ACACIA ni wezi, tukiungana hawana uwezo

ACACIA ni wezi, tukiungana hawana uwezo

Kuwalipa nn wakati wamevunja mkataba kwa kuongopa?? Acheni uoga nyie ngozi nyeusi lazima mgangamale mnaibiwa na nyie mnasema eewallah bwana.. wakati kila kitu ni chenu.!!
Tatizo ni mikataba walishaiweka tokea mwanzo na tena kisheria hapo tusubirie watakavyo enda kwenye mahakama za kimataifa na kudai fidia
Na anguko la shiling kama zimbabwe
Ni mtazamo tu mkuu
 
MASKINI HAJAWAHI KUMSHINDA TAJIRI
Mungu akisimama na masikini hakuna tajiri anayeweza kumdhurumu. Hata mataifa yaliyoendelea mpaka yalipochoshwa na unyonyaji wa mabeberu ndipo wakaamua kusimama na Mungu na aliwatetea. Hata US, walipigana vita za kufa watu ili kujiondoa kwenye makucha ya mabeberu waingereza, na Mungu alisimama nao wakashinda. Hata watu wenye asili ya Afrika, walisimama kidetete kukomesha/kutaka kukubaliwa ktk jamii ya watu wa kawaida kutoka hadhi ya utumwa mpaka kuwa raia kamili, na Mungu alisimama nao wakashinda, na jana huko Vatikani rais wa taifa ambalo waliwanyanyasa watu weusi amempatia zawadi papa Francis zawadi ya mtu mweusi (Martin Luther King). Hivyo nikujeze tu wewe uliyefilisika kiakili, Mungu aliamua kusimama na sisi tangu 2015 mpaka leo, na ndiyo maana hakuna kitakachobakia, wale mnao chukua rushwa za wazungu mtakufa na Tz itasonga mbele
 
Ni wajuzi wa fitna sana wanategemea kuwachonganisha nyinyi kwa nyinyi .Watawatumia wanasiasa wetu, wasomi wetu, baadhi ya viongozi ambao sio waaminifu kufanya mambo yao zyawe sawa tuungane watanzania wasitutoe kwenye lengo.Ila yote kuna mijitu ndio iliyosababisha kujali mitumbo yao na wanajijua.
Tunajua, ndiyo maana Zitto ana utajiri kwa sababu ya kutumikia wazungu. Tunajua hata chadema yote wanapokea hela toka kwa wazungu ili kuleta machafuko. Chadema walitaka kuanza na maandamano ili baadaye waanze kuua wafuasi wao, na mwisho tupigane wenyewe kwa wenyewe, ila walishtukiwa. Na kwa taarifa yako, kila faili la mropokaji lipo pahala salama limetulia, na ndiyo maana serikali haina wasi wasi kabisa. Wewe chapa kazi, hili litapita na Tz lazima tushinde hii vita.
 
Wao ndiyo watatulipa, hii kitu anaifanya Dkt Magufuli imepigiwa mahesabu ya mbali sana. Na kingine nikujuze tu ni kuwa wazungu linapokuja suala la udanganyifu investors wao huwa hawana mzaha, na ndiyo maana kwa sisi tunaojua mambo ya wazungu in and out hii kitu Dkt Magufuli ashikilie kabisa asiachie na watatulipa.
Nakupongeza kwa kuyajua mambo ya wazungu in and out.
Ulikuwa wapi kuishauri serikali yako tangu matatizo haya yaanze au ndiyo umejua baada ya tume ya rais.
 
Watu wanatamani kuungana, lakini leo unaungana na Serikali afu kesho inawatenda na unasikia mwanasiasa au chombo cha dola anatoa kauli ya makusudi na ya kuudhi...
Sio kihivyo!
 
Ni wajuzi wa fitna sana wanategemea kuwachonganisha nyinyi kwa nyinyi .Watawatumia wanasiasa wetu, wasomi wetu, baadhi ya viongozi ambao sio waaminifu kufanya mambo yao zyawe sawa tuungane watanzania wasitutoe kwenye lengo.Ila yote kuna mijitu ndio iliyosababisha kujali mitumbo yao na wanajijua.
Kuwa wazi mijitu iliyosababisha ni miccm sasa hivi mnasema tuungane.
 
Za jambazi 40! Na ndiyo za ACACIA!

Mnamuacha Mkapa mnasakama ACACIA mnadhani bila Mkapa ACACIA angeiba.Mijitu inataka kutawala lakini ianweka mitumbo yao mbele.Hawa hawatakiwi hata wapate viinua mgongo.Walikuwa busy kutukana wapinzani kumbe inatumia mianya ya kutugawa iendelee kuiba.

Kungekuwa na adhabu ya kifo kuna mijitu ilitakiwa ipigwe RISASI uawanja wa TAIFA.
 
Huu ni wizi wa pili hawa ACACIA walishawahi kutudangaya kwa faida wanaopata kwa mwaka kesi ikaenda mahakamani. Huu ndio wakati muafaka kwa Rais Magufuli kutumia ile mahakama ya kifisadi kuwashitaki wote walioiletea hasara nchi hii bila kujali walikuwa wanashika hadhi gani, haiwezekani leo hapa Tanzania masikini muuza nyanya analipa kodi halafu kampuni kubwa ya kimataifa inakwepa kodi.

Tuanze na Mkapa na JK tukimalizana na hii mijitu ilitawala kumbe nia ni kuliibia TAIFA
 
Kama wanataka tuun
Wakati wa kuingia mkataba ccm huwa mnakuwa mbogo!
Mambo yakiharibika anasema tuungane!
Acheni unafiki nyie watu......
Nani asiyejua Wabunge kama tundulissu Na zitto walikuwa wanapiga kelele juu ya ufichwaji wa mkataba ya madini?
Kama kweli wanataka tuungane watoe hiyo mikataba tuione Bungeni na public tuone kasoro ziko wapi na tunawezaje kuzizuia zisilete madhara. Maana kuungana bila kujua nini kilichomo kwenye mikataba ni kutwanga maji kwenye kinu
 
Mnamuacha Mkapa mnasakama ACACIA mnadhani bila Mkapa ACACIA angeiba.Mijitu inataka kutawala lakini ianweka mitumbo yao mbele.Hawa hawatakiwi hata wapate viinua mgongo.Walikuwa busy kutukana wapinzani kumbe inatumia mianya ya kutugawa iendelee kuiba.

Kungekuwa na adhabu ya kifo kuna mijitu ilitakiwa ipigwe RISASI uawanja wa TAIFA.
Hahahaha..,,40 yake itafika tu!
 
Nikilifikiria lile Tumbo lake na kale kakichwa haki ya kweli natamani nikamrarue vipande vipande
Hahahaha....utapata ban sasa hivi! Umenichekesha sana walahi!
 
GTs,
Nawashauri tusiwe waoga ktk kulinda rasimali zetu. Tulitishwa hata kipindi kile eti wauza madawa wana nguvu, ila mpaka sasa kila mmoja anajua kinachoendelea. Sasa hata kwa hawa mafia wezi wa ACACIA na kundi lao, hawana nguvu kabisa, maana ni wezi na wao wanajitambua, ingawa wanajikosha bado ni wezi.


Kwa tulioishi ulaya pamoja na wazungu tunajua jinsi walivyo wanafiki na wachoyo. Na kibaya zaidi wamekuwa wakituibia kupitia misaada, rasilimali zetu n.k., sasa ktk hili wataalamu wetu wamesema ukweli, na litasimama hivyo hivyo.

Tusimame tuungane, maana mafia hawa huwa na tabisa ya kuanzisha/kufadhili vikundi vya wapiganaji ili kuleta machafuko, ila najua kwa Tz hawawezi kwa sababu Taifa hili Mungu analipenda na Usalama wa taifa wetu wapo fiti ile mbaya.

Niwasihi tu wale wanafiki wanaopewa hela na mafia wasidhani kuwa wapo salama, utaifa kwanza utanzania kwanza!

Kwenye masuala yanayohitaji utaalamu,siasa huwa haina nafasi.....umeandika kisiasa namimi ngoja nikujibu kisiasa....watanzania tujiandae kunyolewa bila maji!!
 
Viongozi walioingia hiyo mikataba ya Carl Peters na Mangungo washughulikiwe bila kujali Chama!
 
km wametuibia wafikishwe mahakamani kwa kuhujumu uchumi...Sio tunalia lia tumeibiwa then hakuna hatua kubwa zaid inachukuliwa....
Na kama watafikishwa mahakamani basi tutajitokeza wengi kuunga mkono serikali katika jambo hilo kizalendo na sio vinginevyo.....Tukibakia kutumbua Muhongo na habari zikaishia hapo tutajua serikali iliyopo madarakani haina nia njema na taifa hili.
 
Naungana na wewe kuwa tupiganie Rasilimali zetu mkuu, tatizo nao ACACIA sio kwamba walikuja kwa kificho, au kwamba tulishtuka tayari wapo mgodini, la hasha...... Walikuja kupitia mlango wa mbele, wakakaa na viongozi wetu wa Serikali ya CCM, wakaongea wakasaini mikataba na kuafikiana......kama kuna sehemu kwenye mikataba wamekiuka tuna haki sana ya kuwafanya tutakavyo........Mimi napendekeza tuanze na hawa waliotufikisha hapo..........Mafia huko CCM, tuwamalize nao kisha turukie hao wa nje.
Kitulacho Mi nguoni mwetu Mkuu. Kabla ya kusema sana pia tuangalie mikataba inasemaje. Tuangalie kama tuna nguvu kisheria ya kuiboresha au kuifuta. Tuweke wazi mikataba yote ili tuione wazi.
 
km wametuibia wafikishwe mahakamani kwa kuhujumu uchumi...Sio tunalia lia tumeibiwa then hakuna hatua kubwa zaid inachukuliwa....
Na kama watafikishwa mahakamani basi tutajitokeza wengi kuunga mkono serikali katika jambo hilo kizalendo na sio vinginevyo.....Tukibakia kutumbua Muhongo na habari zikaishia hapo tutajua serikali iliyopo madarakani haina nia njema na taifa hili.
Well said!
 
Jamani hii kazi ndo imeanza mbona wengine tunaongea kama hapo ndio mwisho? Nadhani tusubiri na ripoti ya pili, lakini kwa hii ya kwanza tuitafute yote tuisome kwa kina, labda niombe kwa wanajamvi ambao wanaweza ipata watuwekee jamvini.
Hii itasaidi kuwa na mjadala wa maana na sio wa kishabiki. Na pia itapambanua kati ya vibaraka na wazalendo.

Kuna mtu aligusia kuwa ACACIA wangeshirikishwa katika ukaguzi huu, mi naona mawazo hayo ni upuuzi, wao wamedeclare kiwango cha madini yaliyomo, serikali imeunda tume kuthibitisha kama ni kweli au si kweli.

Tume imetoa matokeo ya utafiti, kinachofuata ni mwenye makontena na ripoti yake na serikali na matokeo yake walishughulikie hili.

Nashanga kuna wanasiasa wadai kuwa serikali ama nchi itashitakiwa? Kwa lipi sasa!! Kukagua kama muwekezaji anasema ukweli au uongo ili ujiridhishe? Kuangalia ikiwa watendaji wake ni waaminifu au siyo katika suala hili? Mpaka sasa it is non sense kusema itashikiwa au laa.

Kikubwa ni kuwa wote tunaelewa na kukubali kuwa tumeibiwa sana, sasa lazima mahala fulani iwe basi na hapa naona dalili hizo. Aliye kinyume na hili nadhani anaona kwa kuwa tuliingizwa mahala pabaya na watu fulani, basi tubaki huko huko tu.

Shame!!!
 
Back
Top Bottom