Abiria unachelewaje Ndege (check-in) Airport?

Abiria unachelewaje Ndege (check-in) Airport?

Hhahaha siku hizi baadhi ya Airline wanatuma reminder email kwenye account yako inasaidia kukumbushana mambo mengi tunakimbizana na Shilingi
 
Mm nlichelewa kwa uzembe, nlikod tax dereva lena, hajui njia, ile imebak dk 30 za check in tyr tumekwama
 
mkuu umenikumbusha mbali sana, siku ya kwanza kuachwa nililia balaa, nilipiga mayowe utadhani nimefiwa na wazazi, ilibidi wale customer care staff swissport watumie muda mwingi kunituliza, ilikuwa the first time naenda nje ya africa, dah, kitu emirates kikasepa kikaniacha.

nilikuwa naona soo hata kurudi home,japokuwa nilisafiri the next day.aisee,kumi na mbili kamili alfajiri nilikuwa tayari airport kwa safari ya saa kumi unusu jioni.

dah nikikumbuka huwa nacheka mwenyewe.yaani airport ilisimama kwa mshangao wa kilio changu but kidume mpaka leo hii nimeshapata masomo ya kutosha kuhusu usafiri wa anga

Hahahahaaa mwanzo wa habari yako nilitabasamu ila niliposhuka chini na kuona kuwa wewe ni kidume nimecheka sana hahahahahahahhaaaaaaaa. Nimevuta taswira pale kwenye counters za Swiss port halafu sauti itoke kubwaa ya kibesi na machozi juu hahahahah. Ngoja nimtafute Nyanzo kama hawakukupiga picha au kukuchukua video ili nicheke vizuri hahahaha
 
Kwa nchi hii hakuna cha kushangaa hapo

-mara foleni isiyo na kichwa wala miguu na trafick anaita upande autakao nusu saa!!

-mara umepitia ATM ya kwanza no network ATM ya pili kakadi kamemezwa na upo na Taxi Unadaiwa! Vi m-pesa vimefungwa na driver anataka cash

-masurufu yenyewe umeingiziwa asubuhi na bado hujatoa uache pesa ya mboga nyumbani

-ulipita benki na mama harakaharaka mkagawane chochote halafu akusindikize ile kutoka nje gari imepigwa lock na Parking System sijui YONO

Umemuachia msala wife unakwea boxer hufiki popote inadakwa na madalali sijui

Unarudi kwenye taxi mnazunguka wee mara tazara mchicha mara vingunguti mara kinyerezi mara mkamatwe service rd na ukimwambia askari shida yako huku ukimuonyesha tiketi anasema ungetaka kuwahi ungeondoka jana!! Wakati safari yenyewe umeioata asubuhi!! hadi ufike airport hoii na kadirisha kamefungwa

Labda kama unazungumzia mikoani lakini kwa Dar basi hiyo safari uwe uliipanga miezi mitatu iliyopita

Nimekuelewa sana yaani nimekuelewa. .... Hao hata wasipokuelewa wala usijali.... mie nimekuelewaa. ....

Ila ikiwa hivyo ujue mizimu ya kwenu au malaria mlinzi anakuepusha na ajali itakayotokea kwenye hiyo ndege au huko utakakofika. Maana vikao vyote hivyo halafu ukifika kaunta zimefungwa hahahaa unaagiza bia mbili unapiga taratibuuu unasibiria kesho yake ukamate pipa jingine.

Ila kwa mtu ambae hajapata kadhaa hizo ulizozitaja hakuelewi kabisa kwanini unachelewa airport.
 
si unajua tena mkuu ka airport ketu kalivyo kadogo hapo check in?yaani hata ukipiga chafya kila mtu anasikia.si abiria si staff walitaka kujua kulikoni

Hahahahahahahhaaaaaaaa assnte kwa kuzidi kunichekesha looh.
 
