaotoka ule ukanda wa katerero

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom