Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
Na viongozi wa ccm walioshirikiZa jambazi 40! Na ndiyo za ACACIA!
Na viongozi wa ccm walioshirikiZa jambazi 40! Na ndiyo za ACACIA!
Na bila kuwasahau viongozi walioshirikiAcacia mmeaibika
Wakati wa kuingia mkataba ccm huwa mnakuwa mbogo!
Mambo yakiharibika anasema tuungane!
Acheni unafiki nyie watu......
Nani asiyejua Wabunge kama tundulissu Na zitto walikuwa wanapiga kelele juu ya ufichwaji wa mkataba ya madini?
Huna akili wewe na hujui maana na sheria za mikataba ya kimataifaWao ndiyo watatulipa, hii kitu anaifanya Dkt Magufuli imepigiwa mahesabu ya mbali sana. Na kingine nikujuze tu ni kuwa wazungu linapokuja suala la udanganyifu investors wao huwa hawana mzaha, na ndiyo maana kwa sisi tunaojua mambo ya wazungu in and out hii kitu Dkt Magufuli ashikilie kabisa asiachie na watatulipa.
Mtakufa nyie CCM mliowapa migodi na kusaini mikataba kama yakina Carl Peter's na chief mangungo.It is time to die for our country, safi sana mkuu
Ndugu usiwe mshabiki, hawa ACACIA ni wahuni waliokula njama na watu wachache wasipenda maendeleo ya taifa bali kujinufaisha wao, lile swala la Samaki mpaka saizi naamini kuna wajanja ndanj ya serikali walikula njama kupiga pesa. Ukifuatilia kwa saiz utaona jinsi gani wachina wanavyoiba samaki huko Africa magharibi na pwani nyingi hasa za ukanda wa africa.Vipi za samaki hakupiga mahesabu ya Mbali?
R. I. P logicGTs,
Nawashauri tusiwe waoga ktk kulinda rasimali zetu. Tulitishwa hata kipindi kile eti wauza madawa wana nguvu, ila mpaka sasa kila mmoja anajua kinachoendelea. Sasa hata kwa hawa mafia wezi wa ACACIA na kundi lao, hawana nguvu kabisa, maana ni wezi na wao wanajitambua, ingawa wanajikosha bado ni wezi.
Kwa tulioishi ulaya pamoja na wazungu tunajua jinsi walivyo wanafiki na wachoyo. Na kibaya zaidi wamekuwa wakituibia kupitia misaada, rasilimali zetu n.k., sasa ktk hili wataalamu wetu wamesema ukweli, na litasimama hivyo hivyo.
Tusimame tuungane, maana mafia hawa huwa na tabisa ya kuanzisha/kufadhili vikundi vya wapiganaji ili kuleta machafuko, ila najua kwa Tz hawawezi kwa sababu Taifa hili Mungu analipenda na Usalama wa taifa wetu wapo fiti ile mbaya.
Niwasihi tu wale wanafiki wanaopewa hela na mafia wasidhani kuwa wapo salama, utaifa kwanza utanzania kwanza!
Eti umekaa ulaya!!!!? yani Lumumba imebadilika kuwa ulaya? wakati mlipokuwa mnapitisha mikataba kisiri hamkutaka tuungane tena mlipitisha kwa hati ya dharura!!!! kwanini hamkukubali kuungana na sisi wakati wa kuikataa?GTs,
Nawashauri tusiwe waoga ktk kulinda rasimali zetu. Tulitishwa hata kipindi kile eti wauza madawa wana nguvu, ila mpaka sasa kila mmoja anajua kinachoendelea. Sasa hata kwa hawa mafia wezi wa ACACIA na kundi lao, hawana nguvu kabisa, maana ni wezi na wao wanajitambua, ingawa wanajikosha bado ni wezi.
Kwa tulioishi ulaya pamoja na wazungu tunajua jinsi walivyo wanafiki na wachoyo. Na kibaya zaidi wamekuwa wakituibia kupitia misaada, rasilimali zetu n.k., sasa ktk hili wataalamu wetu wamesema ukweli, na litasimama hivyo hivyo.
Tusimame tuungane, maana mafia hawa huwa na tabisa ya kuanzisha/kufadhili vikundi vya wapiganaji ili kuleta machafuko, ila najua kwa Tz hawawezi kwa sababu Taifa hili Mungu analipenda na Usalama wa taifa wetu wapo fiti ile mbaya.
Niwasihi tu wale wanafiki wanaopewa hela na mafia wasidhani kuwa wapo salama, utaifa kwanza utanzania kwanza!
Hamna shabiki wa ACACIA ila miaka mitatu iliyopita hii mikataba ilipitishwa na CCM kwa hati ya dharura mbona kipindi hicho mlikuwa shabiki wao au hamkuyajua haya yangekuja?Ndugu usiwe mshabiki, hawa ACACIA ni wahuni waliokula njama na watu wachache wasipenda maendeleo ya taifa bali kujinufaisha wao, lile swala la Samaki mpaka saizi naamini kuna wajanja ndanj ya serikali walikula njama kupiga pesa. Ukifuatilia kwa saiz utaona jinsi gani wachina wanavyoiba samaki huko Africa magharibi na pwani nyingi hasa za ukanda wa africa.
Unaelewa za jambazi 40? Mtu huvuna anayoyapanda, uumbaji hauchagui chama wala rangi wala Kabila!Na viongozi wa ccm walioshiriki
Unaelewa za jambazi 40? Mtu huvuna anayoyapanda, uumbaji hauchagui chama wala rangi wala Kabila!
Kwani hao wawekezaji walivamia huo mgodi? Muhongo tayari keshaanza kunywa chai ya rangi bado wengine siku zao ni 39Unaelewa za jambazi 40? Mtu huvuna anayoyapanda, uumbaji hauchagui chama wala rangi wala Kabila!
Marehemu Baba wa Taifa aliona mbali sana.Licha ya kusema tuacheni madini yetu tusiyachimbe mpaka pale tutakapo jiweza alimaanisha mambo mengi yakiwemo haya sasa.Lkn pili aliposhawishi kuwepo mfumo wa vyama vingi alijua thamani ya upinzani kuwa si uadui kama unavyochukuliwa na warithi wake.Wapinzani wana mchango mkuwa sana ktk maendeleo ya taifa letu kama wangethaminiwa na kupewa nafasi mawazo yao.Lakini yote kwa yote tumeshaona yale mawazo yoa yaliyopuuzwa sasa ndio yanaanza kupata thamani,hivyo wapinzani msichoke kuishauri serikali yetu hii kwa mambo mema WAKUBALIANE NAYO AU LA,lkn historia haitawasahau kamwe.Tuijene nchi yetu kwa maslahi yetu sote.Kikwete ..mkapa na wenzake wametugharimu sana