Preta, I think these days all international flight wanaweka kabisa gate no once you check in either in person or online lakini kama ni hizi local, then hapo ndio balaa. Mie nadhani ni uzembe tu ndio huwa unatusumbua!
Kwa jnia unahitaji gate number ya nn?
Kwa wenzetu ni la muhimu sana hilo
 
Yote kwa yote huangalia je msafiri ni mtunza muda?
Kuna safari za kikazi, kuna za matembezi ukiwa likizo, kuna safari za kualikwa ukachepuke zote hizi mitazamo yake na maandalizi yake yanatofautiana.
Mfano; mie safari ya kikazi sifanyi masihara nayo hata kidogo. Nahakikisha nyaraka zote za kikazi ninazo siku 3 kabla ya safari... hapa secretary wangu anakusoma na maandalizi ya kiofisi. Mara nyingi safari za kikazi huwa sipendi kupokelewa ninakoenda hivo huwa napenda kutumia usafiri wa umma au taxi hadi mahali ninakofikia na huwa napajua kabla sijaondoka.
Mara nyingi nywele hunipotezea muda hivyo napenda kusuka siku 2 kabla ya safari ili niwe huru. Begi huwa naliandaa siku ninayosafiri hata kama naondoka usiku au alfajiri hii ji kwasababu napenda kununua nguo ninakoenda hivo nabebaga nguo 3 tuu nikikwama kununua laundry ya hoteli itahusika.

Safari za matembezi hasa niwapo likizo sina haraka nazo hata nikiachwa na ndege najiona sina la kupoteza zaidi ya pesa hivo huwa narudi kesho yake ba vacation inaendelea. Vivyo hivyo kwa safari ya kualikwa, ikitokea aliyenialika akakasirika namwambia aniandikie bila yake nimlipe isiwe tabu. (Ofcourse niwafanyia hivi wale nilioshibana nao ).

IGA UFE. ....
 
Aisee kuchelewa huko kuna mambo mengi nyuma yake.

Mara ya kwanza mimi kusafiri nilikuwa naangalia muda wa kwenye ticket yangu tu. Lahaulaaa kumbe kuna mambo ya check in..., nipo maeneo ya airport kwa nje nakula mihogo mara hivi mara vile, naingia ndani nusu saa kabla ya muda. Duuh meza ya Qatar imeshafungwa........

Nilivocheza pale sitasahau, nikajikuta nipo kwenye ndege tayari.
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Safari za kualikwa ukachepuke unajiaandaaje??, kwa mtiririko wa nywele (zote zote), mavazi etc
 
mkuu umenikumbusha mbali sana, siku ya kwanza kuachwa nililia balaa, nilipiga mayowe utadhani nimefiwa na wazazi, ilibidi wale customer care staff swissport watumie muda mwingi kunituliza, ilikuwa the first time naenda nje ya africa, dah, kitu emirates kikasepa kikaniacha.

nilikuwa naona soo hata kurudi home,japokuwa nilisafiri the next day.aisee,kumi na mbili kamili alfajiri nilikuwa tayari airport kwa safari ya saa kumi unusu jioni.

dah nikikumbuka huwa nacheka mwenyewe.yaani airport ilisimama kwa mshangao wa kilio changu but kidume mpaka leo hii nimeshapata masomo ya kutosha kuhusu usafiri wa anga
sasa hio kesho ikawaje, ukalipia tiketi upya ama?
 
Siku zote naendaga airport na bodaboda ispokuwa nikipandia KIA au Mwanza, hata kama ninamizigo kiasi gani ni marakumi uchukue bodaboda 3/4 ili usichelewe au kuwahi saaana pale airport uushie kung'aa macho tu

Ila kwa sista du aliyelipiwa anaweza chelewa especially akijua unayelipa huna usemi juu yake
 
Mi nimechelewa zaidi ya mara moja hadi nimezoea nikikuta haipo basi nasubiri kesho yake
Hebu nitoe matongotongo, ukichelewa ndio unakata tiketi upya hio kesho yake au ile ulionayo inakuwa re-scheduled?
 
