Acheni kujichubua

Acheni kujichubua

1. Wanaume mnawasingizia. Wanajidanganyaga kuwa,wakijichubua ndo watakuwa wazuli na kupendwa. Kumbe siku hizi hata kuwatumia tu,hawana ushawishi. Waache wajichubue watajuta. Ila kiukweli hata kukaa nae hapana,hata kudate ti hapana,achilia mbali kuvuta kitu.

2. Kumbe?! Mi nkajua labda udi wamechoma,au marashi fulani wananyunyizia ndani.

Miaka ya nyuma wakati hili sekeseke ndo linaanza,kuna mama mmoja alikua anatokea kwenye familia yenye uwezo. Miaka kama 30 iliyopita. Kachumbiwa, fresh tu. Kipindi hicho inasemekana walitumia machine kuchubuliwa. Sijui ni kweli au la. Dadeki. Kifaa kiligeuka kifaa. Kama mzungu. Enzi hizo hata hii miwani ya machinga ilikuwa dili,mama wa watu akawa anavaa. Badae,mambo yakaenda ndivyo si vyo,na kilomita zinasoma. Sasa hivi ukimuangalia, hadi kinyaa. Kazaa mitoto ya kike, sasa inadai inaona aibu kukaa nae.
Daa aisee ,hatari sana Hadi watoto wanaogopa kukaa na mzazi wao wa kike

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Huyo hata kumlala sitaweza, yaani ngozi tofauti kila mahali, harufu za ajabu aagr⁸!
Screenshot_20240125_231240_Chrome.jpg
 
Daa aisee ,hatari sana Hadi watoto wanaogopa kukaa na mzazi wao wa kike

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Huyu mama,ni nesi. Kipindi hicho,nadhani ndo wa kwanza kuibua hilo zoezi. Sema yeye ilimkubali hakuwa na hata dot nyeusi. Alibadilika akawa mweupe kinoma. Kila mtu awe mgonjwa au muuguzi,alitamani hata kumgusa,hasa kwa waliomfahamu kabla. Bahati nzuri,hakuwa na roho mbaya,akiona unamuangalia sana umepigwa butwaa,atakuita msalimiane kwa mkono. Si unajua mambo ya vijijini,alitamba kwa uwezo na ujanja.
Huu muili,uacheni tu. Nadhani mwenyewe atakuwa anajutia alichokifanya.
 
hizi nyumba zinamengi bro angu, unakuta jike bishi na jeuri kichizi mwamba anaamua aliachanize tu lifanye linavyotaka lenyewe
Huyo nae hamna mme hapo. Mengine mazamiaji tu.
Jirani kuna lijama, limemdandia mtu,mama ana watoto 3, hamna hata mmoja wa shikaji. Nyumba ni ya urithi. Mama mkologo umemkataa,kweupe ni mzungu. Kweusi ni kama wa Sudani kusini au mjal...... wa Kisumu.
Sasa mfano kama huyo,asiponyamaza ataenda wapi? Af nae atasema mke wangu!!!
 
Huyu mama,ni nesi. Kipindi hicho,nadhani ndo wa kwanza kuibua hilo zoezi. Sema yeye ilimkubali hakuwa na hata dot nyeusi. Alibadilika akawa mweupe kinoma. Kila mtu awe mgonjwa au muuguzi,alitamani hata kumgusa,hasa kwa waliomfahamu kabla. Bahati nzuri,hakuwa na roho mbaya,akiona unamuangalia sana umepigwa butwaa,atakuita msalimiane kwa mkono. Si unajua mambo ya vijijini,alitamba kwa uwezo na ujanja.
Huu muili,uacheni tu. Nadhani mwenyewe atakuwa anajutia alichokifanya.
Hapo amalizie tu uzee wake Kwa majuto

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Huyo nae hamna mme hapo. Mengine mazamiaji tu.
Jirani kuna lijama, limemdandia mtu,mama ana watoto 3, hamna hata mmoja wa kwake. Nyuma ni ya urithi. Mama mkologo umemkataa,kweupe ni mzungu. Kweusi ni kama wa Sudani kusini au mjal...... wa Kisumu.
Sasa mfano kama huyo,asiponyamaza ataenda wapi?
Daa

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom