ACACIA ni wezi, tukiungana hawana uwezo

ACACIA ni wezi, tukiungana hawana uwezo

Nimeitoa humu JF. Itafakari bila u-Lumumba kwa kina. Kuna ukweli? Be calm please when reading this. CHADEMA
Kwanza hili, we will tackle that once we cross that bridge, ila hili muhimu kwanza, kuwajulisha mnatuibia, kama kukaa kuyaongea poa tu, ila nami najiuliza maswali, eti kuna watu walitaka kuingilia mchakato, pia hela zimehongwa na kuna clip imerekodiwa, sasa kama hawa ACACIA wako honest innocent na mikataba inawalinda, WHY did they have to do those things?! MAJIBU PLEASE
 
Una ushahidi wamefanya hivyo? Technolojia ya leo mtu anweza akaghushi chochote, kama adobe Photoshop for example! Siwatetei, hapana ila tuwe makini katika hili. Ya samaki mnayakumbuka????
 
Una ushahidi wamefanya hivyo? Technolojia ya leo mtu anweza akaghushi chochote, kama adobe Photoshop for example! Siwatetei, hapana ila tuwe makini katika hili. Ya samaki mnayakumbuka????
Ngoja tuione hiyo clip, sidhani kama kuna mambo ya adobe wala photoshop, only the truth will set us free, hayo ya samaki yanajulikana, tena kukomoana, na wewe wajuwa ukweli, hili nalo watataka kuja kumkomoa, twasubiri waumbuke...
 
Tujiandae na za kuwalipa.
Huyu mtu hana uchungu kama wanavyo msifia au anavyo jinasibisha, aliuza nyumba za serikali bei ya kutupa, akakamata samaki za watu tukawalipa kwa fedha zetu, na hili sijui kama hatutawalipa mapaka kizazi cha 4...muda ndio mambo yote hakuna mzungu asiejali mkataba, na sie tulivyo watu wa yaheyahe hatujali mikataba kabisa ndio maana inafika mahali unawapelekea wasome warekenishe watakavyo mradi tu wa sign waje wafanye kazi..
 
GTs,
Nawashauri tusiwe waoga ktk kulinda rasimali zetu. Tulitishwa hata kipindi kile eti wauza madawa wana nguvu, ila mpaka sasa kila mmoja anajua kinachoendelea. Sasa hata kwa hawa mafia wezi wa ACACIA na kundi lao, hawana nguvu kabisa, maana ni wezi na wao wanajitambua, ingawa wanajikosha bado ni wezi.

Kwa tulioishi ulaya pamoja na wazungu tunajua jinsi walivyo wanafiki na wachoyo. Na kibaya zaidi wamekuwa wakituibia kupitia misaada, rasilimali zetu n.k., sasa ktk hili wataalamu wetu wamesema ukweli, na litasimama hivyo hivyo.

Tusimame tuungane, maana mafia hawa huwa na tabisa ya kuanzisha/kufadhili vikundi vya wapiganaji ili kuleta machafuko, ila najua kwa Tz hawawezi kwa sababu Taifa hili Mungu analipenda na Usalama wa taifa wetu wapo fiti ile mbaya.

Niwasihi tu wale wanafiki wanaopewa hela na mafia wasidhani kuwa wapo salama, utaifa kwanza utanzania kwanza!
ANGALIZO:-
Muungano wa aina hii tumewahi kuufanya enzi za zama za Chai na mkonge.
Jamaa walibadili matumizi badala ya mkonge wakahamishia kwenye NYLON,
Na mashamba ya chai wakayahujumu kwa ustadi mkubwa.
 
Nimeitoa humu JF. Itafakari bila u-Lumumba kwa kina. Kuna ukweli? Be calm please when reading this.
Hotuba ya jana ya Rais Magufuli ni ushahidi mwingine, kama bado kuna shaka, ya rule of state lawlessness ambayo mtukufu anatuingiza kama taifa. Natumia marufuku yake ya kusafirisha mchanga wenye madini nje ya nchi kama mfano.

Zaidi ya dhahabu, mgodi wa Bulyanhulu unazalisha pia madini ya fedha (silver), cobalt, copper na cadmium (ya mwisho kama sikosei!). Bulyanhulu ni mgodi pekee nchini wenye madini yote hayo na mchanga unaosafirishwa nje unatoka Bulyanhulu. Madini yote hayo, kwa mujibu wa Sheria ya Madini na Mikataba ya Uendelezaji Madini (MDAs) waliyopewa na Rais Ben Mkapa na kurudiwa na Jakaya Kikwete, ni mali ya wawekezaji.

Mgodi wa Bulyanhulu unafanya smelting ya dhahabu tu (takriban 70% ya processing yote). 30% iliyobaki inafanyikia Japan ambayo ina hiyo capacity ya smelting ya hayo madini mengine.

Ndio maana mchanga huo umekuwa unasafirishwa kwenda Japan tangu 2001. Sasa a smart president angewaelekeza wawekezaji wajenge kwanza hiyo capacity ya smelting ndani ya nchi kabla ya kupiga marufuku export ya mchanga. Kwa kuzingatia kwamba wawekezaji hawa wanalindwa kisheria na kimkataba, a smart president would've renegotiated the MDAs or changed the relevant law ili kufanya processing yote ifanyike internally.

Badala ya a smart president, tuna JPM anayeamini kwamba ametumwa na Mungu kuinyoosha nchi hii na neno lake ndio sheria. Matokeo yake, atagombana na wawekezaji na serikali zao na mabwana wakubwa wa kifedha duniani ambao ndio wamiliki halisi wa rasilmali zetu.

Watampeleka kwenye arbitral tribunals za kimataifa ambazo Mkapa na Kikwete walizikubali kuwa ndio mahakama za migogoro kati yetu na hao tuliowapa rasilmali zetu. Na tukipelekwa huko hatuponi kwa sababu tutakuwa tumevunja mikataba na sheria zinazolinda wawekezaji. More importantly, hatapata hicho anachokifikiria, i.e. internal capacity ya mineral processing yote kwa sababu we simply don't have that capacity currently.

Na, kwa taarifa ya wale wasiojua mambo haya, huo mchanga unaosafirishwa nje sio magwangala. Magwangala ni rock waste yanayotupwa pembeni ya migodi baada ya dhahabu kutolewa. Yana madini kiasi kidogo sana ambayo sio commercially viable kwa wawekezaji kuyavuna. Hayo ndio madini Magufuli 'aliyowagawia' wananchi jana. Ni makapi yanayoachwa nyuma baada ya karamu ya wawekezaji. Hiyo, kwa busara za John Pombe Magufuli, ndio stahili ya waTanzania waliomchagua.

Evo Morales wa Bolivia alikuwa na mikataba kama ya kwetu alipochaguliwa in December ya 2006. Cha kwanza alichofanya ni kuiondoa Bolivia kwenye MIGA Convention na kwenye bilateral investment treaties (BITs) zilizokuwa zinalazimisha international arbitration kwenye migogoro ya uwezekaji. Baada ya hapo ndio akabadilisha sheria na mikataba ya uwekezaji iliyoipa Bolivia sehemu kubwa ya umilikaji wa gesi na mafuta ya nchi yake. Of course, Morales is a Bolivarian na rafiki wa Castro, marehemu Hugo Chavez na wakushoto wengine. Magufuli is none of the above. He's a proto-fascist who believes in nothing but violent state power.

TUNDU LISSU
Mwanasheria mkuu
CHADEMA
Singida kuna madini adhimu sana!!
 
Pale ni sheria zinaangaliwa na mikataba. Hata tukiungana vipi kinacho anagaliwa ni sheria
 
GTs,
Nawashauri tusiwe waoga ktk kulinda rasimali zetu. Tulitishwa hata kipindi kile eti wauza madawa wana nguvu, ila mpaka sasa kila mmoja anajua kinachoendelea. Sasa hata kwa hawa mafia wezi wa ACACIA na kundi lao, hawana nguvu kabisa, maana ni wezi na wao wanajitambua, ingawa wanajikosha bado ni wezi.

Kwa tulioishi ulaya pamoja na wazungu tunajua jinsi walivyo wanafiki na wachoyo. Na kibaya zaidi wamekuwa wakituibia kupitia misaada, rasilimali zetu n.k., sasa ktk hili wataalamu wetu wamesema ukweli, na litasimama hivyo hivyo.

Tusimame tuungane, maana mafia hawa huwa na tabisa ya kuanzisha/kufadhili vikundi vya wapiganaji ili kuleta machafuko, ila najua kwa Tz hawawezi kwa sababu Taifa hili Mungu analipenda na Usalama wa taifa wetu wapo fiti ile mbaya.

Niwasihi tu wale wanafiki wanaopewa hela na mafia wasidhani kuwa wapo salama, utaifa kwanza utanzania kwanza!

Muungane na Nani? Mlivyokuwa Mkisaini Mikataba ya Kishenzi CCM mlisikia la Mtu? Si mliwaita akina Myika na Lisu Vichaa. Mliuza nchi kwenye Kikapu leo hii mnataka Muungane na Nani? Si mlituambia Wembe ni uleule? Si mlituambia tusome Number? Msitafute Msaada kwa Upumbavu na Kiburi Chenu. Kwa hili CCM mliisaliti nchi tena kwa Mbwembwe! Leo ndio mnatkaka Ushirikiano Kujinasua kwenye Mikataba ya Kisaliti na Kipumbavu!
 
Wao ndiyo watatulipa, hii kitu anaifanya Dkt Magufuli imepigiwa mahesabu ya mbali sana. Na kingine nikujuze tu ni kuwa wazungu linapokuja suala la udanganyifu investors wao huwa hawana mzaha, na ndiyo maana kwa sisi tunaojua mambo ya wazungu in and out hii kitu Dkt Magufuli ashikilie kabisa asiachie na watatulipa.
Vipi ile meli ya samaki alipiga mahesabu ya karibu ndio maana nchi ikalipa fidia
 
Miafrika inatawaliwa kwa kuwaogopa na kuwaheshimu sana wazungu, hii midude ni mijizi , funga baadhi ya migodi ,irudishe kwa wananchi. Che Nkapa aliwaona kama malaika akawapa migodi yote iliyonona na yeye akapewa zawadi ya pande la dhahabu lenye uzito wa mfuko wa cement kama zawadi. Mrema uko wapi pasua jipu mwamba. Magu pandisha munkari wa kisukuma wararueee haki Mungu tuko nyuma yako.
 
Kabla ya kupigana na ACCASIA kwanza tuangalie mikataba waliyosaini wao na Mafisiemu waliongoza serikali
Tulishindwa na Dowans kwa sababu ya mikataba itakuja kuwa hii midude ya Barrick/
 
The powerful syndicate,naamini tutashinda but kutakuwa na damage kubwa sana katika uchumi wa nchi...
Yes damage itakuwepo. hawa jamaa mbeleni hawatakubali mapendekezo yoyote coz yanagusa faida zao.. the only option watakuwa nayo ni kufunga biashara.
Sawali lilibaki.. after this damage nini kitafanyika ili kuziba pengo
 
It is time to die for our country, safi sana mkuu
 
wezi
wakati tuliwapokea kwa mikono miwili na ku sign nao mikataba
tunajua kukurupuka tu, sasa hao mnaowaita wezi, usishangae tunaenda kuwalipa coz ndio kama tumewatia ndimu sasa
 
GTs,
Nawashauri tusiwe waoga ktk kulinda rasimali zetu. Tulitishwa hata kipindi kile eti wauza madawa wana nguvu, ila mpaka sasa kila mmoja anajua kinachoendelea. Sasa hata kwa hawa mafia wezi wa ACACIA na kundi lao, hawana nguvu kabisa, maana ni wezi na wao wanajitambua, ingawa wanajikosha bado ni wezi.

Kwa tulioishi ulaya pamoja na wazungu tunajua jinsi walivyo wanafiki na wachoyo. Na kibaya zaidi wamekuwa wakituibia kupitia misaada, rasilimali zetu n.k., sasa ktk hili wataalamu wetu wamesema ukweli, na litasimama hivyo hivyo.

Tusimame tuungane, maana mafia hawa huwa na tabisa ya kuanzisha/kufadhili vikundi vya wapiganaji ili kuleta machafuko, ila najua kwa Tz hawawezi kwa sababu Taifa hili Mungu analipenda na Usalama wa taifa wetu wapo fiti ile mbaya.

Niwasihi tu wale wanafiki wanaopewa hela na mafia wasidhani kuwa wapo salama, utaifa kwanza utanzania kwanza!
Kwani walijileta na kujimilikisha hayo machimbo? Sirikali yenu ndiyo ya kubeba lawama
 
Naungana na wewe kuwa tupiganie Rasilimali zetu mkuu, tatizo nao ACACIA sio kwamba walikuja kwa kificho, au kwamba tulishtuka tayari wapo mgodini, la hasha...... Walikuja kupitia mlango wa mbele, wakakaa na viongozi wetu wa Serikali ya CCM, wakaongea wakasaini mikataba na kuafikiana......kama kuna sehemu kwenye mikataba wamekiuka tuna haki sana ya kuwafanya tutakavyo........Mimi napendekeza tuanze na hawa waliotufikisha hapo..........Mafia huko CCM, tuwamalize nao kisha turukie hao wa nje.
Point 100%
 
Back
Top Bottom