Safari za kualikwa ukachepuke unajiaandaaje??, kwa mtiririko wa nywele (zote zote), mavazi etc

Hizo nywele natengeneza siku ya safari na mara nyingi napenda kuondoka na ndege ya usiku ili tukifika tuu kazi ni moja hata kama nimemuudhi asubuhi mnaamka marafiki. Nguo huwa napanga siku hiyohiyo ya safari tena hapo ndo huwa nakuwa na hand luggage tuu au back pack inanitosha. Kuchepuka haizidi wiki hivo siwezi kuwa na begi kubwa, yaani naenda airport kama naenda town na kurudi. Halafu nguo za kubeba hata kama 5 zitajaa kwenye backpack maana zinakuwa zile laini laini zisizohitaji kunyooshwa ni kuvaa tuu.
Ndo hivyo.... ila ikitokea nimechelewa ndege basi huwa nauchuna na baadae akishapoa kwa hasira huwa namset jamaa na kujigharamia mwenyewe safari na kumfata alipo nampa mautamu kisha narudi nakuwa nimemfidia gharama alizoingia. .... After all hatudhuriani bali tunafurahiana
 
Aisee kuchelewa huko kuna mambo mengi nyuma yake.

Mara ya kwanza mimi kusafiri nilikuwa naangalia muda wa kwenye ticket yangu tu. Lahaulaaa kumbe kuna mambo ya check in..., nipo maeneo ya airport kwa nje nakula mihogo mara hivi mara vile, naingia ndani nusu saa kabla ya muda. Duuh meza ya Qatar imeshafungwa........

Nilivocheza pale sitasahau, nikajikuta nipo kwenye ndege tayari.
ikawaje?
 
Foleni, kusahau passport so you have to rush back home. Ni jambo la kawaida especially kama unasafiri mara kwa mara. Kitoka ofisini mbio kuelekea airport
Basi kusafiri kwako mara kwa mara kutakuwa hakutakusaidia kitu...unajua timing za ndege na foleni kwa nn uchelewe? Hakuna excuse ni uzembe tu. Mtu mzima huwa anaona aibu kusema mm ni MZEMBE.
 
Hizo nywele natengeneza siku ya safari na mara nyingi napenda kuondoka na ndege ya usiku ili tukifika tuu habari moja hata kama nimemuudhi asubuhi mnaamka marafiki. Nguo huwa napanga siku hiyohiyo ya safari tena hapo ndo huwa nakuwa na hand luggage tuu au back pack inanitosha. Kuchepuka haizidi wiki hivo siwezi kuwa na begi, yaani naenda airport kama naenda town na kurudi. Halafu ngu za kubeba hata kama 5 zitajaa kwenye backpack maana zinakuwa zile laini laini zisizohitaji kunyooshwa ni kuvaa tuu.
Ndo hivyo.... ila ikitokea nimechelewa ndege basi huwa na uchumi na baadae akishapoa kwa hasira huwa namset jamaa na kujigharamia mwenyewe safari na kumfanya alipo nampa mautamu kisha narudi nakuwa nimemfidia gharama alizoingia. .... After all hatudhuriani bali tunafurahiana
Mama uko vizuri hadi wivu yaani
 
Wewe abiria unajua kabisa kesho nasafiri muda fulani na ninatakiwa reporting time airport masaa 2 kabla lakini cha ajabu unajichelewesha mpaka ndege inakuacha.

Tiketi yenyewe umelipiwa ukishachelewa sasa ni kuanza usumbufu kwa aliyekulipia eti akulipie tiketi nyingine.

Not fair hasa wadada.

Swali la kip.uuzi kuwahi kutokea. Hivi we unashindwa kufikiria sababu? Mbona zipo nyingi sana?yani unaongea as if Ni kitu yao wezekani kabisa, wakati ndege yenyewe huwa inachelewa. Ovyo kweli
 
Back
Top Bottom