mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,267
- 75,364
sasa unakuta mdada ana chunusi kama fenesi halafu anataka ku-'glow' kupata sijui 'glass skin'Sio kujichubua siki hiz wanaita kujing'arisha Acha ushamba na wewe[emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 2882483
bora nimezaliwa me aisee