ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,256
Siku hizi naona mabinti wameelimika % kubwa hawajichubuiShida sio elimu, shida ni jamii inayomzunguka na kukataa kuitwa mshamba na jamii hiyo
Shida ni mama/bibi zetu.
Siku hizi naona mabinti wameelimika % kubwa hawajichubuiShida sio elimu, shida ni jamii inayomzunguka na kukataa kuitwa mshamba na jamii hiyo
Asilimia kubwa,wanaojichubua hawajui hili wala lile. Ni wale wapo wapo tu,wa kudanga au kukaa kwa shemeji. Wengine wenye mishe zao,ni wa kuvutwa na kuhongwa. Ila pia wao ukiwaangalia,unaona kabisa dishi halipo sawaShida sio elimu, shida ni jamii inayomzunguka na kukataa kuitwa mshamba na jamii hiyo
Ndo maana unaambiwa wana vichwa viwili. Cha juu kinajikaza kwa mda,chenzie kinaburudika. Ila baada ya hapo,hata akipiga simu,anapigwa lock.Ila wanaume mnavumilia vingi sana.
Poleni...
Tengua kauli hiyo tafadhali. Uliwahi ona mwanaume amejichubua?Usisahau wanaume
Mambo ni ku glow tu😂😂.
Alaa kumbeunakuta binti kawa karatasi unaona michirizi ya kijani
wacha nikumege siri wanawake wanaojichubua wanakua na harufu kama ya chuma kilichopata moto
ndio hivyo maalimAlaa kumbe
Kumbe nawewe unaendaga hukoMademu wa morogoro wanaojiuza dar wao wakifika kwanza kazi ni kujichubua, kuchora tattoo, kuvuta bangi na sigara na shisha, ugoro, unga na umalaya uliozidi. Mwenge, manzese, sinza na mwananyamala mademu wafupi kutoka moro wamejazana kwenye gesti uchwara wanauza ten shaw time.

Hawajui tu ngozi kukaa vizuri ni lishe bora , maji ya kutosha na mazoezi inatosha,kidogo na mafuta ya kujikinga na baridi kali na mionzi mikali ya jua kwisha.


hizi nyumba zinamengi bro angu, unakuta jike bishi na jeuri kichizi mwamba anaamua aliachanize tu lifanye linavyotaka lenyeweNa unakuta mwingine ana mume wake kabisa, huwa najiuliza huyo mume yupo hapo kama pambo au niaje?
kwahy vipodoz ghari havina madhara? Bas kuanzha leo betasol ya buku nitauza laki na 50 ili isiwe na madhara, au mnasemaje wadadaIla siku hiz lile wimbi la wadada kujichubua mtu anabaki kama ndizi choma limepungua , siku hizi wanapaka mikorogo ya ghali kidgo , labda uswazi sna wale wa Dira kuchomekewa kwa vyupi.
Eeeh kuishi na mtu mbishi anajiona anajua kila kitu ni shida sana.hizi nyumba zinamengi bro angu, unakuta jike bishi na jeuri kichizi mwamba anaamua aliachanize tu lifanye linavyotaka lenyewe
ndio hvyo manEeeh kuishi na mtu mbishi anajiona anajua kila kitu ni shida sana.
Mjitahidi kuwanyoosha, kuwaelewesha na kuwaaminisha kuwa walivyoumbwa ni wazuri sana.ndio hvyo man
Na ushangazi wetu kujichubua vipi?watu tuna ma sunscreen,ant-oxdant,vitamin C,Kwa Nini tusiglow mashangazi?
Wewe hutumii turmeric wooooolsheeeeer?😂😂😂 mambo ya tumeric oil orijino. Mahii unapaka nini?
Hivi ufupi umekuwa tatizo eeh?Mademu wa morogoro wanaojiuza dar wao wakifika kwanza kazi ni kujichubua, kuchora tattoo, kuvuta bangi na sigara na shisha, ugoro, unga na umalaya uliozidi. Mwenge, manzese, sinza na mwananyamala mademu wafupi kutoka moro wamejazana kwenye gesti uchwara wanauza ten shaw time.