Acheni kujichubua

Acheni kujichubua

Mimi sijichubui ila mishipa ya kijani inaonekana
Iyo mishipa Kwa mtu ambaye havichubui Haina shida kbsa kwani ngozi yenyewe tu inakuwa inavutia, ila wanaojichubua ngozi tu inakuwa haivutii + harufu na kero nyinginezo ,kwaiyo Kwa case kama yako hatuna shida kbsa na wew
 
Sio wakongo hata wabongo wengi tu wanaume wanajichubua siku hizi. Watu wanapenda weupe behind the scene ila in public wanauponda
🤣🤣🤣 hiyo issue ya kuupondea weupe imekaa kinafki sana .
 
Wadada na wamama & baadhi ya wanaume wa kibongo acheni kujichubua mnakuwa mnatisha sana na hamvutii, unakuta mtu kajichubua Hadi mishipa ya kijani inajitokeza mwilini

Najua Kila mtu ana uhuru wa kufanya jambo analopenda lakini kama tunapinga rushwa,ujambazi ,ushoga basi na kujichubua inabidi ikemewe haraka

Kuna tukio Moja mdada alipendwa na jamaa mmoja kutoka Sweden yule mdada miezi sita waliyoachana na jamaa alitumia kujichubua jamaa anarudi miezi 9 mbeleni anakuta mwanamke kajichubua & alimuacha hapo hapo na matusi juu .
Waambie mburukenge hao.
 
Hapa mnaponda mikorogo, halafu mki log out mnawapigia simu wauza mikorogo wawaletee..!!! Mnaojichubua mchubue na matraako jamni, mdada sura imeshine kibinda nyuma cheusi tii km tumbili wale wanaoomba chakula mlima Kitonga
 
Hapa mnaponda mikorogo, halafu mki log out mnawapigia simu wauza mikorogo wawaletee..!!! Mnaojichubua mchubue na matraako jamni, mdada sura imeshine kibinda nyuma cheusi tii km tumbili wale wanaoomba chakula mlima Kitonga
 
Lakini, ukiwaangalia waliojichubua,hasa wale wasio na uwezo wa kuendelea na mkologo, au wale waliozeeka, unaonaga ni sawa?! Japo ni maamzi ya mtu.
Niliwahi waona Mwanza wanaojiuza, dahhh! Unajiuliza,huyu kweli nae anapataga wateja!
Kwanini akose wateja? 😃

Baadhi ya wanaume hulala na kila kitu, kama mtu analala na shoga sembuse KE aliyejichuna kama Amber Ruti?
 
Kwanini akose wateja? 😃

Baadhi ya wanaume hulala na kila kitu, kama mtu analala na shoga sembuse KE aliyejichuna kama Amber Ruti?
Mashoga nijuavyo,kwa wanawake ni kuzamisha tuuuu,kwa sababu akiweka kinapenya,lakini si hobby yao. Af pia,mashoga siyo wanaume. Ni watoto wenye uume tu.
Na hawa wanawake,hujichubua kunasa wanaume wanaojielewa. Sasa ndo wakiwaangalia, wanapokuwa na ugwadu huzamisha tu lakini hawaahidi mengi zikiwemo ndoa kama kwa mwenye ngozi yao natural. Labda wanachofaidi kwa wanaume, hawalaghaiwi kivile. We uangalie miguu yao. Anaweza akawa kasura kanalipa,lakini huwezi kupata nguvu ya kumtambulisha kwa watu. Na wao ndo wanachokitaka sasa. Na wao ndo unakuta wametumika sana. Maana wanahangaika wampate wa kutulia nae,na hawampati. Labda kwa dawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom