ACACIA ni wezi, tukiungana hawana uwezo

ACACIA ni wezi, tukiungana hawana uwezo

Hili suala linahitaji umakini mkubwa sana.
Tatizo watu wanashabgilia utadhani ni simba na yanga bila kujua mikataba yao inasemaje inawezekana mikataba waliosain inawawezesha kuiba bila kuwa na hatia mbele ya byombo vya sheria
Swala hili linahitaji umakini wa halu ta juu kulinusulu taifa dhidi ya uhalifu huu wa hawa wazungu wanaoshirikiana na baafhi ya wana CCM
 
Naungana na wewe kuwa tupiganie Rasilimali zetu mkuu, tatizo nao ACACIA sio kwamba walikuja kwa kificho, au kwamba tulishtuka tayari wapo mgodini, la hasha...... Walikuja kupitia mlango wa mbele, wakakaa na viongozi wetu wa Serikali ya CCM, wakaongea wakasaini mikataba na kuafikiana......kama kuna sehemu kwenye mikataba wamekiuka tuna haki sana ya kuwafanya tutakavyo........Mimi napendekeza tuanze na hawa waliotufikisha hapo..........Mafia huko CCM, tuwamalize nao kisha turukie hao wa nje.
well said, na kanuni zikatungwa sheria zikaandaliwa wakujifungia ndani wakajifungia wakutoka wa katoka mwisho wa siku sheria ikapitishwa kwa uwingi wa kura na mwekezaji akapata pa kuanzia .naunga mkono hoja yako kuwa mwekezaji alipita mlango wa mbele sio kwa kificho ,hii ndio ccm
 
Wao ndiyo watatulipa, hii kitu anaifanya Dkt Magufuli imepigiwa mahesabu ya mbali sana. Na kingine nikujuze tu ni kuwa wazungu linapokuja suala la udanganyifu investors wao huwa hawana mzaha, na ndiyo maana kwa sisi tunaojua mambo ya wazungu in and out hii kitu Dkt Magufuli ashikilie kabisa asiachie na watatulipa.

Akili zako na hao wezi zafanana. Ndio maana kuna tofauti kubwa sana ya msomi aliyeelimika na mtu mjinga. Msomi aliyekaa anaona mbali sana kuliko mjinga aliyesimama. Bila kujali matokeo wewe utaunga mkono uamuzi wowote so long as unatoka kwa mabwana wakubwa wako. Ni kupoteza muda kujadiliana na wewe.
 
Ccm mmetuingiza kwenye mikataba mibovu

Ova
 
Tujiandae na za kuwalipa.
Kuwalipa nn wakati wamevunja mkataba kwa kuongopa?? Acheni uoga nyie ngozi nyeusi lazima mgangamale mnaibiwa na nyie mnasema eewallah bwana.. wakati kila kitu ni chenu.!!
 
Ccm kwa kujitekenya
Mnataka mseme wao ndio wamesababisha uchumi kuharibika kumbe umbulula wenu shit..
 
Hamna shabiki wa ACACIA ila miaka mitatu iliyopita hii mikataba ilipitishwa na CCM kwa hati ya dharura mbona kipindi hicho mlikuwa shabiki wao au hamkuyajua haya yangekuja?
Ndio maana namaanisha tuungane kwa hili yaliyopitwa si ndwele, tuanze hapa ili tujue mbeleni tutamaliza vipi. Big up Magu
 
Ccm kwa kujitekenya
Mnataka mseme wao ndio wamesababisha uchumi kuharibika kumbe umbulula wenu shit..
Hapa sio mambo ya ccm mkuu, hivi unafikiri hicho chama cha mtaa wa ufipa kwa wauza unga kina guts zozote za kuzima maovu wakati wengi mle ni wachumia tumbo tu??? Hapa ni nchi kwanza vyama baadae.. hili li ngozi jeusi lilillaaniwa majitu yanaibiwa yenyewe yanakenua tu.
 
Mie sipo na ccm wewe ccm hawana jipya ..hamna aproach mpo mpo kama nyani
Umelaaniwa wewe sisi tunaju ukweli
 
Usalama wa taifa unawajua?

GTs,
Nawashauri tusiwe waoga ktk kulinda rasimali zetu. Tulitishwa hata kipindi kile eti wauza madawa wana nguvu, ila mpaka sasa kila mmoja anajua kinachoendelea. Sasa hata kwa hawa mafia wezi wa ACACIA na kundi lao, hawana nguvu kabisa, maana ni wezi na wao wanajitambua, ingawa wanajikosha bado ni wezi.

Kwa tulioishi ulaya pamoja na wazungu tunajua jinsi walivyo wanafiki na wachoyo. Na kibaya zaidi wamekuwa wakituibia kupitia misaada, rasilimali zetu n.k., sasa ktk hili wataalamu wetu wamesema ukweli, na litasimama hivyo hivyo.

Tusimame tuungane, maana mafia hawa huwa na tabisa ya kuanzisha/kufadhili vikundi vya wapiganaji ili kuleta machafuko, ila najua kwa Tz hawawezi kwa sababu Taifa hili Mungu analipenda na Usalama wa taifa wetu wapo fiti ile mbaya.

Niwasihi tu wale wanafiki wanaopewa hela na mafia wasidhani kuwa wapo salama, utaifa kwanza utanzania kwanza!
 
Tatizo watu wanashabgilia utadhani ni simba na yanga bila kujua mikataba yao inasemaje inawezekana mikataba waliosain inawawezesha kuiba bila kuwa na hatia mbele ya byombo vya sheria
Swala hili linahitaji umakini wa halu ta juu kulinusulu taifa dhidi ya uhalifu huu wa hawa wazungu wanaoshirikiana na baafhi ya wana CCM
Kabla ya mkataba kusainiwa huwa unapelekwa kwenye baraza la mawaziri, huyu bwana alikuwepo wakati mkataba unapitishwa na siyo mgeni wa Tz wala baraza.
 
Usalama wa taifa ni akina nani?

Walipewa watu rushwa then wakaenda kumdanganya Mh JK. Sasa kwa hili hata kama wakila rushwa Dkt Magufuli hadanganyiki, na ndiyo maana timu zote zina ulinzi 24hrs a day, na usalama wa taifa wapo kazini 24hrs kuhakikisha system zetu haziingiliwi.
 
Haya, huu ndio wakati wa kushuhudia hatimaye mahakama ya mafisadi ikipata wateja.

Itashangaza sana ikiwa baada ya kukubaliana kuwa tumehujumiwa kiasi cha kuwa omba omba badala ya kuwa "donors" kama tulivyostahili halafu tukaishia tu kufokafoka hadharani huku waliotufukarisha kiasi cha kutisha wakiendelea kula bata mitaani kwetu na duniani kote😡
 
Ni wajuzi wa fitna sana wanategemea kuwachonganisha nyinyi kwa nyinyi .Watawatumia wanasiasa wetu, wasomi wetu, baadhi ya viongozi ambao sio waaminifu kufanya mambo yao zyawe sawa tuungane watanzania wasitutoe kwenye lengo.Ila yote kuna mijitu ndio iliyosababisha kujali mitumbo yao na wanajijua.
 
GTs,
Nawashauri tusiwe waoga ktk kulinda rasimali zetu. Tulitishwa hata kipindi kile eti wauza madawa wana nguvu, ila mpaka sasa kila mmoja anajua kinachoendelea. Sasa hata kwa hawa mafia wezi wa ACACIA na kundi lao, hawana nguvu kabisa, maana ni wezi na wao wanajitambua, ingawa wanajikosha bado ni wezi.

Kwa tulioishi ulaya pamoja na wazungu tunajua jinsi walivyo wanafiki na wachoyo. Na kibaya zaidi wamekuwa wakituibia kupitia misaada, rasilimali zetu n.k., sasa ktk hili wataalamu wetu wamesema ukweli, na litasimama hivyo hivyo.

Tusimame tuungane, maana mafia hawa huwa na tabisa ya kuanzisha/kufadhili vikundi vya wapiganaji ili kuleta machafuko, ila najua kwa Tz hawawezi kwa sababu Taifa hili Mungu analipenda na Usalama wa taifa wetu wapo fiti ile mbaya.

Niwasihi tu wale wanafiki wanaopewa hela na mafia wasidhani kuwa wapo salama, utaifa kwanza utanzania kwanza!
MASKINI HAJAWAHI KUMSHINDA TAJIRI
 
Back
Top Bottom