Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,933
mie natumia hayo kwa dp yako..mazuri haychubui
mie natumia hayo kwa dp yako..mazuri haychubui
nimeshangaa humu kila mtu karuka futi 10🤣🤣🙌Sio wakongo hata wabongo wengi tu wanaume wanajichubua siku hizi. Watu wanapenda weupe behind the scene ila in public wanauponda
Waonewe huruma, mkorogo ni kama madawa ya kulevya, kuingia rahisi kutoka ni mtitiKwani wanaelewaga sasa
Sh ngapi hayo?mie natumia hayo kwa dp yako..mazuri haychubui
weka pichaWadada na wamama & baadhi ya wanaume wa kibongo acheni kujichubua mnakuwa mnatisha sana na hamvutii, unakuta mtu kajichubua Hadi mishipa ya kijani inajitokeza mwilini
Najua Kila mtu ana uhuru wa kufanya jambo analopenda lakini kama tunapinga rushwa,ujambazi ,ushoga basi na kujichubua inabidi ikemewe haraka
Kuna tukio Moja mdada alipendwa na jamaa mmoja kutoka Sweden yule mdada miezi sita waliyoachana na jamaa alitumia kujichubua jamaa anarudi miezi 9 mbeleni anakuta mwanamke kajichubua & alimuacha hapo hapo na matusi juu .
Wengine tushakimbia mrembo wakati wa chuma mboga!Hapa mnaponda mikorogo, halafu mki log out mnawapigia simu wauza mikorogo wawaletee..!!! Mnaojichubua mchubue na matraako jamni, mdada sura imeshine kibinda nyuma cheusi tii km tumbili wale wanaoomba chakula mlima Kitonga
Watu wanang'aa Kwa mafuta ya Nazi ya 2,000 ndio iwe 20,000Hii nayo point... Utakuta mtu anataka ang'ae Kwa 20k unadhani ataacha kubabuka![]()
me nazungumzia wanaojichubua mkuu, mwenyewe mbona niko na vaseline yangu for men sina mambo mengi 😃😃😃... Hao wanaotaka kubadili rangi na wanapaka vya bei rahisi lazima wewe na rangi mbili mbiliWatu wanang'aa Kwa mafuta ya Nazi ya 2,000 ndio iwe 20,000
Kwanini akose wateja?![]()
Baadhi ya wanaume hulala na kila kitu, kama mtu analala na shoga sembuse KE aliyejichuna kama Amber Ruti?

Uko sahihi kbsa ,ni kama uraibuWaonewe huruma, mkorogo ni kama madawa ya kulevya, kuingia rahisi kutoka ni mtiti
Kuna siku nimeenda dukani nikamwambia mwenye duka nataka lotion ya kunifanya niglow....Mimi ni maji ya kunde...hapo Kuna lotion inatangazwa na dada wa mjini nimetumia naona inanitoa sugu
Basi nikapewa face cream, napaka kweli nikaanza kung'aa.....miezi 6 naona naanza kuwa mwekundu usoni, mara mishipa ya damu inaonekanailibidi niache, Ile nimeacha nikawa mweusiii kama nimepigwa bomu.....Kwa kuwa nilikuwa likizo nikakomaa sitoki nje, mwendo wa scrub na mafuta ya Nazi.....sasa ngozi imerudi normal
Sio kazi rahisi kuacha hizo cream, ni uraibu.
Wengine tushakimbia mrembo wakati wa chuma mboga!
Kule mkorogo haufiki! Maana kote kweupe ila pale panapotenganisha makalio peusi kama MKAA!
Panatisha!


daa aiseeSahihi kbsaWadada wengi wanajichibua ni kwasababau hawajiamini. Kwanini usiiringie rangi yako ulopewa na Mungu tangu kuzaliwa. Halafu nani aliwaambia weupe ndo uzuri.Mwisho wa siku kama ni kupendwa kila mmoja anataste yake hapa duniani. Kuna wanaopenda wanawake weusi na kuna wanaopenda wanawake weupe. Kaa na rangi yako jipende ulivo.
Wanadhani Kila kitu Cha gharama ndo kina uzuri au ubora ,wakati mafuta ya Nazi tu ni mazuriWatu wanang'aa Kwa mafuta ya Nazi ya 2,000 ndio iwe 20,000
Wadada na wamama & baadhi ya wanaume wa kibongo acheni kujichubua mnakuwa mnatisha sana na hamvutii, unakuta mtu kajichubua Hadi mishipa ya kijani inajitokeza mwilini
Najua Kila mtu ana uhuru wa kufanya jambo analopenda lakini kama tunapinga rushwa,ujambazi ,ushoga basi na kujichubua inabidi ikemewe haraka
Kuna tukio Moja mdada alipendwa na jamaa mmoja kutoka Sweden yule mdada miezi sita waliyoachana na jamaa alitumia kujichubua jamaa anarudi miezi 9 mbeleni anakuta mwanamke kajichubua & alimuacha hapo hapo na matusi juu .
So sad1. Wanaume mnawasingizia. Wanajidanganyaga kuwa,wakijichubua ndo watakuwa wazuli na kupendwa. Kumbe siku hizi hata kuwatumia tu,hawana ushawishi. Waache wajichubue watajuta. Ila kiukweli hata kukaa nae hapana,hata kudate ti hapana,achilia mbali kuvuta kitu.
2. Kumbe?! Mi nkajua labda udi wamechoma,au marashi fulani wananyunyizia ndani.
Miaka ya nyuma wakati hili sekeseke ndo linaanza,kuna mama mmoja alikua anatokea kwenye familia yenye uwezo. Miaka kama 30 iliyopita. Kachumbiwa, fresh tu. Kipindi hicho inasemekana walitumia machine kuchubuliwa. Sijui ni kweli au la. Dadeki. Kifaa kiligeuka kifaa. Kama mzungu. Enzi hizo hata hii miwani ya machinga ilikuwa dili,mama wa watu akawa anavaa. Badae,mambo yakaenda ndivyo si vyo,na kilomita zinasoma. Sasa hivi ukimuangalia, hadi kinyaa. Kazaa mitoto ya kike, sasa inadai inaona aibu kukaa nae.