Acheni kujichubua

Acheni kujichubua

Wadada na wamama & baadhi ya wanaume wa kibongo acheni kujichubua mnakuwa mnatisha sana na hamvutii, unakuta mtu kajichubua Hadi mishipa ya kijani inajitokeza mwilini

Najua Kila mtu ana uhuru wa kufanya jambo analopenda lakini kama tunapinga rushwa,ujambazi ,ushoga basi na kujichubua inabidi ikemewe haraka

Kuna tukio Moja mdada alipendwa na jamaa mmoja kutoka Sweden yule mdada miezi sita waliyoachana na jamaa alitumia kujichubua jamaa anarudi miezi 9 mbeleni anakuta mwanamke kajichubua & alimuacha hapo hapo na matusi juu .

Usisahau wanaume
 
Hivi kuna kua na hamu kweli na mtu aliyejichubua?
Hakunaga hamu aisee yangu ilinywea ndani huko naye Alishahisi kbsa nimechukizwa na kujichubua kwake ,manake ngozi ilikuwa imesinyaa na mishipa ya kijani + kiharufu na jua hili la DSM ,kwakweli kilichonifanya nimle ni ugumu wa kukaa miezi 6 porini nikiwa jeshini so ule ugumu ndo nikamvamia lakini bado nikachemka

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hawako sawa.
Ila kiukweli kutoka moyoni, mkorogo si mzuri, kabisa.
Shida inakuja, unamfuma mwanaume wako anadate na mwanamke aliyejichubua, nawe unadhani huenda weusi wako ndio kikwazo cha mwanaume wako kwenda kutafuta mwanamke nje, nawe unaanza kujikoroga...kumbe unajiharibu

Wanaume ndio wanasababisha baadhi ya wanawake waendelee kujichubua.
Mimi binafsi, nina rafiki zangu wengi tu wamejichubua tena ile ki kweli kweli, huwezi amini:-

1. Wanatoa harufu, si kwenye ngozi zao tu, mpaka sehemu za siri, kwa sababu cream zina kila aina ya kemikali, incase katembea mwendo mrefu, au kakaa sehemu yenye joto lile jasho la ndani ya mapaja likikutana na mkorogo tu, harufu tayari huku kwenye mbususu.

2. Chunguza vyumba/maghetto mengi wanayoishi wanawake wale waliopitilza mkorogo, kuna kaharufu fulani huwa haka kapo automatically, huwa hakaishi vyumbani mwao huwa sijajua kwanini.
Hii naionaga kwa hao rafiki zangu.

3. Wakienda kujisaidia aidha haja ndogo au kubwa, wakishachamba ni lazima wajikaushe, wakijiacha na vimajimaji hata kidogo tu, lazima atoe harufu maana cream wanapaka mpaka huko kwa bibi, na hasa umkute ana makalio makubwa...utajuta.

Ila ndo hivo, wanakwambia Natural iachie misitu.
Weupe ndo kila kitu....
Nusu nitapike aises

Ila ndo hivo, wanakwambia Natural iachie misitu.🌲🌳🌴🌳🌲
Weupe ndo kila kitu....
1. Wanaume mnawasingizia. Wanajidanganyaga kuwa,wakijichubua ndo watakuwa wazuli na kupendwa. Kumbe siku hizi hata kuwatumia tu,hawana ushawishi. Waache wajichubue watajuta. Ila kiukweli hata kukaa nae hapana,hata kudate ti hapana,achilia mbali kuvuta kitu.

2. Kumbe?! Mi nkajua labda udi wamechoma,au marashi fulani wananyunyizia ndani.

Miaka ya nyuma wakati hili sekeseke ndo linaanza,kuna mama mmoja alikua anatokea kwenye familia yenye uwezo. Miaka kama 30 iliyopita. Kachumbiwa, fresh tu. Kipindi hicho inasemekana walitumia machine kuchubuliwa. Sijui ni kweli au la. Dadeki. Kifaa kiligeuka kifaa. Kama mzungu. Enzi hizo hata hii miwani ya machinga ilikuwa dili,mama wa watu akawa anavaa. Badae,mambo yakaenda ndivyo si vyo,na kilomita zinasoma. Sasa hivi ukimuangalia, hadi kinyaa. Kazaa mitoto ya kike, sasa inadai inaona aibu kukaa nae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom